mwanza

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nini kifuate baada ya ziara ya Rais Samia jijini Mwanza?

    Baada ya ziara ya rais Kanda ya Ziwa, CHADEMA wanatakiwa kwenda Kanda ya Ziwa kuelezea upande wa pili (mbadala) wa mkataba wa DP World ili wananchi waelewe ukweli ni upi. Chadema wafafanue juu ya KIA kupewa Waarabu, BRT kuwa kwenye mjadala wa kukabidhiwa Waarabu (ukoloni mpya wa Kiarabu...
  2. JamiiForums Tanzania Misungwi: Kanisa linaloendesha ibada tata labainika, takriban wagonjwa 200 wamekutwa wakihudumiwa katika mazingira duni

    Misungwi. Wakati mamlaka nchini Kenya kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata. Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8,2023 katika Kijiji cha Nyamayinza...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

    Salaam Wakuu Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75% Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri:watu wa Mwanza msiende kusikiliza vibaraka wa mafisadi

  5. JamiiForums Tanzania Kanisa la ajabu misungwi mwanza limefungwa huku makaburi yakitafutwa

    Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa kufungwa. Wagonjwa wamerudishwa hospitalini na wengine kuamliwa kuondoka huku taharuki ya makaburi...
  6. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Safi na Maji taka Jijini Mwanza (MWAUWASA) mnatakiwa kujitafakari

    Mamlaka ya Maji Safi na Maji taka jijini Mwanza (MWAUWASA) mnatakiwa kujitafakari kutokana na utendaji kazi wenu mbovu ambao mwisho wa siku kama msipokemewa yatakuwa mazoea sasa. Hivi sasa ni wiki ya pili Barabara ya Posta jirani na Benki ya Kilimo Katikati ya jiji la Mwanza kuna Chemba ya Maji...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

    Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege. Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Tuisheni anahitajika Mkuyuni Mwanza

    Mwalimu wa Tuisheni masomo ya sekondari anahitajika maeneo ya Mkuyuni, Mwanza. Pm kwa yeyote anayefahamu au kuwa na Tuisheni center maeneo ya Mkuyuni.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mhandisi: Uwanja wa ndege Mwanza umekosewa, vigezo havikuzingatiwa

    MHANDISI - UWANJA WA NDEGE MWANZA UMEKOSEWA, VIGEZO HAVIKUZINGATIWA UWE WA KIMATAIFA Hayo yameelezwa na mhandisi wakati mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Amos Makala alipofika kuangalia ujenzi unaoendelea. Mhandisi huyo anafafanua kuwa maelekezo ya mwanzo waliyopewa wakati wa uanzishwaji wa mradi...
  10. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Brevis Used Inauzwa Mwanza

    Toyota Brevis Used Inauzwa Mkoani Mwanza. Inatembea vizuri haina kipengele Bei 2,500,000. Mazungumzo ya Simu ndiyo mwafaka SOLD☑️
  11. JamiiForums Tanzania Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makala umeanza vizuri Mwanza

    Leo nimemsikia RC Makala akitembelea jengo la uwanja wa ndege Mwanza nakutoa maelekezo kadhaa ya kukwamua mradi huu, kitu kikubwa alichokieleza ambacho anapaswa akifanyie kazi ni kukabidhi jengo hili TAA bila hata masharti yeyote. Masharti ya kupewa asilimia halmashauri eti kwa vile...
  13. JamiiForums Tanzania Makachero wa Mashujaa FC wabaini mauzauza uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

    Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba. Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wamiliki wa baa na kumbi za starehe waandamana kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango. Inadaiwa kuwa Mbunge Musukuma ndiye ‘mastermind’ wa hii kitu, kama hivyo ndivyo basi kuna shida...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Mabula umesema vema kuhusu uwanja wa ndege Mwanza na barabara kuu njia nne

    Mimi nianze kwa kumpongeza mbuge wa nyamagana na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza bw adam malima kwa kusemea kwa nguvu kubwa ukamilishaji wa uwanja wa ndege wa mwanza, jengo la abiria na miundo mbinu yake. Suala la uwanja wa ndege ni la muda mrefu sana kila mara hupigwa chenga,hata bajeti ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Kichanga chatupwa njiani

    Mwili wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na umri wa wiki tatu umekutwa umetupwa kwenye njia ya mtaa wa Kileleni kata ya Kitangiri wilayani Ilemela mkoani Mwanza hali iliyozua sinfofahamu kwa wananchi wa eneo hilo. Wakazi wa mtaa huo wamesema majira ya saa moja asubuhi wakati watoto wao wakienda...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua gps (nipo mwanza)

    Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining). Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/= Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya Kuvutiwa na Uteuzi wa Mwanza, najiandaa Kufungua huko Kiwanda Kikubwa cha Vibiriti

    Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
  19. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  20. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Harrier linauzwa Mwanza

    Gari inauzwaa mwanza Million 24, ina kila document muhimu inayohitajika. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255 769 088 152
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…