Nini sababu ya mwanaume kuwa provider wa mwanamke?

Wild sniper

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
4,353
8,462
Moja kwa moja kwenye mada,

Tangu kuumbwa kwa dunia inajulikana kuwa mwanaume ndio anatakiwa amuhudumie mwanamke wake na familia yake kwa ujumla, lakini je hii ilisababishwa na nini?

Na je mpaka sasa huo utaratibu unatakiwa kuendelea ikiwa sababu zilizomfanya mwanamme kuwa provider zimebadilishwa ama kufanyiwa kazi.

Kwa uelewa wangu mwanaume alitakiwa kuhudumia mke wake kwa sababu hapo zamani mwanamke hakuwa na haki na kitu chochote na pia hakua na access ya kufanya vitu vya kimaendeleo as mwanamke alionekana kama ni mtu wa kukaa nyumbani na kulea familia na mume (ndio nature yao) ndo sababu ya mwanaume kuwa na nature ya kuhudumia mwanamke kwa hiyo sio vibaya wala dhambi.

LAKINI...
Baada ya utandawazi karne hii ya 21 mambo yamebadilika sasa hivi wanawake nao wana haki, opportunities na equal access almost kwenye kila kitu sasa hivi hawakai tena nyumbani kulea familia au watoto kwa maana nyepesi ni kwamba wameacha nature yao ambayo ni kutunza familia na mume wamekengeuka sasa je ni kwanini sisi Wanaume tusiache nature yetu ya kuhudumia ili twende sawa na 50 50 ambayo wanalilia?

Yani kama tunaingia kwenye mahusiano ama Ndoa basi kila mtu aprovide kwa ajili ya familia long as huyo mwanamke anafanya kazi ya kumuingizia kipato, Wanawake wameacha nature yao na dunia inaona sawa lakini sisi tukiacha nature yetu inakua tatizo why? Na hii ni hasa huku Africa maana wenzetu wazungu wanaenda na 50 50 safi kabisa hamna kupigana vizinga.

Wanaume tuache kuhudumia kizembe dunia imekua na usawa wote tuna equal access na kila kazi ama elimu wote tuwe responsible na mahusiano yetu maana walitaka wenyewe hiyo 50 50.

NENO HILI SIO SHERIA.
 
Men cultural messages!! Patriachal system and feminism

Hii ni kawaida kabisa kwa mfumo dume uliopo dunian kote
 
Mtoa mada hii mada imenigusa, utakuta mtu ana mke anafanya kazi lakini huo mshahara wa mwanamke haufanyi majukumu yoyote ya kifamilia,,,halafu hadi matunzo ya mwanamke mwanaume anatoa..huwa najiuliza hivi inawezekanaje mbona ni UZWAZWA.
 
Atang'ang'ania 50/50 ikija swala la provision chap anakimbilia maandiko na kusema "nyie mtakula kwa jasho"
nyambaf kabisa
 
Moja kwa moja kwenye mada,

Tangu kuumbwa kwa dunia inajulikana kuwa mwanaume ndio anatakiwa amuhudumie mwanamke wake na familia yake kwa ujumla, lakini je hii

Wanaume tuache kuhudumia kizembe dunia imekua na usawa wote tuna equal access na kila kazi ama elimu wote tuwe responsible na mahusiano yetu maana walitaka wenyewe hiyo 50 50.

NENO HILI SIO SHERIA.
Tafuta mmama ambaye anajiweza, achana na wasichana.
 
Moja kwa moja kwenye mada,

Tangu kuumbwa kwa dunia inajulikana kuwa mwanaume ndio anatakiwa amuhudumie mwanamke wake na familia yake kwa ujumla, lakini je hii ilisababishwa na nini?

Wanaume tuache kuhudumia kizembe dunia imekua na usawa wote tuna equal access na kila kazi ama elimu wote tuwe responsible na mahusiano yetu maana walitaka wenyewe hiyo 50 50.

NENO HILI SIO SHERIA.
Umeeleza vema.Isipokuwa ulivyoweka neno "nature" ndipo umeharibu kidogo.Asili haiumbwi wala kuharibiwa hovyo tu.Unataka kueleza kwamba wanaume na wanawake,kwa dunia ya leo,tuwe na usawa wa kutunza familia.
 
Moja kwa moja kwenye mada,

Tangu kuumbwa kwa dunia inajulikana kuwa mwanaume ndio anatakiwa amuhudumie mwanamke wake na familia yake kwa ujumla, lakini je hii ilisababishwa na nini?

