mwanamke

  1. F

    Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

    Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri. Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu? Pili, nikajiuliza mbona watu wa...
  2. Tambua Faida Kubwa Za Kujiamini Mbele Ya Mwanamke

    Kujiamini katika unachokifanya. Kujiamini katika ukisemacho. Kujiamini huku kutokee ndani yako. Sio iwe kwa ajili kumpata mwanamke fulani. Wengi hujiamini wakiwa na wanaume wengine. Ila akiwa na mwanamke anapoteana. Sababu kubwa ni kumkweza mwanamke juu yako. Unaweza kuwa na maneno/ mistari...
  3. Mwanamke jasiri na mtulivu

    Sijui kwa wanaume wengine wanavutiwa na nini hasa kwa mwanamke wakati wa mahaba na penzi zito Utamu/raha ya mapenz ni hisia. Ukizikosa hisia mapenz yanakua kama uchafu kwako. Binadamu tunatofautiana hisia nadhani, wengine ni kali sana wengine ni kiduchu. Mwanaume ukikutana na pisi umeichakata...
  4. Uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke

    Capacitation' ni uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke na kulirutubisha, hali hii inategemea na umbile la mbegu hiyo (morphology), utendaji kazi wake (physiology) na uwezo wake wa ndani (biochemical changes). Yai la mwanamke lina milango mitatu ambapo Mbegu hutegemea kupita kwa...
  5. Usijione Mwenye Bahati Kumpata Mwanamke Yoyote. Sababu.

    Wala usikae kujisemea “nikimpata yule maisha yangu yatanyooka”. Wala usijisemee “ivi nampataje mwanamke yule?”. Wala “hivi namridhishaje huyu?”. au, “ntamfanyaje asiniache?” Hapo unamweka kama mwanamke kama “kitu fulani inabidi nijishindie”. Unajiweka kuwa mnyenyekevu kwa mwanamke. Na kutaka...
  6. Usihangaike na Mwanamke asiyeonesha juhudi kuwa Nawe

    Hii inawakuta wanaume wengi. Hata mimi ilishawahi nipata kabla. Lakini ni muhimu kutambua thamani yako. Na unastahili upendo na furaha. Ubaya wa kumng'ang'ania asiye kutaka ni kukosa kuwa anayekutaka. Mana muda mwingi utautumia kwake badala ya kuwa na anayekukubali. . Kuna muda unataka...
  7. Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora?

    Kuoa Mwanamke Anayefanya Kazi Vs Kuoa Mwanamke Goli Kipa kipi bora? Nahitaji jiko ebu nishaurine wadau najua wengi wenu mnauzoefu . ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
  8. Mwanamke atakayenifanyia hivi Naowa, naweka ndani.

    Uzi unakuja... Naomba mjiandae, nataka Kuwafunda kidogo.
  9. Arusha: Mwanamke aliyeenda kutafuta pochi yake mtoni, mwili wake wakutwa kando ya mto

    Mwanamke mmoja ambae bado hajajulikana ameuliwa na watu wasiojulikana na kutupwa mto Themi akiwa bila nguo. Tukio hilo ambalo limezua taharuki miongoni mwa watu limetokea kata ya Sinoni katika mtaa wa onjavutian. Mwenyekiti wa mtaa wa onjavutian ambapo tukio hilo limetokea Lesioni Joseph...
  10. Usipomtongoza Mwanamke Umtakaye ujue Umejipiga chaga Mwenyewe

    Kama hujamfata kuongea naye. Kama hupeleki mahusiano mbele. Kama hufanyi chochote kumuonesha unamtaka. Basi ujue hana haja ya kukukataa. Sababu umeshajitoa mwenyewe bila hata kutolewa. Zile sababu kama “atakua bize”/ “atakua na mtu wake”/ “mi sitokagi na wanawake aina yake”/ “sina mstari...
  11. Ukiona ishara hizi 12 ujue mwanamke anataka mrudiane lakini bado anasitasita

