Huyu ndiye Mwanaume bora wa mwaka 2026

Huyu ndiye Mwanaume bora wa mwaka 2026

Vulmeko

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
349
Reaction score
305
Nimeipenda sana kauli yake.
Wakati anatangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu, amesema anaenda kufanya kazi muhimu zaidi:
"Kuwa mume bora kwa mke wangu mzuri... na kuwa baba bora zaidi kwa watoto wangu wazuri...,"

Wewe vipi, una mawazo au nia kama hiyo kwa mke wako na watoto wako?. Kama unawaza kumwacha mke wako au kumkomoa basi kubali tu hustahili kuitwa mwanaume bora au mume bora. Na pia kama unapanga kuwa na mahusiano na wanawake wengi, tambua kuwa utazaa watoto wengi watakaokosa malezi ya baba, na kwa sababu hiyo pia hustahili kuitwa baba bora.

The Rt Hon Sir Keir Starmer, congratulations on recognizing that being a devoted husband and father is a man’s highest calling.

Your decision is a powerful reminder that true greatness begins at home.
You have set an inspiring example for men everywhere.
 
Uwajibikaji , kitu ambacho serikali za ki africa bota angekufa
 
Hakuna kipya hapo. Problems are very humbling. They draw people closer to their families.

Ukipigwa lazima ukimbilie nyumbani.
 
Not always, Chief.
Kwani wewe hujui kwamba kuna watu wakikasirishwa na problems zilizowapata, badala ya kukimbilia nyumbani na kuwa humbled, hasira zao wanazimalizia kwa mke na watoto?
 
Exceptions huwa hazikosekani, lakini the vast majority of us tukipigika huko nje, tunatafuta refuge nyumbani. That’s when we see the true value of our families!
 
Au sio 😁 kila la heri
Mtu wenye matunda ndio tunaupiga mawe
Screenshot_2026-06-22_145501.jpg
 
Back
Top Bottom