mwanamke

  1. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kuelezea maana ya kuishi na mwanamke kwa akili

    Moderator naomba usifute uzi au kuunganisha. Pia uzi haujajikita kumjua mwanamke bali ni jinsi ya kuishi nae kwa sababu tunaishi na wanawake kama wapenzi wetu na kama wake Na pia ni mtizamo wangu kwako msomaji unaweza usihafiki Kwa mda nilioishi hapa dunian huu ndo mtizamo wangu na maon yangu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katika Ukristo Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake?

    Naomba kuuliza kwa wakristo, Mwanamke anaruhusiwa kuolewa baada ya muda gani toka kufiwa na mume wake au baada ya kuachwa? Maana kwa waisilamu pindi mume akifa mwanamke hukaa miezi 4 na siku 10, na taraka hukaa mpaka aingie mwezini mara tatu.
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mwanamke na mwanaume katika kushughulika na mchepuko

    1. Mwanaume akifurahishwa na mchepuko, mara nyingi hakuna mabadiliko kwa mwandani wake. Inakuwa kawaida tu. 2. Mwanamke akifurahishwa na mchepuko, anazidisha furaha nyumbani na ana act unusual, too existed, extra caring and unnecessary story. Remember: few professional cheaters acts normal...
  4. African Geek

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ameumbwa na mali ndani yake ila sio mwanaume

    Siku hizi vijana wengi wa kiume wanaona ni haki yao kusaidiwa na mwanamke kwenye mambo ya kiuchumi, yaani mwanamme atafute na mwanamke atafute. Kuna wengine ndo wanataka walelewe kabisa yani wao ndo watafutiwe na mwanamke wapewe. Ila nawakumbusha. Mwanamke analetwa duniani akiwa na mali ndani...
  5. 101 East

    JamiiForums Tanzania Nachingwea, Lindi: Mwanamke wa miaka 28 ajiua baada kuchepuka

    Mwanamke anayeitwa Salma Shaibu(28) amefariki dunia Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi baada ya kujiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu chanzo kikidaiwa ni kujihisi mwenye hatia baada ya kukiri mwenyewe kabla ya kujiua ya kuwa alichepuka na Mwanaume mwingine. Salma ambaye ameacha Watoto wawili...
  6. KIXI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja wa kiafrika ashangaa Waziri kutembea kwa miguu kulelekea kazini

    Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aamka kwenye Jeneza muda mfupi kabla ya kuzikwa

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina Bella Montoya (76) kutoka Ecuador amewaacha watu kwenye mshangao baada ya kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye Jeneza wakati ndugu walipotaka kumvalisha mavazi maalumu ya mazishi. Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya, mwanamke huyo alipata tatizo la Mshtuko...
  8. Ndombe Mubele

    JamiiForums Tanzania Kamwe Usimuamini Mwanamke

    Kwema Humu? Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito. Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea. Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi...
  9. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, kutojiamini ndo adui yako mkubwa kwenye mahusiano na sio pesa wala mwanamke. Kwanini?

    Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini. Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

    Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata. Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa...
  11. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kukata mawasiliano na mumewwe!

    Wadau ipo hivi. Nina jamaa yangu nafanya nae kazi. Mke wake ni mwalimu sasa mwanafunzi wa chuo kimoja hivi kikubwa hapa nchini Kabla ya kwenda chuo mahusiano yao yalikiwa yamekaa vizuri kabisa. Baada ya miezi miwili chuo Bible hana taimu na jamaa kabisa . Hili limekaaje
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Haki Sawa 50/50 hakuna kulipa Faini ukimpa Mwanamke mimba au mtoto

    ULIMWENGU WA HAKI SAWA 50/50 HAKUNA KULIPA FAINI UKIMPA MWANAMKE MIMBA AU MTOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Umemzalisha mtoto wetu, lipa sijui FAINI, sijui lipa vitu gani. Sasa Sisi Watibeli tukitaka kuonyeshwa huyo Binti aliyezalishwa analetwa Mwanamke MTU mzima kabisa zaidi ya...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Onyo Kali: Mwanaume usithubutu kuacha ghetto lako na kuhamia kwa Mwanamke. Ni hatari, utaumbuka mbeleni

    Hi, Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa. Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mwanamke uvumilivu Bibi

    MWANAMKE UVUMILIVU BIBI! TUKOMESHE TABIA ZA KUVUMILIA NA KUHALALISHA VITENDO VYA UKATILI. Nenda “Kicheni pati” utasikia sifa kuu ya mwanamke ni uvumilivu, “sendi ofu” mwanamke kuvumilia, kwa mama mchungaji nako binti uvumilivu!, bibi nae mvumilivu hula mbivu, mama ndo kabisa atakwambia mimi...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ni yupi?

    Ni yule asiyekupiga mizinga na haji kwa wakati pale unapomhitaji au ni bora yule anayekupiga mizinga na anakuja kwa wakati pale unapomhitaji? Nikimaanisha huyu anakuja kwa wakati akijua kuna hela atachukua, na yule mwingine anakuambia ana mapenzi na wewe ya dhati na ahitaji hela zako, lakini...
  16. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Je, ukiwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamke ni lazima kumhudumia Kifedha?

    Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima? mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
  17. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Ukiongea na mwanamke usiogope kuvuka mipaka ya kawaida

    Hautakiwi kumpa hisia za furaha muda wote, hautakiwi muongee vya kuboa kila muda. Usiogope kumwambia maneno ambayo unaona ni makali bila kumtukana/kumdhalilisha. Usiogope kumwambia kitu kibaya usichokipenda kuhusu yeye, lakini isiwe kitu ambacho hakirekebishiki kama vile umbile la pua yake...
  18. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Dalili 7 zinazokujulisha kuwa Mwanamke ana hamu na tendo la ngono

    1. Anapenda kujishika nywele, kidevu, mikono, shingo na mashavu kila wakati 2. Anapenda kulamba au kung'ata lips mara kwa mara 3. Anapenda kupost picha au video zenye msisimko wa kingono mara kwa mara 4. Anapenda kupiga stori na kucheka cheka na akikaa sehemu anapenda kubana miguu 5. Ngozi yake...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa utakalolifanya mwanamke ni kujilinganisha na mwanaume!

    Anaandika Robert Heriel. Wanawake wengi waliokosa malezi na kufundwa wameingia katika tabu na madhila makubwa kutokana na kujilinganisha na mwanaume. Hilo ni kosa kubwa mno. Kosa ambalo wengi limewaacha kwenye matatizo makubwa. Taikon ninawalea mabinti zangu kwa kuwafundisha kuwa wao ni sawa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kisaikolojia nahisi mimi kumtongoza mwanamke ni kama najishusha, na najidhalilisha.

    Sijui hii hali kama kuna wengine Ishawahi wakuta, Umri wangu Niko kwenye late 20's miaka ya nyuma nilikua tongoza tongoza, aisee lakini sasa sijui nimekuaje, kama mwaka uliopita nimetongoza mdada mmoja tu, the whole year. Mimi sio domo zege, sina stress kubwa/msongo wa mawazo, sina aibu ya...
Back
Top Bottom