mwanamke

  1. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya Mwanamke Duniani, ewe mwanamke unataka kumwambia nini mwanaume leo?

    Mimi binafsi nawaambia wanaume punguzeni dharau kwa wanawake, kuweni wanaume kamili, dharau hazijengi wala kukuletea sifa njema. Poleni na majukumu wanaume, Mungu awabariki mkinielewa au msiponielewa. NB: Wanaume hawatakiwi kuwa na maneno mengi, uanaume ni kazikazi. Tubarikiwe wanawake wote...
  2. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mwanamke wako Kukudharau/ Kukushushia Heshima

    Una mwanamke sasa ni miezi kadhaa. Pengine una miaka kadhaa pamoja naye. Lakini kuna vitu anavifanya huelewi hujui ufanye nini. Hujui kama uko peke yako au la. Muda mwingi anakua na jeuri, anakudharau na kukupandishia sauti hadi unatamani umpige. Unajihisi huna uhuru tena ukiwa naye. Hutaki ata...
  3. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mnyenyekevu ndiye chaguo bora kwa mwanaume yoyote

    Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii. Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu. Tukiweza kuwa wanyenyekevu kwa wanaume wetu, na kuwaombea, migogoro inapungua na kutoweka kabisa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sheria ya malezi iseme; kama Mwanamke hawezi Kulea mtoto ampeleke Kwa Baba yake. Hiyo ndio Mantiki na si vinginevyo

    SHERIA YA MALEZI ISEME; KAMA MWANAMKE HAWEZI KULEA MTOTO AMPELEKE KWA BABA YAKE, HIYO NDIO MANTIKI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unajua kuna Wakati mpaka unashangaa wanaotunga hizi sheria uwezo wao wa kufikiri ukoje nazungumzia hizi sheria za mahusiano hasa ya Mume na...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye mfumo dume hakuna kitu kinaitwa Ushoga

    KWENYE MFUMO DUME HAKUNA KITU INAITWA USHOGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Nimeona andiko la Kaka Mshana Jr akionesha masikitiko yake kuhusu janga la ushoga ambalo kwa kiasi linaongezeka hapa nchini. Nikaona nami niseme KITU. Familia, koo, makabila na mataifa yanayoendekeza mfumo dume...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: usione wembamba wa reli, gari moshi hupita! Mwanamke hata awe mfupi kapewa uwezo mkubwa wa kuyamudu.

    Atakumudu vema tu,
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe, bali mwenye hekima huijenga nyumba

    MWANAMKE MWENYE MAKELELE Tarehe 9/10/2021 nipo stendi ya mabasi Iringa, nimekaa karibu na wakatisha tiketi za mabasi waliokuwa wakifanya mazungumzo yao, na katika mazungumzo yale ninawasikia wakijibiza. "USIRINGE WEWE SI USHUKURU NDOA YAKO HAINA MAKELELE, MI MWENYEWE HAPA NI MNENE, BASI TUU KWA...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Esther Malleko - Uchumi wa mwanamke ukiimarika, watoto watakuwa salama

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Maleko amesema uchumi wa mwanamke ukiinuliwa, familia itakuwa na amani na ukatili dhidi ya watoto utapungua na hivyo kuwataka wanawake kutumia fursa ya mikopo inayotolewa kutoka katika mapato ya ndani ya Halmashauri kuanzisha miradi ya...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamke acha kulala na kijora!

    Karibu ujipatie nightdres kali mtumba grade 1 kwa 12000 tu Piga 0699379175, wtsp 0678900498 popote zinakufikia.
  10. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpiga X-Ray mke wangu mtarajiwa na ukoo wake

    Habari zenu humu, kwanza tambua ukubwa jalala na kijiji bila wazee ni Jahanam. Week hii ndugu zangu nimeenda kumpiga X-Ray my future wife pamoja na ukoo wake kwa nia tu nzuri, ili tu tujue account ya nani ipo juu. Baada ya X Ray kutoa majibu account yangu ipo juu kuliko ya my future wife kwa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
  12. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Tambua Dalili 9 Za Wazi, Unaelekea Kufanywa Rafiki Tu Na Mwanamke. (Epuka Friendzone)

    Urafiki na mwanamke unayemtaka kimapenzi sio mzuri. Aitha utaishia kuchunwa au kuumizwa. Huwa inauma pale unamfikiria mwanamke kimapenzi lakini anaishia kukufikiria kama rafiki au ndugu. Japo unaweza kuambiwa kuwa ili umpate anza kuwa rafiki yake kwanza, lakini je, hilo ndo lengo lako? Mwanamke...
  13. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa

    Kuna kijana kaniuliza kwani we uliyejiajiri unaingiza zaidi ya 5M au upo chini ya hapo. Na mjibu kama ifuatavyo 👇 Tatizo sio kuingiza kiasi gani we utakuwa mbumbu na unatetea upuuzi bora kuingiza buku yangu kuliko kutumia akili yangu kumuingizia million mwajiri wangu. Hapa kinachozungumziwa ni...
  14. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

    Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa ni 2019. Watu wengi walijaribu kumkanya afute kauli yake -akiwemo Bill Nas na Pastor Mmoja hivi...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Moyo wa mwanamke pacha wake kuku, wote tiba yao ni vitu

    Hello mambo JF! Muda mchache mambo ni mengi, usisumbuke asili ya tamaa ni vitu kama ilivyo kwa mwanamke na kuku, wote tamaa yao huvutwa na mvuto vitu kama afanyavyo kuku. Hata angeona hatari gani, uchu wake mrushie mchele ndio utajua nguvu ya mchele kwake kuku, vivyo vivyo hivyo mwanamke...
  16. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Mwongozo rahisi wa Kumtongoza Mwanamke unayekutana naye mara kwa mara

    Utapata urahisi zaidi ukiwa wa thamani katika jumuiya uliyopo. Jumuiya uliyopo inaweza kuwa ni kazini, shuleni, mtaani, kanisani au sehemu ambayo unakutana na mwanamke mara kwa mara. Hakikisha unajulikana na watu, ongea na watu wengi kadri uwezavyo. Hili litaongeza thamani yako kama...
  17. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anajihisi yuko Paradiso ukifanya mambo haya

    1. kichwani Pitisha mkono kwa nywele zake papasa sio umkune papasa. 2. Sikio Kidole chako fulani hivi pitisha shikioni au vizuri zaidi ukitumia ulimi kulamba sikioni. 3. Shingo/Kisogoni Nayo lamba kama unalamba koni... au papasa. 4. Kwenye nyayo za miguu Huku jamani kuna hatari aisee...sema...
  18. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

    Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali. Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna raha kama kuwa na Mwanamke mzuri, mwenye Elimu na Pesa halafu awe anakupenda

    HAKUNA RAHA KAMA KUWA NA MWANAMKE MZURI, MWENYE ELIMU NA PESA ALAFU AWE ANAKUPENDA. Anaandika, Robert Heriel Ooh! Sitaki Mwanamke mwenye Elimu, Ooh! Sitaki Mwanamke anayejiweza kiuchumi, Hivi mmelogwa? Au hamjiamini! Hakuna kazi ngumu kama kuishi na Mwanamke asiye na Elimu yaani mjinga. Na...
  20. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanamke tajiri anayemiliki pesa nyingi duniani kuzidi matajiri wa kiume?

    Naomba kufahamu maana kila siku naona list za wanaume tu. Sasa mbona wanapambana sana, hela zao wanawekeza wapi?
Back
Top Bottom