mwanza

  1. D

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Uber, Taxify na Rova Dar es Salaam

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam ,Dodoma na Mwanza. SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKARA wilayani Ukerewe. Wakazi wa Ukerewe wakiwa mita chache kutoka kivuko kilipozama ==== Taarifa Kwa Umma Kutoka Wakala wa Ufundi na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza City: The Photo Gallery

    a special thread for the rocky city. let us share some photos, underconstruction projects as well as proposed projects in mwanza. NB do not take time to compare the city with other cities from tz. naanza na picha hizi then unaruhisiwa kutupia pia.....
  4. Fred Katulanda

    JamiiForums Tanzania Dk. Kigwangalla achukua fomu kuwania uenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi Taifa

    Leo taarifa nilizopokea zinadai kuwa Dk. Kigwangala ametinga katika ofisi za CCM mkoa wa Mwanza (Jumuiya ya Wazazi) na kuchukua fomu kuwania Uenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa, huku akidai anaamini kuwa CCM ni chama makini na kwamba bado hakijapoteza mvuto.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Richmond nyingine yaibuka Mwanza

    Richmond kubwa zaidi yaibukia Mwanza *Ni mkataba wa umeme wa Sh155 bilioni *Ulisainiwa na serikali Oktoba 2006 *Mitambo haijawahi zalisha umeme *Mwekezaji analipwa Sh9bn kila mwezi Na Waandishi Wetu MKATABA wa Sh155.2 bilioni wa Kampuni ya Marekani kwa ajili ya kuzalisha umeme wa dharura...
Back
Top Bottom