Na je mpaka sasa huo utaratibu unatakiwa kuendelea ikiwa sababu zilizomfanya mwanamme kuwa provider zimebadilishwa ama kufanyiwa kazi.

Kwa uelewa wangu mwanaume alitakiwa kuhudumia mke wake kwa sababu hapo zamani mwanamke hakuwa na haki na kitu chochote na pia hakua na access ya kufanya vitu vya kimaendeleo as mwanamke alionekana kama ni mtu wa kukaa nyumbani na kulea familia na mume (ndio nature yao) ndo sababu ya mwanaume kuwa na nature ya kuhudumia mwanamke kwa hiyo sio vibaya wala dhambi.

LAKINI...
Baada ya utandawazi karne hii ya 21 mambo yamebadilika sasa hivi wanawake nao wana haki, opportunities na equal access almost kwenye kila kitu sasa hivi hawakai tena nyumbani kulea familia au watoto kwa maana nyepesi ni kwamba wameacha nature yao ambayo ni kutunza familia na mume wamekengeuka sasa je ni kwanini sisi Wanaume tusiache nature yetu ya kuhudumia ili twende sawa na 50 50 ambayo wanalilia?

Yani kama tunaingia kwenye mahusiano ama Ndoa basi kila mtu aprovide kwa ajili ya familia long as huyo mwanamke anafanya kazi ya kumuingizia kipato, Wanawake wameacha nature yao na dunia inaona sawa lakini sisi tukiacha nature yetu inakua tatizo why? Na hii ni hasa huku Africa maana wenzetu wazungu wanaenda na 50 50 safi kabisa hamna kupigana vizinga.

Wanaume tuache kuhudumia kizembe dunia imekua na usawa wote tuna equal access na kila kazi ama elimu wote tuwe responsible na mahusiano yetu maana walitaka wenyewe hiyo 50 50.

NENO HILI SIO SHERIA.
Mfumo Jike mkuu ndio sababu.
 
Utaambiwa tafuta hela.
 
Mwanaume Ni kiongozi na mtawala ukijua nafasi yako vzuri huwezi kuona shida kuhudumia familia kwenye ndoa mwanamke jukumu lake kukutii na kukuheshimu
 
Moja kwa moja kwenye mada,

Tangu kuumbwa kwa dunia inajulikana kuwa mwanaume ndio anatakiwa amuhudumie mwanamke wake na familia yake kwa ujumla, lakini je hii ilisababishwa na nini?

Na je mpaka sasa huo utaratibu unatakiwa kuendelea ikiwa sababu zilizomfanya mwanamme kuwa provider zimebadilishwa ama kufanyiwa kazi.

Kwa uelewa wangu mwanaume alitakiwa kuhudumia mke wake kwa sababu hapo zamani mwanamke hakuwa na haki na kitu chochote na pia hakua na access ya kufanya vitu vya kimaendeleo as mwanamke alionekana kama ni mtu wa kukaa nyumbani na kulea familia na mume (ndio nature yao) ndo sababu ya mwanaume kuwa na nature ya kuhudumia mwanamke kwa hiyo sio vibaya wala dhambi.

LAKINI...
Baada ya utandawazi karne hii ya 21 mambo yamebadilika sasa hivi wanawake nao wana haki, opportunities na equal access almost kwenye kila kitu sasa hivi hawakai tena nyumbani kulea familia au watoto kwa maana nyepesi ni kwamba wameacha nature yao ambayo ni kutunza familia na mume wamekengeuka sasa je ni kwanini sisi Wanaume tusiache nature yetu ya kuhudumia ili twende sawa na 50 50 ambayo wanalilia?

Yani kama tunaingia kwenye mahusiano ama Ndoa basi kila mtu aprovide kwa ajili ya familia long as huyo mwanamke anafanya kazi ya kumuingizia kipato, Wanawake wameacha nature yao na dunia inaona sawa lakini sisi tukiacha nature yetu inakua tatizo why? Na hii ni hasa huku Africa maana wenzetu wazungu wanaenda na 50 50 safi kabisa hamna kupigana vizinga.

Wanaume tuache kuhudumia kizembe dunia imekua na usawa wote tuna equal access na kila kazi ama elimu wote tuwe responsible na mahusiano yetu maana walitaka wenyewe hiyo 50 50.

NENO HILI SIO SHERIA.
Naomba niseme wanawake ni wabinafsi sana, na ukiruhusu ujinga wa 50/50 utaishi maisha machungu sana, hawa viumbe nikwenda nao kindava lazima uwe mkoloni haswaa. Ukileta zile za baby., baby kmanina wanakupanda kichwani mchana kweupee.
 
Back
Top Bottom