Kwanza kabla ya kuangalia sifa za mwanamke, angalia sifa zako kwanza kisha ujitathmini kama unastahili kuwa mwanamke mwenye sifa hizi.
Ni muhimu kumpima mwanamke uliyenaye kama anafaa kuwa nawe maishani. Sio uwe naye sababu ndio mwanamke aliyekuonesha upendo.
Ndio maana wakati wa uchumba...
Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya.
Sifa zangu
Urefu Futi 5.9
Elimu: degree moja
Kazi Mwalimu wa secondary (Government)
Kabila Haya
Sifa za Mwanamke
Awe Bikra
Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili
Dini Muslim
Sifa kuu awe bikra
na smart kichwani That all...
Ukikaa Na mwanamke kama mke kwa muda hata Wa mwaka tu mkitafuta mtoto ndo utagundua wahaya wanakuibia tu kwa sababu zipo siku utamchallange mkeo tena bure halafu usikojoe mapema uta Go sana mpaka mwenyewe utaamua uchomoe bila kumwaga wazungu.ndio siku hio utajua kumbe wanawake hawaumii hata...
Verdiana Grace Masanja, Mwanahisabati wa Tanzania
Verdiana Grace Masanja alikuwa mwanamke wa kwanza kutoka Tanzania kupokea Ph. D katika somo la hesabu. Alizaliwa Bukoba, eneo la mjini la Tanzania kwenye Ziwa Victoria karibu na Uganda. Mwanafunzi bora kama mtoto na mara nyingi alikuwa bora...
Wanaume wengi huumia kwa kutokuzingatia vitu vya msingi linapokuja suala la mahusiano. Sababu hawajui wanachokitaka, wanachokifanya, hawana uzoefu. Na kuishia kuumia, kuwachukia, na kuwalaumu wanawake kwa mambo mengi.
Lakini ili kuepuka hayo, na wakati unatengeneza uzoefu kwenye suala la...
Habarini wakuu nimekuwa nikifikiri deepdown kwa muda mrefu,
● Hivi mfumo wa ndoa kwa hapa Tanzania ni kama family ya kike inamuuza mtoto wa kike kwa mwanaume but wameifanyia camouflage iitwe kwa MAHALI
● Pili sidhani kama Mungu analiafiki hilo maana hata maandiko hakuna sehemu yamebariki hicho...
Ikiwa Leo ni siku ya wanawake duniani ningependa nichangie mawili matatu.
Wanawake kama walivyo wanaume nao huwa Wana hisia za furaha na huzuni pia, kutofautiana katika ndoa ni Jambo la kawaida Sana kwasababu binadamu hatuja kamilika hivyo huwa tuna fanya makosa ima Kwa kujua au kutokujua au...
Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia.
Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa, lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu.
Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa:
Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote...
Ni muhimu kwa mwanamke kumjaribu mwanaume. Ni njia yao ya kujilinda na kujua ujasiri wa mwanaume. Mwanamke hupima ujasiri wa mwanaume mara kwa mara.
Haijalishi we ni rafiki yake, mpenzi wake, baba yake au jirani tu. Sababu ndivyo alivyoumbwa. Anahitaji kujua haraka nani atafaa kuwa kiongozi...
Lk 1:46-50 SUV
Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu; Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa; Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu. Na...
Salaam.
Kuna wakati mwanamke unaona mwanaume wako unayempenda na kumuheshimu hakupendi wala kukuthamini kama ilivyokuwa mwanzo/kabadilika. Na hali hii inawaletea stress wanawake wengi.
Wapo wanawake wakiona tu kidume hakieleweki anasepa zake, which is good for peace of mind ila kama wewe ni...
Inawezekana mmekua pamoja kwa miaka sasa.
Au pengine ndo mna miezi kadhaa kwenye mapenzi.
Lakini hivi karibuni anaonesha hana hamu na wewe kivile. Mapenzi yamepungua. Shauku yake ya kuwa na wewe unaona imepungua.
Kadri unavyoona hisia zake zinapungua, wewe ndo unazidi kuongeza nguvu ili awe nawe...
Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.
“Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
Amani iwe kwenu!
Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love...
Na siku zote ukiona mwanaume mwenye pesa hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida.
Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu.
Kama...
Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari".
Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi;
Bidhaa
Mwanamke [ Nyanya ]
Wauzaji
Wazazi upande wa mwanamke
Wanunuzi
Wazazi upande wa mwanamme.
Dalali
Mshenga
Mazungumzo ya biashara:
Mzazi upande wa mwanamke...
Ukiwa na mwanamke mwenye furaha ni raha sana ndani.
Vitu vinakua rahisi, pia utaweka nguvu zako kwenye kazi/ biashara kwa amani. Raha ya upendo wa dhati. Wote mnakua mpo kwa ajili ya kuhakikisha mwenzio ana furaha. Wengi hudhani mwanamke anakua tu ivo bila kushughulika.
Lakini ukweli ni kuwa...
Wanabodi,
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo.
Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
Mapunga wa kataa ndoa vita yao ni dhidi ya wanawake.
Wazee wa chaputa nao hawataki kusikia kitu kinaitwa mwanake.
Walio kwenye ndoa malalamiko lukukuki dhidi ya mwanamke, tatizo ni nini? Wanawake mbona kila siku ni nyie tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.