mwanamke

  1. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

    Hope ni wazima Wana Jf Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa. Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni nani?

    ukipata pesa atahitaji kujua kuwa umezitoa wapi, ukijaribu kumweleza wapi umezitoa atauliza ilikuwaje... ukijieleza sana atahitaji kujua mbona hukupata nyingi zaidi ya hizi 😂 Haya upande wa pili ukikosa sasa hapo ndio patamu ataanza kwanini umekosa, ukijieleza sanaaa anakutolea mfano mbona...
  3. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

    Naombeni majibu wakubwa. Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni. Sitarajii kebehi
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huficha wapi pesa yake?

    Mshahara wangu wa mwezi March umechelewa kutoka Mpaka tarehe hii. Nilihitaji kiasi cha Tsh 1.4m kwa ajili ya kufanyia jambo fulani Najua mke wangu hawezi kosa hiyo pesa. Najua anatunzia chumbani ila tu sijui ni location ipi. Nimetafuta hadi nimechoka. Nikisema nimuazime, hawezi nipatia. Si...
  5. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe Haya 9 Wakati Unaishi Na Mwanamke, Ili Uishi Kwa Amani.

    Kuishi na mwanamke inapaswa iwe raha. Ukiona huna raha kuishi naye, tambua kuna sehemu umeyumba. Kosa kubwa wengi hufanya ni kuishi na mwanamke anayemtesa sababu anaogopa kumuacha. Anaogopa kuanza upya kutafuta mwanamke mwingine. Anaona aishi na huyo hivyo hivyo tu, maisha yasonge. Lakini tambua...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mnyenyekevu Vs Mwanamke Mtumwa

    MWANAMKE MNYENYEKEVU Vs MWANAMKE MTUMWA Anaandika, Robert Heriel Mume. Wanaume wote Duniani wanapenda Mwanamke mnyenyekevu, lakini wapo wanaochanganya unyenyekevu na Utumwa. Kwa kweli wengi wanaposema Unyenyekevu humaanisha Utumwa. Wanahitaji Mwanamke mtumwa. Mwanamke mnyenyekevu ni Nani...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari, Natafuta mwanamke wa kuoa, mwenye umr 32-39, mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, mcheshi, mwenye hekima na busara. Sifa zangu Umri-37 Dini -Mkristu Kaz-mfanyabiashara wa mazao Kimo-mrefu wastani. Karibu pm tuyajenge
  8. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Matiti ya mwanamke hudondoka yanapoguswa guswa na viganja vya wanaume

    Kuna mwanamama aliwahi nipa ushuhuda kuwa matiti yake yalianza kuanguka akiwa na miaka 23 kutokana na mitomaso aliyokuwa anafanyiwa na mpenzi wake wa kwanza. Aliendelea kwa kusema kuwa, kabla ya kuanza michezo na wanaume alikuwa na chuchu dodo zilizosimama na kuchoma. Hivi ni kweli kuwa...
  9. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu. Kuonyesha maumbo ya KIBANTU ya MWANAMKE WA AFRIKA

    Naaamu achana na hawa slim body,tupia picha ya mwanamke halisi wa kibantu.
  10. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

    Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa. Lakini haina maana ndo ukalie njia hiyo hiyo miaka yote. Ni muhimu ujifunze kumvutia na kumtunza mwanamke kwa mfumo unaosema ukweli na...
  11. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wanaume kukuna mkono wa mwanamke akisalimiana ni aibu tubadilikeni

    Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania. Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja. Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu. Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what...
  13. MWANAFIKRA WA KIMKAKATI

    JamiiForums Tanzania Ni upi mtazamo wetu Wanaume juu ya mwanamke?

    NibupibUkimtazama mwanamke unamuonje kwa mtizamo wako? Sisi kama wanaume na wanawake Wana mtazamo Gani juu yetu?
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

    Wanabodi, Nimekutana bandiko hili humu JF Mnyukano Chadema ,mbunge Aida amkataa Lisu Ushauri wa bure Chadema, iwapo Watanzania kwa kauli moja wataamua 2025 twende na Mwanamke kama nilivyo shauri hapa, Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule...
  15. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Ulimwengu mzima ikiwa kila Mwanaume ataoa Mwanamke mmoja, Wanaume milioni 65.51 watakosa wake wa kuoa?

    Hadi kufikia Mwaka 2021, idadi ya wanaume duniani ilikuwa 3,970,238,390 au milioni 3,970 au bilioni 3.97, wakiwakilisha 50.42% ya idadi ya watu ulimwenguni. Idadi ya wanawake duniani ilikadiriwa kuwa 3,904,727,342 au milioni 3,905 au bilioni 3.905, ikiwa ni 49.58% ya idadi ya watu duniani...
  16. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kumpata mwanamke mwema siku hizi ni kazi?

    Kumpata mwanamke mwema siku hizi ni kazi, lazima umuibe kutoka kwa mwanaume mwingine asiyejali thamani ya alichonacho!
  17. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke wako atakuchukia usipomuongoza?

    Kwenye uongozi kuna lawama. Lawama za kwanini jahazi halisongi mbele/ limeenda mrama. Lawama zingine huwa hazina msingi. Mwanamke hutegemea mwanaume ndo abebe hizo lawama. Na ndio inakua rahisi kwake kujiachia kwako kwa kuwa umemkinga na lawama. Hiyo ni moja ya majukumu yetu wanaume kwa...
  18. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani na kumsikiliza Mume wake, nani anabisha?

    Mwanamke hakuna mahali kwenye maandiko, asili ya maisha ya Mwanadamu alipopewa nafasi ya kuongoza kiibada au kiutawala. Baada ya kuletewa hizi dini za wageni, dini za michongo tunawaona wanawake wanakuwa (Wachungaji) manabii shetani ameshika hatamu kwa kupitia Wanawake. Wanaume tumekuwa dhaifu...
  19. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tunapenda mwanamke anaejua kupika sio anayejua mapenzi kitandani

    Habari zenu wakuu, ukweri ndo huo. Mwanamke ata ajue mapenzi vipi au awe mtamu kitandani Kama sio fundi wa kupika jikoni, talaka itamuhusu aende kwao akajifunze kupika. Wanaume tunatafuta hela kwa shida tukirudi nyumbani tunahitaji tukute msosi Bomba na mapenzi motomoto, kila day mwanamke...
  20. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumvutia Mwanamke unapokutana naye mara ya kwanza (First Date)

    Wanawake wanachukua muda kupenda. Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na mwanaume kama wewe. Sasa unapokutana naye, mpatie muda mzuri mfanye ajisikie furaha. Mfanye aone...
Back
Top Bottom