mwanamke

  1. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba namba za simu mwanaume part 2

    Refer to my previous thread. Jamani nimegairi kumuomba yule kijana namba zake . Mungu kaniepusha. I Saw him with a bunch of girls alikua Anacheka nao na kuongea ila once when he saw me hakunisalimia wala kunionesha zile reactions za before ambazo zilinifanya niamini he is into me. So Hii ni a...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Haujawahi kuwepo, haupo,na hautakuwepo urafiki kati ya mwanamke na Mwanaume

    Salaam, Shalom!! Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia). Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui HAPANA, yapo mahusiano ya kibinadamu Kwakuwa sisi sote ni watu, tunahusiana katika nyanja mbalimbali...
  3. Pearce

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

    Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta...
  4. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnatukosea sana, huu mtego mnachomoka vipi ndugu zangu wanaume

    Ndugu zangu habari za wakati huu Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile. Umekaa umetulia zako ghafla simu inaingia namba ngeni sauti halisi ya mwanamke haieleweki anaibuka tuu na kusema baby wangu unaendeleaje...
  5. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Christina ni Mwanamke Shujaa, apongezwe

    GTs, Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho. Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk umri mdogo. Historia ya Christina inawakilisha kundi kubwa sana la wanawake ambao wazazi wao...
  6. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

    Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you. Nimevunga kama vile am not...
  7. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Mwanamke azuia watu kwenda chooni kwenye ndege

    Habari na picha....Sema huyu mama kafanana na mtu mmoja hivi🤣🤣🤣🤣🤣 KENYA AIRWAYS flight number #KQ613 headed to Nairobi from Mombasa aborted landing at JKIA at the last minute. The plane was rerouted back to Mombasa after a Kikuyu lady passenger blocked the on board toilet causing massive...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

    Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Usimuoe mwanamke kama hujawahi kukesha naye msibani ama kushinda naye shambani. Utamuacha ghafla.

    Siku hizi wanawake wanavyoonekana makazini sivyo walivyo majumbani kwao. Ukimshitukiza mwanamke nyumbani kwake anaweza kagoma kutoka nje kwa kuwa anakuwa kwenye muonekano halisi ambao haujauzoeleka Kila kitu ni bandia siku hizi:-kope, kucha, shape, rangi, makalio, matiti na sura. Kabla hujaoa...
  10. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Huwa naepuka kabisa kusikiliza umbea wa mwanamke wangu, juzi niliusikiliza umeniweka njia panda

    Kama kuna kitu huwa sipendi nikiwa na mwanamke ni pale anaanza kunipa umbea. Hii inatokea sana baada ya game nono (CHAPUTA hamtojua hili) Sasa bwana, usiku wa juzi kwenye kutuliza kichwa huyo akaja na story, mie nikawa namuitikia tu kutokumkatisha (hapa ndo nilifanya kosa maana huwa namkatisha...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kuniharibia penzi langu jipya, nifanyeje?

    Jana usiku katika kusherehekea mambo ya muungano, ikabidi nitoke na bebi wangu tukaenda kiwanja kimoja; tukawa tunapiga maji yetu machungu kama kawaida yetu. Kutokana na mazingira kuwa na 'vibe' wengi walikuwa wakiingia na kutoka, kwa bahati mbaya kuna mdada mmoja nilikuwa nimemzoea kipindi cha...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msije kushangaa mwaka 2030 tukawa na CDF Mwanamke

    Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke Source: TBC
  13. Muxt

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Alinivumilia wakati sina kazi lakini tukaacha nilipokaribia kupata kazi, nimepata mwingine sasa haachi kunisumbua turudiane

    Guys ninaomba ushauri, Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi. Wakati huo yeye alikuwa na kazi anauza duka la cosmetics la mtu. Nilikuwa sina hela mwanamke alinivumilia sana ingawa hela yake...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ngono ni hitaji namba 3 kwa mwanamke. Lazima uanze kumpa haya mawili kwanza

    Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla hujajiandaa kupiga misamba na style mbalimbali za kumfaidi mwanamke wako hakikisha kwanza unamlisha vizuri...
  15. The Eric

    JamiiForums Tanzania Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

    Hello jukwaa la celebs Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini Diamond platnumz vile vile walibahatika kupata mtoto....... Bi dada huyo ametrend kwenye social...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa kutathimini Nafasi ya Mwanamke wa Tanzania katika Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Mdahalo wa kutathimini Nafasi ya Mwanamke wa Tanzania katika Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ukumbi wa Mlimani...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike. Tukio hilo lilitokea Aprili 12, katika mechi kati ya Esteghlal FC na Aluminium Arak wakati shabiki mdogo wa kike...
  18. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi na mwanamke anayepiga makelele na kuongea maneno mengi ya siyoisha

    Ndugu zangu habari za weekend wakuu Kuna wakati mwanaume hutaki kukaa nyumbani kukwepa makelele ya mwanamke na maneno mengi yasiyo na mpango. Ila kuna kipindi mwili na akili vinachoka kudhurura vinaona bora upumzike nyumbani kwako hata kidogo kuliko kwenda bar, kijiwe au kukodi lodge ili kulala...
  19. MTINGIJOLI

    JamiiForums Tanzania Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki. Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili...
  20. Othman Qadir

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia bora 🙏
Back
Top Bottom