mwanangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

    Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu. Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo. Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
  2. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Tarehe yaleo mwanangu angetimiza mwaka 1 kamili

    Kuna wanawake makatili sana duniani, mwenzenu naandika uzi huu kwa uchungu sana, leo ilikuwa tarehe ambayo mwanangu angetimiza umri wa mwaka mmoja. Kabla ya kuendelea mbele naomba niwajulishe kuwa rambirambi zote napokea PM. Iko hivi, nilimtumia demu nauli ya kuja geto na akala nauli. Laiti...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mwanangu hali kabisa nje ya nyumbani

    Wakuu hongereni kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri. Sasa huyu dogo he is almost 4 now. Ila tatizo Lake hali chakula chochote nje ya nyumbani. Mfano hata mkienda mahali ukimuagizia chochote hawezi kula. Ila akirudi nyumbani anakula vizuri tu. Sasa huyu dogo ananifikirisha sana akienda...
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Mwanangu asome fani gani kwa ufaulu huu?

    Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM, Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E, Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
  5. MtanzaniaMakini

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anasumbuliwa na kifua

    Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua. Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa udogo wake namuhurumia sana nimekuwa mtu wa mawazo sana sindano zinamuumiza hapa napoleta post...
  6. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Nina kijana wa miaka 17 wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah. Shuleni ni average sana...
  7. runyaga

    JamiiForums Tanzania Mwanangu amepata kigugumizi cha ghafla, msaada kama naweza kupata tiba

    Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu. Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea kwake. Sasa nilikuwa naulizia kama kuna msaada anaweza kupata.
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Mwanasiti Kijino Kama Chikichi

    MWANANGU MWANASITI KIJINO KAMA CHIKICHI... Laiti kama kuta zingekuwa na masikio. Picha hiyo ya kwanza hapo ni Muthaiga Country Club, Nairobi mwaka wa 1989 niko na Ally Sykes (1926 - 2013). Picha ya pili niko na Bilal Rehani Waikela (1932 - 2022) Magomeni Mapipa mwaka wa 2019. Wote wawili...
  9. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Naomba ujuzi Jinsi ya kumlea mwanangu wa kike

    Kama somo linavyojibabadua Masahihisho Naomba kujua namna bora kumlea mwanangu
  10. Kiyumbi Yuga

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini 1. Ukimuita jina lake hageuki 2. Anapiga makelele tu 3.kuna wakati Anakuwa anaziba masikio 4. Anatamka sauti zinazojirudiarudia lkn hazieleweki 5. Anapenda...
  11. Fateema

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

    Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne. Nashukuru sana kwa wana Jf...
  12. Fateema

    JamiiForums Tanzania Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule...
  13. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Makonda, umeichoka na kuikinai nafasi yako chamani?

    Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Ngoja nikusaidie kwakuwa nilikuwa kiongozi mwandamizi chamani kabla yako...
  14. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

    Nitahakikisha hilo. Nami nipo hapa Dar es Salaam kuhudhuria vikao vya chama changu CCM kama mmoja wa mwalikwa. Uridhike na ulichopewa chamani. Ulipoteuliwa tu kuwa Mwenezi wa CCM, hima ukaanza tamaa ya Ukatibu Mkuu. Ukaratibu bila utaratibu wala kutubu mipango ya kuifanya nafasi ya Katibu Mkuu...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hospitali ipi ninaweza kumfanyia kipimo cha EEG test kwa Tanzania, mwanangu anasumbuliwa na degedege

    Wakuu habari, Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF). Mbarikiwe
  16. C

    JamiiForums Tanzania Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

    Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa. Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mwanangu yupo humu JF na kijiwe chake kikuu ni hapa MMU

    Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano mapenzi na Unafiki. Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia. Yaani mzazi unakutana na mwanao kwenye mitaa ya...
  18. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Ally K wa ilala hauoni aibu kuishi kwa wazazi wako hapo maskani

    Sina haja ya kumdhalikisha mtu hapa nipo kuusema ukweli hapa kuna mambo yananikera sana hapa na muhusika yupo hapa jukwani hii thread anaiona bila shaka hapa Ally k wazazi wako wanachukizwa na hiyo tabia yako ya kuishi hapo kwenu wazazi wako wamenilalamikia kwamba unawanyima uhuru na halafu sie...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

    Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae . Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nitamshawishi vipi mwanangu ili aamini kwamba Rigobert Song anamzidi Samuel Eto'o miaka 5 tu?

    Rigobert Song amezaliwa 1976 wakati ambapo Samuel Eto'o amezaliwa 1981. Swali: Mbali ya umri, uzee unasababishwa na kitu gani kingine??
Back
Top Bottom