Mwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia.
Ni Rahisi kusafirisha wafuasi kiduchu, kutoka mikoa hiyo na wilaya zake na hatimae kuwajaza Mwanza. Pia Mwanza Chadema inawategemea wafuasi wa Ezekiah Wenje,ambao kwa ujumla hawafuati sera bali...