mwanza

  1. Gullah

    House4Sale Nyumba inauzwa Nyangomango, Mwanza

    Nyumba inauzwa ina vyumba vinne, ina fensi, ina hati miliki, kiwanja ndani ya fensi ni kikubwa unapaki hata gari nne. Ipo Mwanza mtaaa wa Nyangomango Center, kutoka barabra kuu ni sekende arobaini kwa miguu, bei Milioni 33 na maongezi yapo kidogo. Mawasiliano: 0717254233 mwanz
  2. Stephano Mgendanyi

    Mary Masanja Achangia Milioni 21 na Kugawa Mitungi ya Gesi 700 kwa Wanawake Wajasiliamali Wadogo wa Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MARY MASANJA ACHANGIA MILIONI 21, AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WADOGO MKOA WA MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Shilingi Milioni 21 na amegawa mitungi ya gesi 700 kwa wanawake...
  3. D

    Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

    Askofu Mkuu jimbo Catholic Lenatus Nkwande ameongoza misa leo uwanja wa Kawe Kamo umefurika watu wakiwa wamekusanyika kumkumbuka Magufuli kwa kweli Magufuli anapendwa. Baba askofu amewausia kuendelea kumuombea Magufuli na kuwaombea haters wake wakiwemo walamba asali na wazuri hawafi. Pia...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Furaha Matondo akabidhi viti mwendo 70 Wilaya zote Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MHE. FURAHA N. MATONDO AKABIDHI VITI MWENDO 70 KWA WALEMAVU KWA WILAYA ZOTE, MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Mwanza Mhe. Furaha N. Matondo katika ziara yake aliyoifanya Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza amekabidhi Viti Mwendo 70 kwa watu wenye ulemavu Mkoa wa Mwanza. Hafla ya...
  5. Torra Siabba

    Mwanza, jiji linaloongoza kuwa na mbuzi watembea bure

    Mwanza Bwana ni Jiji linalokua kwa kasi sana, hilo linatokana na watu kuongezeka na Serikali imeweka miradi mingi ya kimkakati katika jiji hilo, lakini cha ajabu ni kwamba Mwanza ni mji unaoongoza kwa kuwa na mbuzi (wanyama) ambao hawana mwenyewe. Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia mbuzi...
  6. JanguKamaJangu

    Mwanza: Mzee wa miaka 50 atuhumiwa kumbaka binti wa miaka 7

    Mwanaume mmoja mwenye umri zaidi ya miaka 50 aliyejulikana kwa jina la Hakimu Juma, mkazi wa Chamwenda, Kata ya Nyansaka Wilayani Ilemela Jijini Mwanza amejikuta matatani baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka saba mtoto wa jirani yake. Inadaiwa kwamba mzee huyo amekuwa na...
  7. RingaRinga

    Tetesi: Ajali ya basi la Kimotco linalofanya safari kati ya Arusha - Mwanza

    Nimetumiwa ujumbe na mtu anayedai amesafiri na binti yangu leo na gari imepata ajali maeneo ya Babati na kwamba majeruhi wamepelekwa hospitali ya Dareda. Nampigia simu mhusika hapokei tena, Mwenye taarifa zaidi?
  8. Top for B

    Foleni kubwa barabara ya kuingia mjini Mwanza asubuhi hii

    Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuna daraja limejaa maji yanapita mpaka juu eneo la Mkuyuni sokoni. Foleni ni kubwa kuanzia mjini na upande wa kuingia mjini foleni magari yamesimama mpaka buhongwa, kama una plan ya kuja au kutoka mjini bora ukae kwako maana njiani...
  9. BARD AI

    TAKUKURU yabaini madudu kwenye miradi ya Tsh. Biilioni 6.5 Mwanza

    Miradi 22 yenye thamani ya zaidi ya Sh6.5 bilioni iliyochunguza na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru) mkoani Mwanza imebainika kuwa na mapungufu kadhaa ikiwemo ukiukwaji wa taratibu za manunuzi, kasi ndogo ya utekelezaji na ubora hafifu. Kwa mujibu wa Mkuu wa...
  10. S

    Natafuta kazi yoyote halali mkoa wa Kilimanjaro, Dar es salaam, Mwanza na Arusha

    Natafuta kazi za viwandani, madukani na kwenye makampuni. Elimu yangu Kidato cha nne.
  11. Torra Siabba

    DOKEZO Mswahili, Lango la Jiji la Mwanza linalotoa harufu ya Uozo

    Mwanza ni Jiji la pili Tanzania linalokua kwa kasi kutokana na Wingi wa watu na miradi mikubwa ya kimkakati ambayo imejengwa kwenye jiji hilo, Lakini mbaya zaidi ni kwamba takribani mikoa yote ya Tanzania ukiacha mkoa wa Mara huingia Mwanza kupitia njia kuu ya Shinyanga, kisha Buhongwa na Baadae...
  12. Torra Siabba

    LATRA angalieni magari ya Usagara - Mwanza Mjini kwenda Kisesa

    Kwa muda sasa imezuka tabia ya baadhi ya madereva wanaoendesha magari yanayofanya ruti ya Usagara kwenda Kisesa, Buswelu, Kisesa, Buzuruga kupitia Mwanza Mjini kupandisha nauli kiholela tofauti na utaratibu unavyoongoza. Kikawaida nauli ya kutoka Usagara kufika Mwanza Mjini aidha unashukia...
  13. TODAYS

    Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Hii ni endelevu au mnawaonjesha wasukuma uhondo waliokuwa wameuzoea wakati wa fast jet?. ========= Kutoka kwa mdau humu jukwaani. Rodney01 "Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni ofa ya siku moja..hiyo ndege ilikuwa imenunuliwa na shirika na ilikuwa inapelekwa Mwanza kufanyiwa...
  14. Brightly

    House4Sale Nyumba inauzwa million 25 misungwi mwanza

    Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
  15. Brightly

    INAUZWA Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi

    Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
  16. happyxxx

    Kwanini CHADEMA mkutano wa kumualika Rais wamefanyia Moshi ila maandamano waliyafanyia Mwanza?

    Naomba mwenye uelewa anieleweshe hii kitaalam inamaanisha nini? Kikao na Rais - Moshi Maandamano - Mwanza Chadema mipango yao hii vipi mwaionaje.
  17. BARD AI

    Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8. Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5. Orodha ya Mikoa yote...
  18. J

    Mwanza mjini kuna shule haina madawati na Wanafunzi wanakaa zaidi ya 200 darasani? Nimeshangaa kupita maelezo!

    Nimeona kupitia Star tv Mkuu wa Wilaya Mh Makilagi akiwataka Wananchi wajitolee kuchimba Misingi ya madarasa halafu wahisani wa kujenga watatafutwa Makilagi alikuwa kwenye Shule ya Msingi inayotumia Jina la Kiongozi mmoja Mkuu hapa nchini Makilagi amesema katika Shule hiyo Wanafunzi 250...
  19. C

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  20. dubu

    Abiria wa Precision Air, Walazimishwa kuacha mizigo Mwanza kwamba ndege imejaa

    Mwanza: Wasafiri ya Ndege ya Precision Air, Wakatazwa kupanda na mizigo yao kwa sababu ya ndege kujaa sana na haina uwezo kwa sababu za kiufundi Kitendo hicho kimewatia wasiwasi wasafiri wa ndege hiyo ambao imechukua masaa mawili hadi kukubali kupanda ndege hiyo ambayo walitaka maelezo ya kina...
Back
Top Bottom