mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Iwe kwa mwanaume au mwanamke

    Hello 👋 Kudate na mtu amekuzidi umri kuna utamu wake sana yaan ata mwanaume ukidate na mwanamke amekuzid hamsumbuan raha tupu mapenzi mubashara mda wote hakuna utoto Kwa wanawake serenity wenyewe mnajisikiaje kudate na mtu amekuzid umri?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Nahitaji mwanamke wa kuoa, awe muislamu na umri kuanzia 19 Hadi 24. Aliye serious anitafute: 0678625773
  3. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya sasa pesa ni muhimu ila tutafute na akili basi, rafiki wiki ya tatu kahonga laki 7 na bado hapewi kwa mwanamke ambae analiwa kwa elf 30

    Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi. Sasa katika watu nilioweza kuwajua ni mfanya biashara flani ni mteja wa mara tulizoeana zaidi kupiga story huku...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni rahisi kudanganyika mambo ya kiimani

    Habari za mchana. Naomba nirejee hicho kichwa hapo juu. Nimepitapita nakuona makanisa mengi ya kiutapeli wanajaa wanawake, wanawake ndo wamekua chambo za wachungaji katika kujivunia kipato, Sasa mi nauliza shida ni Nini? Wanasayansi wanasema kwamba mwanamke anafanya maamuzi kutumia hisia na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Nyuki waua mmoja Sumbawanga

    Mwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Mohamed Makubi amesema tukio hilo lilitokea...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia mwanaume anamuamkia mwanamke ambaye si ndugu yake kama tu amemzidi miaka zaidi ya 20 na si chini ya hapo

    Kama mwanamke amekuzidi miaka si chini ya 20 na sio ndugu yako usimuamkie mwambie tu mambo au za saa hizi imetoka hiyo Mwanaume wewe ni kiongozi na kusema shikamoo ni kama unamwambia nipo chini yako nakunyenyekea na wanawake ndo wanabidi wawe chini yetu. Usiamkie we jamaa utakosa mbunye hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (mwanamke)

    Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa. SIFA Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea. Awe mweupe au maji ya kunde. Asiye kunywa pombe. Awe mwenye hofu na Mungu. Awe hajazaa na Kama amezaa asiwe na zaidi ya mtoto mmoja. Awe mrefu au mfupi Ni...
  8. JamiiForums Tanzania Naanzisha kampeni na programu ya kumlinda na kumhifadhi(protect) mwanamke mweusi anayeelekea kupotea duniani

    Mwanadamu tangu kuumbwa kwake Kwa kudhamiria au bahati mbaya ameshaharibu viumbe wengi amabao Kwa sasa hawapo kabisa(extinct) Mifano ipo mingi,nikihamua kuiandika hapa nitaijaza JamiiForums nzima Karma ya kuangamiza viumbe wengine sasa imemugeukia binadamu mwenyewe Mwanamke mweusi siku hizi...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Binafsi navutiwa na sauti nzuri laini.
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni mwanamke yupi alikuwa mke wa kwanza wa Adam kati ya Eva ama Lilith?

    Naomba kufahamu, kati ya Lilith na Eva ama Hawa ni nani alikua mke wa kwanza wa Adam. Biblia inasema Eva ndio mke wa Adam pekee na kwamba ametoka kwenye ubavu wake lakini vitabu vya kiyahudi vinasema Lilith ndio alikua mke wa kwanza wa Adam kabla hawajagombana na Adam kuachana. Kwa msingi huo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

    Habari zenu Bila kupoteza muda Mimi naishi jijini Arusha, nimetokea kuwa katika Mahusiano na kadada kamoja hapa hapa Arusha. Mahusiano bado hayajawa deep kwani tuna muda mchache kama miezi minne. Kikubwa kilichonivutia Kwa huyu dada ni kwamba ni mpole, mkarimu pia ana hofu Sana na Mungu(huyu...
  12. JamiiForums Tanzania Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

    Habari za Sabato! Kwa kweli Sisi wengine tulishaweka miiko na mstari kuwa Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli wala asiyeweza kujinunulia vocha huyo hatuwezi ku-date naye. Kwanza hatuamini kabisa kuwa Mwanamke mrembo na mzuri anaweza kukosa nauli au vocha. Hilo siwezi kuamini. Hiyo imetusaidia...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Mwanamke akiwajibika, jamii nzima inawajibika

    Utangullizi Wanaweke wakiwezeshwa wanaweza, walisikika mabinti wakipaza sauti zao katika ardhi ya Tanzania, waliotamani kwa muda mrefu kutimiza semi zisemazo ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima, mwanamke akiwajibika jamii nzima inawajibika na ukimkomboa mwanamke katika maradhi...
  14. JamiiForums Tanzania Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza

    Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza Ni muhimu kutambua kwamba kila mtu anao haki ya kujisikia salama, kuheshimiwa, na kuthaminiwa katika mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo, ni muhimu kufahamu tofauti kati ya kumchunguza mwanamke kwa njia nzuri na ya heshima na...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekupendea hela unamfanyaje wewe kama Mwanaume?

    Kuna nyakati huwa tunapitia maisha magumu sana na shida zisizo simulika lakini haisababishi mioyo yetu kuwa na Ganzi katika mapenzi, bado tunapenda na kutamani kuwa na wanawake wazuri na mpenzi atakaekupa pole na shida zako. Miaka ya nyuma kidogo sikua vyema kipesa,nilimpenda binti mmoja mzuri...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hii kauli ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imeekaaje?

    Hii inshu ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imekaaje? maana imenifanya nitafakari sana kiutani lakini kwamba ukiacha kutafuta tu pesa basi tuakikishe tunafuta na akili, eeh hapo hapo tutulie kwanza kwani sisi hatuna akili? Sisi wakina abudala vichwa wazi? Tunazo! na kwanini tusisitizwe hapa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania "May be it's my fate..." kauli kama hii ina maana gani?

    Wakuu nawaamkua. Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya. Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado JamiiForum ni kisima cha maarifa katika nyanja mbalimbali za maisha yetu. Ninakuja na swali hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Bodaboda akikwambia usioe huyo mwanamke, acha kweli

    Msiniulize kwa nini-nimemaliza!
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko na Uwekezaji sekta ya Kilimo vizingatie mustakabali wa mwanamke katika kilimo

    UTANGULIZI. kilimo ni shughuli inayojumuisha ufugaji na uzalishaji wa mazao. kilimo ni sekta muhimu sana katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Tunaweza kusema kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania. Hii ni kutokana na ukweli kwamba asilimia kubwa(zaidi ya 90%) ya watanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kurudiana na Mwanamke mliyeachana nae miaka 13 ni vyema au ni Hatari?

    Nasubiri majibu yenu ili nijue najilipua rasmi Kurudiana nae au nisirudiane nae (tusifanye Mapenzi) ila tuwe tu Marafiki. Katika huu Uzi nitakuwa ni Msomaji zaidi wa Comments zenu na kupitia Comments zenu ndiyo nitaamua nimrudie au nisimrudie. Kuna Mwamba Mmoja aliniambia aliachana na Mpenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…