    Si rahisi kujua kama mwanamke anataka mrudiane. Hasa pale unapokua humwelewi kwa vitu vinavyotokea. Kutokana na wanaume nliowasaidia kuwarudisha ma ex wao. Wakiachwa wampe muda huyo mwanamke bila kumtafuta. Na baadae mwanamke anaanza kujirudi tena, nimeona hivi vitu vinajirudia rudia. Nawe...
  12. SoC03 Fikra Chanya Katika Kujikomboa

    Jamii iko katika mchakato usio na mwisho wa uboreshaji ambao unahitaji kizazi thabiti cha mawazo mapya. Changamoto mawazo ya kawaida ni matokeo ya kufikiri ubunifu na hoja tata ambayo ni kazi ya elimu ya juu. Kama msomi, nimekuwa nikitamani kila wakati kuleta mawazo mapya, imani, imani, na...
  13. R

    Acha nijaribu bahati yangu huenda Mungu atanisaidia. Natafuta mwanamke wa kufanya nae Maisha

    Habari wana JF! Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa. Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo. UMRI: Miaka 18-26 ELIMU: Kuanzia kidato cha nne DINI: Mkristo. Asiwe na mtoto, awe mwembamba, mwenye hofu ya Mungu, asiyependa kuwa mama wa...
  14. Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

    MWANAMKE KUPATA MIMBA PASIPO RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Sisi kama wanaume tumekubali kabisa kuwa Kufanya ngono na Mwanamke Chini ya miaka 18 hiyo itahesabika kama Kosa la JINAI, Kwa jina la Ubakaji, bila kujali hiyo Binti alifanya Kwa ridhaa yake au Kwa...
  15. Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

    Habari wadau! Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini 1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k. Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k? 2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
  16. Kama Mwanamke amekuvutia usiogope kumuonesha nia yako tangu mwanzo

    Usianze kiurafiki alafu baadaye ndo mbadilike muwe wapenzi. Usifiche malengo yako kwa mwanamke aliyekuvutia. Lakini umwoneshe taratibu kama unamuhitaji. Sio ubwage kila kitu mara ya kwanza. Atakuzungusha ukifanya hivyo. Ataona hana cha kuhangaikia. Mwoneshe unamtaka kimapenzi hata bila...
  17. Moja Ya Kosa Wanaume Wengi Hufanya Wakiwa Na Mwanamke

    Shida ya kuishi na mwanamke ndo huanzia hapa. Shida ya kumpata mwanamke ndo huanzia hapa. Hupelekea mtu kusema mwanamke haeleweki. Hupelekea kutoelewana. Sababu anakua hana jibu kamili kutoka kwa mwanamke. Kosa hilo ni: Kumtafsiri mwanamke kwa maneno yake zaidi ya vitendo vyake. Kumsikiliza...
  18. M

    Mwanaume kumtegemea mwanamke kiuchumi ni ujinga mwingine

    Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na...
  19. Zamani kupenda haikuwa Haki ya Mwanamke, Mwanamke anahaki ya kupenda pia

    Anaandika, Robert Heriel. Baba. Zamani Mwanamke hakuwa na Haki ya kupenda, hakuwa na Haki ya kuchagua mwanaume WA moyo wake, Mwanaume anayempenda. Mwanamke alikuwa kama kikaragosi tuu kisicho na haki ya kuamua hatma ya Maisha yake katika mahusiano yake. Mwanamke alichaguliwa Mume na akaolewa...
  20. Kumbukumbu yenye machozi ya raha: Mara yangu ya kwanza kupata penzi la mwanamke wa Kiyao toka Tunduru

    Hakika duniani kuna mambo matamu yenye, raha na ladha, ilikuwa mwaka 2008 pisi moja Kali sana akiuza duka la nduguye baada ya kupita geti kuu la shule ya msingi tandika ukitokea stendi. Hii pisi ilikuwa kali sana yenye macho matamu yenye asili ya aibu. Enzi hizo napiga kazi za ajira salalary...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…