Mwanza: Mchele mzuri sana unauzwa

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,538
Mchele huu ni wa Daraja la kwanza kabisa.

Hauna Chuya

Hauna Punje za mchanga

hauna chenga

unapatikana kwa ubora wa hali ya juu sana

Bei yetu ni 2200 Tsh kwa Kilo

Tunauza kuanzia Tani 1 na usafiri juu yetu.

Tupo Mwanza Mkuyuni

0713096076

IMG_20220406_130819_691.jpg
IMG_20220406_130635_337.jpg
 
Kweli kabisa mkuu, bidhaa ni nzuri sana,, baada ya SkyVPN kuzingua hebu tu Sasa tuingie kwenye biashara ya Michele🤣🤣(Joking)
 
F

Frankly, mchele wa maana sana.. mkuu hujui tu ila me mwenyewe ndo biashara zangu za nafaka zinazonifanya nishibe hapa mjini😁
So naapreciate sana hii kitu
Mkuu tunapambana hivyo hivyo tu ili mradi vpn za maisha zisonge😅😅

karibu sana mwanza aisee shombe
 
😂😂😂Ila we jamaa bana!

Hem tulia na mavpn yako🤣🤣

Uliniambia nina gundu sitakaa nisahau hii kitu kila nikiona id yako aisee halafu bila ya kosa lolote ndugu.

Naona umehamia kwenye mchele kaka. VPN vipi mkuu...?
 
Uliniambia nina gundu sitakaa nisahau hii kitu kila nikiona id yako aisee halafu bila ya kosa lolote ndugu.

Naona umehamia kwenye mchele kaka. VPN vipi mkuu...?
Sasa unatuambia tukuache uteseke maana yake nini?

si afadhali mimi napambana kuusaka utajiri na ID yangu kidogo inaakisi.

nipo kwenye.mchele ndugu yangu, hii kitu inazalishwa na bodi ya nafaka Tz.

napambana kusaka masoko.

Mchele wao ni wa kiwango cha Kimataifa. Madalali wenzangu wamepata masoko kenya Uganda Congo..

mi ndo naanza anza kusaka njia
 
Mimi Bado nipo kusubiri kukukumbusha kuhusu ile 3m😊
😅😅😅😅

Thanks with love.

imefika laki 8.

malengo ni makubwa Ina.

nikumbushe Tu by Jan 1 2023 ukikumbuka nakupa hela ya supu uanze mwaka mpya na tabasam
 
😅😅😅😅

Thanks with love.

imefika laki 8.

malengo ni makubwa Ina.

nikumbushe Tu by Jan 1 2023 ukikumbuka nakupa hela ya supu uanze mwaka mpya na tabasam
Mungu akutangulie mpendwa ufikie malengo..

Tuombe uzima mwaya.. ahsante Sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom