Tambua Dalili 9 Za Wazi, Unaelekea Kufanywa Rafiki Tu Na Mwanamke. (Epuka Friendzone)

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Urafiki na mwanamke unayemtaka kimapenzi sio mzuri.

Aitha utaishia kuchunwa au kuumizwa. Huwa inauma pale unamfikiria mwanamke kimapenzi lakini anaishia kukufikiria kama rafiki au ndugu. Japo unaweza kuambiwa kuwa ili umpate anza kuwa rafiki yake kwanza, lakini je, hilo ndo lengo lako? Mwanamke hawezi kukusoma akili akajua unamtaka, ni muhimu kuonesha malengo yako kwa mwanamke ili ujue mapema kama mtaendana au la na kupeusha mawazo na maumivu ya moyo mbeleni. Muhimu uzijue dalili hizi ili usipate shida ya kuteseka mbele ya safari.

Mwanamke havai kukuvutia. Akiwa na wewe anavaa kama anaenda kwa kaka yake. Anakuvalia kimazoea kiasi kwamba huwezi hata msifia kapendeza. Kwake anaona hana sababu ya kukuvutia kimapenzi sababu umejiweka kirafiki zaidi.

Ukiona unajitoa kumsaidia kila kitu. Vingine kwa makosa yake binafsi, anakugeuza bega lake la kulia kila akiwa na cha kumuudhi, unakuwa mshauri wake wa kila kitu, atatumia hela zako bila dalili za kusonga mbele kimapenzi. Na ukiona muda mwingine upo radhi kuacha shughuli zakona kumsaidia au kumuona ili akupende ujue unaburuzwa tu kuelekea kwenye urafiki, hatokupenda kimapenzi.

Anaongea na wewe kuhusu wanaume wengine. Mara nyingine mwanamke akiwa bado hajui akuweke kundi gani ataongelea wanaume wengine, mara huyu mzuri au bwana wake wa zamani. Lengo la wewe kuongea naye ni kumjua zaidi na sio kujua zaidi kuhusu wanaume anaowajua. Hivyo ukiona anaongelea sana kuhusu wengine mwambie hauna shida ya kusikia kuhusu wengine unataka muongee mambo yenu.

Hana wasiwasi juu yako au wivu juu yako. Hakujali sana, unaweza kumtumia sms ya maana akakujibu na mh au P au K. Pia atataka akuendeshe kuwa uongee na nani na usiongee na nani.

Anakutafuta muda wowote anaojisikia kukuambia kuhusu shida zake na wewe unasikiliza tu. Ila anakukasirikia endapo we ukimpigia muda wowote ukiwa na ajenda yako.

Anapotezea au kukujibu vibaya pale unapojaribu kumchombeza. Pia hatotaka umguse sehemu zinazosisimua kimapenzi.

Mkitoka atataka aalike na marafiki zake. Ili usipate mwanya wa kumchombeza au kumtomasa kiurahisi. Na ukitoka naye peke yenu atakua bize na mambo mengine zaidi ya muda wenu pamoja.

Anakuita majina kama rafiki, best friend, bro, kaka au ndugu. Epuka kuitwa ivo na mwanamke unayemfukuzia.

Atakuambia “anatamani angepata mwanaume kama wewe” lakini ukianzisha mazungumzo ya mahusiano anakukatisha au anabadili mada kiujanja ujanja, au ndo atajifanya amekumbuka kufanya kitu fulani na kukuacha juu juu. Na ukifanikiwa kumuambia kutaka kuwa naye kimapenzi anakuambia muwe marafiki tu au kaka na dada.

Chanzo kikubwa cha kufanywa rafiki ni kukosa ujasiri wa kuonesha lengo lako kwa mwanamke, ukihofia kukataliwa au kuharibu urafiki. Hivyo ni muhimu kuwa jasiri na kuonesha kuwa unamtaka huyo mwanamke kimapenzi kwa kumchombeza, kuwa na mipaka na kumshika ili ajue we hujaja kuwa rafiki yake.
Natumaini utakua umejifunza, na nikutakie siku njema katika kulijenga taifa.
 
The key hapa ni ku retain confidence yako by any cost. Utakuwa rafiki if you stop to act like a man
 
Question: "Do women find violent men to be attractive, and if so why?"

Yes.

Males who have a capacity for violence have better odds of being capable of protecting them, than males who do not.

Key Word: 'Capacity'.
 
Urafiki na mwanamke unayemtaka kimapenzi sio mzuri.

