mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kutoa pesa kwa mke wake 1825. Pumzika kwa amani huko uliko

  2. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) ambayo humfanya mwanaume ampende na kumthamini sana mwanamke wake

    1) UTII Kila mwanaume unaye muona huwa anapenda mwanamke wake awe na utii yaani akiambiwa Jambo basi asiwe mkaidi hata Kama siyo sahihi basi kitu Cha kwanza aoneshe kukubali kusikiliza halafu kwa baadaye ndipo aje na wazo lake ili mwafaka upatikane. Wanaume tunapenda wanawake ambao wanatii...
  3. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa thamani ya Mwanamke kwa Mwanaume

    "Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua." "Mwenye kupoteza penzi la mwanamke mwaminifu, amepoteza maisha yake yote" Jua ya kwamba. A: Mwanamke akiwasiliana au kuwa karibu na wewe sana inamaanisha hataki mwengine. B...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

    Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!. Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Haipendezi Mwanaume mtu mzima kucheza games za kitoto kwenye simu yake

    Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES. Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni yapi madhara ayapatayo mwanaume kwa kumuingilia mke kinyume na maumbile?

    nawasalimu kwa jina la jmt! Tumeona na kuelimishwa na nyuzi nyingi sana humu kuhusu madhara wayapatayo wanaoingiliwa kinyume na maumbile. Hebu leo tufahamishane kuhusu madhara ya kiafya kwa upande wa anayeingilia. Ahsante!
  7. Wild sniper

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya mwanaume kuwa provider wa mwanamke?

    Moja kwa moja kwenye mada, Tangu kuumbwa kwa dunia inajulikana kuwa mwanaume ndio anatakiwa amuhudumie mwanamke wake na familia yake kwa ujumla, lakini je hii ilisababishwa na nini? Na je mpaka sasa huo utaratibu unatakiwa kuendelea ikiwa sababu zilizomfanya mwanamme kuwa provider...
  8. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hufatiliwa sana na Mwanaume asiyeweza kumuacha

    Natumai mu wazima humu ndani, Kiukweli leo nimeamini mwanamke unayemfatilia sana na kumchunga ndiye mwanamke usiyeweza kumuacha kirahisi. Hili nalizungumzia hapa siropoki tu kutokana na kiporo nilichokula ila nina ushahidi nalo kwangu na washkaji na marafiki zangu kwa ujumla. Mwanamke...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hakikisha hukosi vitu kama hivi kwenye hazina yako

    Kesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu Kusini na kisha nitakwenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini. Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo popote. NB: KY ni kwaajili ya kulainisha kuhakikisha hakuna mchubuko na sina matumizi nayo zaidi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume hii ni sawa?

    Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!. Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu. Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia...
  11. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuwa na mahusiano au kuoa chagua mwanamke mzuri

    Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri). Pia hata ukimpa pesa kama akiwa na shida kweli...
  12. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kujua kabla hujaoa

    Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata uwe mzuri vipi mwanaume atachepuka tu, uzuri haumzuii mwanaume kuchepuka

    Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke. Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri. Utashangaa...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Njia wanayoweza kutumia wadada kupata waume wa kuwaoa kwa haraka

    Ulimwengu umebadilika sana, yale mambo ya kizamani ya kwamba, mwanaume ndio anatakiwa aanze kumtongoza mwanadada/mwanamke yalishapitwa na wakati. Kwa takwimu zilizopo duniani, wanawake ni wengi kuliko wanaume; sasa usipotumia ujuzi wa kuzaliwa, utajikuta unazeeka mwenyewe bila mwenza. Ndio maana...
  15. seifutz

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani

    Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli...
  16. Lihakanga

    JamiiForums Tanzania Video za utupu wa mwanandoa zakutwa kwa mwanaume mwingine

    Hii imemkuta jamaa yangu wa karibu. Iko hivi: Jamaa yangu anaishi na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu. Ndoa yao ni tulivu sana. Kifupi wanapendana na kuheshimiana (kwa mtazamo wangu na maisha yao ya nje yanavyoonekana). Mwanaume ana rafiki yake wa kiume. Familia inatambua urafiki...
  17. Shayu

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa tunakosea kama tutampeleka mtu Ikulu kisa ni mwanamke au mwanaume

    Kwa akili zetu tunatengeneza baadae ya taifa hili, ili ndio jambo la msingi tunalopaswa kulitambua, Baadae ya taifa hili itategemea mwelekeo wa fikra zetu. kila wakati lazima tutambue tutavuna tunachopanda. Mawazo yetu na fikra zetu ni mbegu. Na mwelekeo wa fikra zetu ndio utakaoamua destiny...
  18. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

    Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo. Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako. Leo umesisitiza kuwabeba wanawake kwa kuwa hapo zamani wanaume walibebwa Sana kwenye siasa, hivyo sasa...
  19. mshale21

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lamshikilia mwanaume kwa tuhuma za kumchezea sehemu za Siri mtoto

    Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri Alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea ==== Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaweza kupata mapenzi ya kweli endapo umemzidi mwanamke miaka 13?

    Assume mimi ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, halafu namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mimi? Huyo binti hatonichukulia mimi kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor...
Back
Top Bottom