Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
Kwa...
Mrembo aliyeanza kujulikana kwenye video ya KWETU ya Rayvanny kama video vixen (LYYN)katika mahojiano na vyombo vya habari amefunguka kuhusiana na maisha yake pia na kusema aina ya mwanaume anayeweza kuwa naye.Katika mahojiano amefunguka haya:•
"Mimi sitaki mwanaume asiye na pesa nataka...
"Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha?
Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya nini? Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri...
Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo.
Unakuta
-Mke anakunyima game maksudi kabisa
- Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa
-Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma.
....
Na hurusiwi ongeza mke.
hii hali dhambi ya uzinzi inaepukika?
Zanzibar ni nchi ya kiislamu?
===
Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani.
Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko...
Imagine mwanaume upo bar unakula bata kama kawaida na kuwalipia marafiki waliokuzunguka pia, lakini kuna sehemu umetelekeza Mtoto damu yako kabisa na hujui anakula nini, anavaa nini anaishije?
Kweli kabisa unaweza kwenda kitandani ukalala usingizi kabisa na huku umetelekeza damu yako? Mwanaume...
Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo.
Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii...
Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu.
Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila...
Nilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela.
Nina wanangu wa wawili wote mainjinia, mmoja nilijuana naye Mchikichini kwenye mapindi, mwengine tulijuana kwenye projects moja ambayo ilikuwa tempo ya kama mwaka mmoja.
Huyu mwana niliyejuana...
Hizi ni skills ambazo ni lazima mwanaume uwe nazo.
1. Mwanaume lazima ujue kupika. Kupika sio kazi ya wanawake wala sio gender role hii. Haya ni maarifa anayotakiwa kua nayo kila mtu.
Kuna watu waliamua kuoa tu kwa sababu wanataka mtu wa kuja kuwapikia. Maana yake kama wangekua wanajua kupika...
Ntajaribu kuifupisha Sana hii kadiri ya uwezo wangu[emoji116]
NI HIVI,
Bila shaka mnamkumbuka yule Mchepuko Wangu anaesoma chuo kikuu ambae ni mdg wake na mamaJ.
Uyu Binti mahusiano yangu na yeye yapo yapo TU kwa msimu. sometimes ON, sometimes OFF
Yaan kwa mwez tunaweza kuonana Mara 1 au Mara...
Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni...
Rais mbabe na mmiliki wa mkanda mweusi wa judo katangaza kuanza kuuza gas yake kwa zile nchi alizoziita unfriendly kwa sarafu ya rubble badala ya dollar & euro na katoa wiki moja kwa bank kuu ya Urus kukamilisha utaratibu wa kupokea mauzo ya gas kupitia rubble
Kwahiyo kuanzia wiki moja toka Leo...
Wasalam!
Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi.
Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na mke wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara wake.
Muda haukuwa mrefu aliomba kurudi kwangu kienyeji enyeji ila hali swala lilishafika kanisani...
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset).
Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na...
Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja.
Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa...
Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba.
Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?
Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu.
Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo...
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.
Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha...
Habari wana jamvi?
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.