mwanamke

  1. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Nimetumia pesa kulala na mwanamke wa rafiki yangu bila kujua, na yeye kajaa hataki kuniacha

    Maisha haya tabu tupu. Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba sababu ndo nnavyowatega warembo wa aina hio. Sasa kumbe binti kanikariri, 1 week ikapita nikarudi tena...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama hauolewi ebu angalia kwanza mdomo wako

    Ikiwa Mdomo wako hautulii basi kuolewa na smartest man sio rahisi . Rekebisha mdomo , ongea mambo ya msingi ,acha kufatilia umbea na trending. Acha kulalamika. Wanawake wengi ambao wameshindwa kuolewa ni mdomo tu , mambo ya kuwa singo maza n.k nyongeza Rekebisheni mdomo , value man...
  3. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani nitumie za kuniwezesha kudumu na mwanamke?

    Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri Uvumilivu -0 Utulivu-0 Tamaa -100% Nipeni mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
  4. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Surat Maryam ndio Sura pekee katika Qur'an iliyopewa jina la Mwanamke, zijue sababu

    Hiii ndio Sura (ufunuo) pekee katika Qur'an iliyopewa jina la mwanamke maalumu anayejulikana, ingawa ndani ya sura hii kumetajwa manabii wakubwa wakubwa kama vile Nabii Yahya, Zakaria, Ibrahim, Is-haq, Yaquub, Idriss, Ismail, n.k. Wote wametajwa ndani ya sura hii. Kisa cha Bi Maryam katika...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kurudia tendo kwa mwanamke mmoja; lakini wakiwa tofauti naweza kwenda hadi mara nne. Nina tatizo?!!!

    Habarini wakuu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina changamoto hiyo; siwezi kamwe kurudia tendo nikiwa na mwanamke mmoja......yaani nakuwa mtu wa bao moja tu chali hata nifanye au anifanyie nini mwanamke. Yupo aliyenipenda na kutumia usiku mzima kunijaribu kwa kila hali ikiwemo kuloweka...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye heshima anatakiwa aamke kila baada ya masaa mawili amgeuze mume wake asije vunjika shingo

    Hii imeenda nasema hii imeenda kabisa eti Nini nipoooo kwakweliiii 🤣🤣
  7. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akipata pesa, kitu kinachomjia kichwani cha kwanza ni kujitegemea na kujitawala bila kuwa na mwanaume

    Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake. Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua. Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake...
  8. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chanzo cha anguko la mwanaume

    Awali ya yote niweke wazi kuhusu hili bandiko kwamba ninapotumia neno mwanamke mbaya simaanishi wanawake wote ni wabaya. Ni kweli kuna wanawake wabaya kitabia, lakini pia kuna wanawake wema hivyo tusiwachukulie wanawake wote kuwa ni wabaya. Sasa tuendelee.... Kwa mujibu wa Biblia mwanamke...
  9. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyetumia akili kumpenda mwanamke huishia kuwa mtumwa wa mwanamke

    Hii sio siri bali ni kitu iliyo wazi kabisa. Wanaume wasiotumia akili katika kumpenda mwanamke, ndio hao wanao lia lia kutwa nzima kwa uchungu na kuwalaani wanawake baada ya kupigwa za uso. Mwanaume unazama mazima kwa mwanamke kisa umevutiwa na kiuno ama kario lake. Kabla ya kuzama mazima ni...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Ndoto ni kuwa na Mwanamke Nesi, Mwalimu au Askari ikishindikana hapo basi mwaajiriwa katika sekta yoyote ile sometimes maisha hayakupi kile unachotaka huu mwaka wa sita toka nimekuwa na hiyo ndoto na still inabaki kuwa ndoto. Maana katika kipindi chote hicho wanawake niliokuwa nao wote ni...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke awe mchumba wangu

    Habari za saa hizi. Mimi ni kijana naishi dar. Umri 32. Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke. Awe anaishi dar Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa. Aelewe thamani ya mwanaume . Asiwe mtu wa vizinga. Mengine PM.
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Je, utakubali kufanyiwa hivi na Mwanamke wako?

  13. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

    Hii ni hadi lini? Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

    Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango...
  15. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kupigiwa simu na mwanamke wangu zaidi ya kutumiwa txt tuu

    Ndugu wana jf poleni na majukumu Kwà kweli simuelewi mpenzi wàngu kabisa. Tokea niwe nae hajawahi kunipigia simu zaidi tuu yà kunitumia meseji basi japo mimi na mpigia simu na kumuungia vifurushi vyenye txt na dk ila hanipigii simu Ndugu sielewi huyu mwanamke shida ni nini ila kwenye txt yupo...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Sitafuti hela kwaajili ya Mwanamke

    Huu msemo wenu wa "tafuteni hela wanaume ili mmiliki pisi kali" hua nauona ni msemo wa kijinga tu, binafsi naipambania pesa kwaajili ya maisha yangu mimi na si ya malaya, mnasujudu ngono sana ndiomaana mnatumia pesa kupata penzi, acheni ufala vijana wenzangu tafuteni hela kwaajili ya maisha yenu...
  17. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba namba za simu mwanaume part 2

    Refer to my previous thread. Jamani nimegairi kumuomba yule kijana namba zake . Mungu kaniepusha. I Saw him with a bunch of girls alikua Anacheka nao na kuongea ila once when he saw me hakunisalimia wala kunionesha zile reactions za before ambazo zilinifanya niamini he is into me. So Hii ni a...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Haujawahi kuwepo, haupo,na hautakuwepo urafiki kati ya mwanamke na Mwanaume

    Salaam, Shalom!! Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia). Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui HAPANA, yapo mahusiano ya kibinadamu Kwakuwa sisi sote ni watu, tunahusiana katika nyanja mbalimbali...
  19. Pearce

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

    Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta...
  20. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnatukosea sana, huu mtego mnachomoka vipi ndugu zangu wanaume

    Ndugu zangu habari za wakati huu Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile. Umekaa umetulia zako ghafla simu inaingia namba ngeni sauti halisi ya mwanamke haieleweki anaibuka tuu na kusema baby wangu unaendeleaje...
Back
Top Bottom