Umuhimu wa thamani ya Mwanamke kwa Mwanaume

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,906
6,693
"Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua."

"Mwenye kupoteza penzi la mwanamke mwaminifu, amepoteza maisha yake yote"

Jua ya kwamba.

A: Mwanamke akiwasiliana au kuwa karibu na wewe sana inamaanisha hataki mwengine.

B: Mwanamke atapata mwanaume bora kuliko wewe kwasababu amejifunza kuchagua kwa jeraha lake.

C: Mwanamke aliyedhulumiwa mwanaume huyo mwanaume atamrudia wakati akiwa ameshachelewa (too late)

D: Mwanamke anamiliki hisia sita zaidi ya mwanaume, kumjua akibadilika au kukinai penzi lako sio rahisi utashtuka tu hayupo.

E: Mwanamke anasubiri na kuvumilia sana kuliko mwanaume na akimuacha mwanaume basi ni baada ya kujaribu kumuomba msamaha mara elfu.

F: Mara nyingi mwanamke akigundua anadanganywa anapendelea kunyamaza kimyaaa kama ameridhika na maelezo yako lakini kumbe

G: Mwanamke anaporeact na kukulaumu haimaanishi kwamba amekudharau, hii inamaanisha mapenzi yake yako kwako anatetea na kulinda mali yake.

H: mwanamke anapokuwa amekerwa na mwanaume ananyamaza kwa kutarajia kuwa atabadilika na sio kwa kutojua kuwa hajui kinachoendelea.

Mwanamke akizungumziwa na mwanaume kuhusu mwanamke mwingine, huficha kilio chake nyuma ya tabasamu lake na huwezi jua kuwa analia ndani kwa ndani.

Tumeumbwa kutegemeana, tupendane kwa dhati, tufurahi, tuhurumiane tusiumizane na tusimfananishe mwanamke kwa kitu chochote kwani ana thamani kubwa katika Jamii zetu na ndio maana Mungu alimtengeneza kutukamilisha hiyo ndio maana sahihi ya mtume petrol ishini na wake zenu kwa akili na upendo mfaidi matunda ya ndoa na mahusiano yenu.
 
Usitutishe hawana thamani yeyote wanaangalia yao
JamiiForums-368542019.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
"Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua."
Sawa ila kuna wanawake wengine wanaboa jamani, hata umkatae vipi bado atajilazimisha tu kwako. Hawajuwi kusoma alama za nyakati.
 
"Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua."

"Mwenye kupoteza penzi la mwanamke mwaminifu, amepoteza maisha yake yote"

Jua ya kwamba.

A: Mwanamke akiwasiliana au kuwa karibu na wewe sana inamaanisha hataki mwengine.

D: Mwanamke anamiliki hisia sita zaidi ya mwanaume, kumjua akibadilika au kukinai penzi lako sio rahisi utashtuka tu hayupo.

E: Mwanamke anasubiri na kuvumilia sana kuliko mwanaume na akimuacha mwanaume basi ni baada ya kujaribu kumuomba msamaha mara elfu.

F: Mara nyingi mwanamke akigundua anadanganywa anapendelea kunyamaza kimyaaa kama ameridhika na maelezo yako lakini kumbe

G: Mwanamke anaporeact na kukulaumu haimaanishi kwamba amekudharau, hii inamaanisha mapenzi yake yako kwako anatetea na kulinda mali yake.

H: mwanamke anapokuwa amekerwa na mwanaume ananyamaza kwa kutarajia kuwa atabadilika na sio kwa kutojua kuwa hajui kinachoendelea.
Ahsante kwa muongozo...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
"Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua."

"Mwenye kupoteza penzi la mwanamke mwaminifu, amepoteza maisha yake yote"

Jua ya kwamba.

A: Mwanamke akiwasiliana au kuwa karibu na wewe sana inamaanisha hataki mwengine.

B: Mwanamke atapata mwanaume bora kuliko wewe kwasababu amejifunza kuchagua kwa jeraha lake.

C: Mwanamke aliyedhulumiwa mwanaume huyo mwanaume atamrudia wakati akiwa ameshachelewa (too late)

D: Mwanamke anamiliki hisia sita zaidi ya mwanaume, kumjua akibadilika au kukinai penzi lako sio rahisi utashtuka tu hayupo.

E: Mwanamke anasubiri na kuvumilia sana kuliko mwanaume na akimuacha mwanaume basi ni baada ya kujaribu kumuomba msamaha mara elfu.

F: Mara nyingi mwanamke akigundua anadanganywa anapendelea kunyamaza kimyaaa kama ameridhika na maelezo yako lakini kumbe

G: Mwanamke anaporeact na kukulaumu haimaanishi kwamba amekudharau, hii inamaanisha mapenzi yake yako kwako anatetea na kulinda mali yake.

H: mwanamke anapokuwa amekerwa na mwanaume ananyamaza kwa kutarajia kuwa atabadilika na sio kwa kutojua kuwa hajui kinachoendelea.

Mwanamke akizungumziwa na mwanaume kuhusu mwanamke mwingine, huficha kilio chake nyuma ya tabasamu lake na huwezi jua kuwa analia ndani kwa ndani.

Tumeumbwa kutegemeana, tupendane kwa dhati, tufurahi, tuhurumiane tusiumizane na tusimfananishe mwanamke kwa kitu chochote kwani ana thamani kubwa katika Jamii zetu na ndio maana Mungu alimtengeneza kutukamilisha hiyo ndio maana sahihi ya mtume petrol ishini na wake zenu kwa akili na upendo mfaidi matunda ya ndoa na mahusiano yenu.
KWANZA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA

"YESU KAMA ANGEOA MKE ANGEKOSA SIFA YA KUWA MWANA WA MUNGU"
 
Back
Top Bottom