Mwanaume kumtegemea mwanamke kiuchumi ni ujinga mwingine

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
473
1,448
Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na pale kutambulishana jamaa yangu kashuka kwenye gari huku akinisisitiza huyu dada ni shemeji yangu so niwe makini naye.

Kwa sababu tulikuwa siti moja, ilibidi nimulize huyu shemeji yangu je alichongea ni kweli kuwa wewe ni mke, ilibidi mwanamke afunguke kuwa yes ni mke wa jamaa, wana mwaka wanaishi pamoja, baada ya hapo namuliza kwa hiyo jamaa kahamia kikazi hapa ubaruku mwanamke anajibu hapana still yupo mbeya mjini , ila hapa ana mlea na anaishi naye kwake mwanamke, kwani still jamaa ana familia Mbeya.

Kwa sababu jamaa namfahamu hadi mke wake tunafahamiana sana na mke wake amewahi kulalamika kwangu jamaa hatoi pesa ya matumizi kabisa home nimewahi kumshauri kuhusu hilo na trend za mshikaji kupenda kulelewa nimeshituka sana nimejiuliza maswali magumu kidogo inawezekanaje unaenda kulala kwenye nyumba ya mwanamke inakuwaje huna kazi na mkeo ndiye mwenye kazi?

Kama mkiristo bible inasema mwanaume utakula kwa jasho je wewe unahisi wanaume ni akina nani waliombiwa hivo? Hivi ni mzazi gani hasa wa kiume anaweza kuwa proud kusikia mwanawe kawekwa mahali na mwanamke?

Hadi unakubali kulala kwenye mji wa mwanamke umefanya calculated risk ya tendo lako hilo? Wanaume waliofika stages ya kuendesha gari nk la mwanamke wanajisikiaje huku mtaani hasa wanapokutan na sisi wanaume wenzenu?

Katika hali kama hiyo mwanaume unakuwa na kauli kwa huyo mwanamke au unageuka ni mtu wa * ndiyo maama* Kwa nini kama unampend mwanamke na unahisi uhitaji wa kuishi naye basi jenga au kampingishie mahali, nazani huu usasa unafanyA tunakuwa wajinga.
 
Nandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutanaa nAlo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- mbeya narudi aji wa kuishi naye basi jenga au kampingishie mahali, nazani huu usasa unafanyA tunakuwa wajinga.
Unatabia za kishoga wewe yeye akilelewa wewe yanakuhus nini ishi maisha yako

USSR
 
Nandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutanaa nAlo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- mbeya narudi a unahisi uhitaji wa kuishi naye basi jenga au kampingishie mahali, nazani huu usasa unafanyA tunakuwa wajinga.
Watakaobeza wakubeze, Ila nimekuelewa Sana, ulichosema Cha maana Sana kwa wanaelewa na waelewe, wanaume suruali wajirekebishe, kumtegemea mwanamke siku mkipishana anakuumbua tumeona bwa sehee wanaume wanavyoumbuliwa.
 
u678sdUnatabia za kishoga wewe yeye akilelewa wewe yanakuhus nini ishi maisha yako

USSRgtf6
kiwango hiki cha makasiriko kinatoa picha yako halisi kuwa 1. una maisha magumu sana 2. una hormone nyingi zinazokufanya uwe unafikiri kama mwanamke 3. wewe ni mwanaume unayelelewa na huna baba 4. upo tayari kufirwa muda wowote muhimu pesa , hivyo sijibishani na wajinga kama wewe
Unatabia za kishoga wewe yeye akilelewa wewe yanakuhus nini ishi maisha yako

USSR
 
Punguza makasiriko asubuh yote hii umewai jf kuja kufungua thread ya kumnanga rafiki yako?? Relax kunywa maji mengi huu mchezo hauihitaji hasira mwisho wa siku kila mmoja na maisha yake na malengo yake.
 
Kauli kama hizi ndio zinawapa jeuri vijana hawataki kufanya kazi wansubiri wamama wa kuwalea. Waache vijana waambiwe ukweli tunapoteza nguvu kazi kubwa kwa ujinga kama wako ulioandika
Upo sahihi mkuu kwa kuongezea kauli km hizo ndio zinafanya vijana wengi wa sasa wanapata ujasiri wa kujigeuza kua mapunga, mashoga, machoko, mabasha, wanaliwa ndogo, wanapumuliwa nyuma, nk
 
Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na pale kutambulishana jamaa yangu kashuka kwenye gari huku akinisisitiza huyu dada ni shemeji yangu so niwe makini naye.

Kwa sababu tulikuwa siti moja, ilibidi nimulize huyu shemeji yangu je alichongea ni kweli kuwa wewe ni mke, ilibidi mwanamke afunguke kuwa yes ni mke wa jamaa, wana mwaka wanaishi pamoja, baada ya hapo namuliza kwa hiyo jamaa kahamia kikazi hapa ubaruku mwanamke anajibu hapana still yupo mbeya mjini , ila hapa ana mlea na anaishi naye kwake mwanamke, kwani still jamaa ana familia Mbeya.

Kwa sababu jamaa namfahamu hadi mke wake tunafahamiana sana na mke wake amewahi kulalamika kwangu jamaa hatoi pesa ya matumizi kabisa home nimewahi kumshauri kuhusu hilo na trend za mshikaji kupenda kulelewa nimeshituka sana nimejiuliza maswali magumu kidogo inawezekanaje unaenda kulala kwenye nyumba ya mwanamke inakuwaje huna kazi na mkeo ndiye mwenye kazi?

Kama mkiristo bible inasema mwanaume utakula kwa jasho je wewe unahisi wanaume ni akina nani waliombiwa hivo? Hivi ni mzazi gani hasa wa kiume anaweza kuwa proud kusikia mwanawe kawekwa mahali na mwanamke?

Hadi unakubali kulala kwenye mji wa mwanamke umefanya calculated risk ya tendo lako hilo? Wanaume waliofika stages ya kuendesha gari nk la mwanamke wanajisikiaje huku mtaani hasa wanapokutan na sisi wanaume wenzenu?

Katika hali kama hiyo mwanaume unakuwa na kauli kwa huyo mwanamke au unageuka ni mtu wa * ndiyo maama* Kwa nini kama unampend mwanamke na unahisi uhitaji wa kuishi naye basi jenga au kampingishie mahali, nazani huu usasa unafanyA tunakuwa wajinga.

Watakuja kukupinga
Wakisema kataa ndoa🙄
 
Back
Top Bottom