mwanamke

  1. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu 3 muhimu kwanini mwanaume mwenye hela humvutia mwanamke kirahisi

    Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi. Usalama wanaotaka ni usalama wa kiakili, kiroho na kimwili ilii aweze kujiachia kwa mwanaume. Usalama wa kimwili mwanamke huupata pale...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajuaje kuwa mwanamke alishazaa pasipo kuniambia?

    Mambo vipi Watanzania bara wenzangu? Hebu tupeane mbinu, maana hapa Town sasa hivi wanawake unakuta keshazalishwa watoto 10 huko anakudanganya hana mtoto ili umuoe tu. Utamjuaje mwanamke ambaye tayari keshashusha injini wakuu, yaani keshazaa tayari, ni vialama au viashiria gani anakua navyo?
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kupata ujauzito akiwa ananyonyesha, kabla hajaona hedhi yake ya kwanza

    Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa ukomo wa hedhi. Kwa maana rahisi, mwanamke hawezi kupata ujauzito ikiwa hapati hedhi. Hata hivyo...
  4. Silivian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia ya kuwa na mahusiano na mwanamke kwa urahisi

    Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua. "Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa mwenyewe." Hii mara nyingi huwa inafanya kazi kama mwanamke atakuwa single au yupo kwenye mahusiano...
  5. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaishiwa Cha Kuongea Na Mazungumzo Yanakua Mafupi Ukiwa Na Mwanamke? Fuata Muongozo Huu...

    Aidha unaongea na mwanamke kwa mara ya kwanza au tayari upo na mwanamke lakini mazungumzo yenu yanakua kama mahojiano ya kutafuta kazi/ polisi hakuna hisia zozote, hakuna kuchombezana na we mwenyewe unaona haufurahii mazungumzo. Hivi ndivyo unaweza na kuyabadilisha kuwa mazungumzo yenye raha...
  6. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukimuambia/ Ukimpa mwanamke taarifa zako zote kwa haraka atakuacha?

    Wanawake ni viumbe wanaopenda kufanya udadisi hasa linapokuja suala la mahusiano. Hii ni kwasasabu wanawake hawaridhiki mpaka wapate kile wanachokitaka, kabla hawajakipata hicho kitu mawazo yao na hisia zao muda mwingi zinakua juu ya hicho kitu. Kumfanya mwanamke awe mtafiti kwako ni moja ya...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

    Wasalaam Zingatia mada, upendo na kumpenda mwanamke ni mgao wa baraka sio utumwa japo ni hiari isiyo hiari, siwezi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja yaani nivutiwe nae kwa hali chanya halafu nipate mrejesho hasi, kisha nijishushe nibembeleze, hio hapana. Namsujudu Mungu sio mbususu wala...
  8. 2025DG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba omba hela

    Hello. Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum? Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki tunajua ipo jamani sio kitu cha kukiendekeza kabisa. Now days imekuwa ngumu kumtofautisha ombaomba na...
  9. 2025DG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana usitafute hela kwa ajili ya mwanamke

    Habari. Kijana wa kitanzania tafuta hela kwa ajili ya kujikwamua maisha yako binafsi na familia. Achana na drama za kutafuta hela ya ajili ya mwanamke ambaye unachofanya ni probability. Tafuta hela kwa ajili ya maisha yako binafsi.
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Amri ya kutotamani mke wa mtu au mwanamke inapotoshwa sana na jamii

    Hey
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye hekima uijenga nyumba yake

    Methali 14:1-18 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka kwake, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake. Bila...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

    1. Baba yake Kafa 2. Alimtelekeza tokea akiwa Tumboni 3. Baba yake akitaka Kumuua 4. Baba yake kasema haikuwa Mimba yake 5. Ndugu za Baba yake wamemkataa Ila nje ya sababu hizi au kama huyo Mwanamke nitakayemuoa hatonipa hizi sababu Tano ( 5 ) tajwa hapa juu basi atafute kwa kumpeleka huyo...
  13. Basi Nenda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda: Mahakama imeamuru mwanamke amlipe 'sponsa' pesa yake

    Huko nchini Uganda Mahakama imeamuru Mwanamke mmoja alipe gharama ya Ush 10 millions kwa sponsa wake kama fidia ya Mwanamke huyo kumuacha njia panda sponsor baada ya kusomeshwa. Imeelezwa mahakamani hapo kwamba sponsor alimsomesha binti chuo pamoja na kumghalamia mambo mengine lakini ilipofika...
  14. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha Mwanamke kumuoneshea kiburi na jeuri mwanaume wake katika mahusiano

    Japo sio wanawake wote ila Kuna Aina flani ya wanawake kumuoneshea mwanaume wake jeuri na kiburi ni kitu cha kawaida tuu. Wapo wanaume ambao wanafanyiwa vitu vya ajabu ajabu na wanawake zao lakini unakuta mwanaume yupo kimya Hana la kuongea Inafika hatua mwanamke anakuwa jeuri na ana kiburi...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kubeba vitu vyote vya ndani kwa mwanaume

    Habarini wana Jamii Forums! Kwa wanao fahamu maisha ya Dar ... kumkutaa mwanamke mwenye mtoto stendi pamoja na mabegi yake na hana pa kwenda ni jambo la kawaida! Kuna mwamba hapa alitokea zake kwenye mizunguko akafika rangi tatu pale ( mbagala zakiem ) kutokana na uhaba wa usafiri hasa kwa...
  16. Craig

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mwanamke unayemtaka kwenye ukumbi wa harusi

    Moja kwa moja kwenye mada kichwa Cha habari kime jitosheleza. Kwa uzoefu wangu hakuna mahali mwanamke anapatikana kirahisi Kama harusini na msibani.. ukumbini unaweza pata pisi Kali kwa ucheshi tu. Hakikisha umetupia code classic koti na shati na ikiwezekana tupia miwani uwe na muonekano wa...
  17. Hustler_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madomo zege njooni tupeane madini namna ya kutongoza mwanamke mgumu

    Iwapo mwanamke anaonyesha dalili za kukutongoza ambazo umependezwa nazo, haitakua jambo zuri kwako kama utapuuza swala hili kwa kufanya matendo yasiyotakikana. Baadhi ya wanaume wengine wanaweza kudai kuwa wanawake ambao wanatongoza waume hawafai kukubalika kwani si kawaida. Well, jibu ni kuwa...
  18. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

    Baada ya kukutana nae tu, siku mbili mbele nikaanza jisikia ovyo, nimepima nimekutwa na UTI, na hapa si inamana nipime na UKIMWI? Hii sio ishara ya kuchepuka?
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisiwe mnafiki wanawake wenye chuchu Mungu awazidishie zaidi

    Wasalaam Sina mengi nimetafakari sana kwenye rejea mimi ni Mr chuchuz ujumbe wapenda trakooz mimi siko huko, hakika wanawake wenye chuchu Mungu awabariki sana aongeze idadi yenu kuna haja tuendelee na tafakuri ya kuoa au kuenzi vyombo. Sina mengi mnanibariki sana I feel it uwepo wa mwanamke...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Historia kuwekwa Tanzania 2025, huenda Waziri Mkuu (Premier) ajaye akawa ni Mwanamke

    Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke (Mwanamama) ajaye wa mwaka 2025 (ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja) ni kwamba mlindeni mno ili yale ya Deo na Chopper ya mwaka 2015 yasijirejee tena. Na nasikia huenda hata na...
Back
Top Bottom