Aitha utaishia kuchunwa au kuumizwa. Huwa inauma pale unamfikiria mwanamke kimapenzi lakini anaishia kukufikiria kama rafiki au ndugu. Japo unaweza kuambiwa kuwa ili umpate anza kuwa rafiki yake kwanza, lakini je, hilo ndo lengo lako? Mwanamke hawezi kukusoma akili akajua unamtaka, ni muhimu kuonesha malengo yako kwa mwanamke ili ujue mapema kama mtaendana au la na kupeusha mawazo na maumivu ya moyo mbeleni. Muhimu uzijue dalili hizi ili usipate shida ya kuteseka mbele ya safari.

Mwanamke havai kukuvutia. Akiwa na wewe anavaa kama anaenda kwa kaka yake. Anakuvalia kimazoea kiasi kwamba huwezi hata msifia kapendeza. Kwake anaona hana sababu ya kukuvutia kimapenzi sababu umejiweka kirafiki zaidi.

Ukiona unajitoa kumsaidia kila kitu. Vingine kwa makosa yake binafsi, anakugeuza bega lake la kulia kila akiwa na cha kumuudhi, unakuwa mshauri wake wa kila kitu, atatumia hela zako bila dalili za kusonga mbele kimapenzi. Na ukiona muda mwingine upo radhi kuacha shughuli zakona kumsaidia au kumuona ili akupende ujue unaburuzwa tu kuelekea kwenye urafiki, hatokupenda kimapenzi.

Anaongea na wewe kuhusu wanaume wengine. Mara nyingine mwanamke akiwa bado hajui akuweke kundi gani ataongelea wanaume wengine, mara huyu mzuri au bwana wake wa zamani. Lengo la wewe kuongea naye ni kumjua zaidi na sio kujua zaidi kuhusu wanaume anaowajua. Hivyo ukiona anaongelea sana kuhusu wengine mwambie hauna shida ya kusikia kuhusu wengine unataka muongee mambo yenu.

Hana wasiwasi juu yako au wivu juu yako. Hakujali sana, unaweza kumtumia sms ya maana akakujibu na mh au P au K. Pia atataka akuendeshe kuwa uongee na nani na usiongee na nani.

Anakutafuta muda wowote anaojisikia kukuambia kuhusu shida zake na wewe unasikiliza tu. Ila anakukasirikia endapo we ukimpigia muda wowote ukiwa na ajenda yako.

Anapotezea au kukujibu vibaya pale unapojaribu kumchombeza. Pia hatotaka umguse sehemu zinazosisimua kimapenzi.

Mkitoka atataka aalike na marafiki zake. Ili usipate mwanya wa kumchombeza au kumtomasa kiurahisi. Na ukitoka naye peke yenu atakua bize na mambo mengine zaidi ya muda wenu pamoja.

Anakuita majina kama rafiki, best friend, bro, kaka au ndugu. Epuka kuitwa ivo na mwanamke unayemfukuzia.

Atakuambia “anatamani angepata mwanaume kama wewe” lakini ukianzisha mazungumzo ya mahusiano anakukatisha au anabadili mada kiujanja ujanja, au ndo atajifanya amekumbuka kufanya kitu fulani na kukuacha juu juu. Na ukifanikiwa kumuambia kutaka kuwa naye kimapenzi anakuambia muwe marafiki tu au kaka na dada.

Chanzo kikubwa cha kufanywa rafiki ni kukosa ujasiri wa kuonesha lengo lako kwa mwanamke, ukihofia kukataliwa au kuharibu urafiki. Hivyo ni muhimu kuwa jasiri na kuonesha kuwa unamtaka huyo mwanamke kimapenzi kwa kumchombeza, kuwa na mipaka na kumshika ili ajue we hujaja kuwa rafiki yake.
Natumaini utakua umejifunza, na nikutakie siku njema katika kulijenga taifa.
Sawa kaka
 
Polee
Screenshot_20230222-174156.jpg
 
Tafuta pesa kama dokta mwaka .maelezo yako ni ushuzi usio muua mbu bali unaleta nzi tu.
 
dah unanikumbusha wakat nipo chuo ,, kuna pisi nmeshajiaribu kila mbinu aisee nimeambulia kuitwa kipenzi ,,ndugu yangu ,, kaka yang ,, rafiki ..yani mpk naishiwa nguvu kwakweli nmesharusha voko za kutosha ila kwenye matokeo zero ...nikipiga isabu ya visinga nlopigwa nabaki naduwaaa tu
 
haha somo hilo mzee
 
Friendzone ni utapeli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom