mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye UTI sugu anakuua taratibu taratibu kuwa makini

    uchafu sana huu hakikisha hauingii mkenge wa UTI sugu, hivi unajua UTI sugu inaweza kuathiri mpaka Figo au maini.. wale wadudu wasipopata tiba nzuri wanapanda Kwa kibofu Cha mkojo wanaenda tumboni kuathiri organs zingine wanaathiri mpaka mimba, mimba inaweza kuaribiwa na UTI sugu so kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Yawezekana kabisa Mungu hakukusudia kumuumba mwanamke.

    Tunaosoma maandiko wenyewe bila kusomewa na wachungaji ni wazi kuwa halikuwa kusudi la Mungu kumuumba mwanamke(Eva) Huenda Mungu angelitupatia njia nyingine ya kuzaliana nje na kumtumia mwanamke. Ndio maana hata baada ya Adam kushawishiwa kula tunda lile na kujificha mwenyezi Mungu alipo...
  3. JamiiForums Tanzania Yawezekana kabisa Mungu hakukusudia kumuumba mwanamke.

    Tunaosoma maandiko wenyewe bila kusomewa na wachungaji ni wazi kuwa halikuwa kusudi la Mungu kumuumba mwanamke(Eva) Huenda Mungu angelitupatia njia nyingine ya kuzaliana nje na kumtumia mwanamke. Ndio maana hata baada ya Adam kushawishiwa kula tunda lile na kujificha mwenyezi Mungu alipo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mwanamke kukupangia sehemu ya kwenda kugegedeana?

    Amani ya Bwana iwe nanyi! Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo, mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30, nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani. Mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k, na bia mbili mbili elfu 8, elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia...
  5. JamiiForums Tanzania Sex inamdhalilisha sana mwanamke

    Tendo la sex linamdhalilisha mwanamke na kumfedheesha sana Jinsi anavyoshughulishwa wakati wa kufanya sex, , abinywee, akunjweee, daah alaf ukute apewi pesa daah sex haipo fair Kwa mwanamke ni kweli Kama nature imetaka hivyo Kuna sehemu imemuonea mwanamke kibaya zaidi apate mimba akazae aingie...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu huyo mwanamke ulienaye minya kidogo eneo la transaction kwa wiki mbili akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml

    Anahama kama fisi waliomaliza kula mzogo somewhere kwenye hifadhi. Pesa, kibunda, dollar,fedha,noti...hii kitu inaamua mambo mengi sana.
  8. JamiiForums Tanzania Nawapa tip, mwanamke akikudanganya usiulize tuma pesa tu! Hapo ume mu win

    Kuna wanawake wanajifanyaga wajanja kwamba wanadamganya wanaume kupata pesa kwamba anaumwa au kuna shida we mpe tu pesa anajiweka mwenyewe kwenye kona Yaan huyo utamla sana kuliko ambaye hajakudanganya
  9. JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unadate na Mwanamke au mmama ambaye amechora tattoo ya jina la la ex wake kwenye paja. Wewe utakuwa na matatizo

    Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana. Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi. Are you insane?
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kuwa na mahusiano na mwanamke wa miaka kuanzia 27 Hadi 30+

    Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene, kama love wa jua Kali,,, ukiwa Black 🖤 utakua vizuri maana weupe ndo sawa na wale wale wa 2000, 😔😔😔😔😔
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukijifungua kuwa house wife kwa muda

    Why do women nowadays look for nanny's to look after the children ! Sometimes its better to be a housewife for the safe of the child Kwanini wanawake sikuhizi wanatafuta watu wakuwatunzia watoto majumbani kuna muda ni bora na salama kwa mtoto ke uwe mama wa nyumbani mpaka pale mtoto atakapokuwa
  13. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mwanaume kutongoza mwanamke kwa kutumia Pesa?

    Ni sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?
  14. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

    Hbari Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna Ile UKimsifia Mwanamke, Anakataa Anakwambia Hapana Niko Kawaida

    Pale unaanza kumsogeza demu unamsifia ,unajua wewe mzuri sijui mrembo ,una miguu mizuri sijui, napenda tabasamu lako, na blablaa nyingine, ili mradi tuu ajue kuwa umemwelewa. Demu nae kujifanya hapendi sifa, anajibu ,hapana mimi niko kawaida. Mara nyingi ni kweli kiuhalisia huyo demu ni wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeelewa kanuni ya wasukuma kwa nini mwanamke anatakiwa kuwa chini kimamlaka

    Wanawake ukiwawezesha kuna mda ndio tunaona wana tuziaki mitandaoni sababu tume wavusha. Wasukuma waliwezaje mpaka wakaweza kuishi na wanawake wengi. Kiufupi wazee wazamani
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu ukiona haya mambo umeshindwa kutimiza achana na kuoa au kuweka mwanamke ndani

    Ijalishi ni tajiri au maskini ila haya ndio mambo ambayo unatakiwa kujua mapema. 1.MUDA Wanaume tumekuwa tukitumia mda mwingi kupambania maisha yetu na mda mwengine kupumzika kwa kuburudika bar,kuangalia mpira au safari za utafutaji.Hapa usitegemee mwanamke kukuvumilia kama mda wako ukikosekana...
  18. JamiiForums Tanzania Usifanye ujinga wa kumbadilisha ‘mwanamke aliyeharibika’ ili uishi naye

    Mahusiano ya kudumu hayataki mbwembwe. Mahusiano ya kudumu hayataki hisia kuzidi akili. Mahusiano ya kudumu yanahitaji uhalisia sio kuigiza. Mahusiano ya kudumu yanahitaji msingi mzuri kuanzia mwanzo. Niamini mimi, mbwembwe na maigizo vitafika mwisho na hamtaelewana ila mkichukuana katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ushamba gani huu? Unatongoza mwanamke wa baa kwa kumnunulia Chocolate!

    Huu ni upumbavu Unakuja baa kwa ushamba wako unaagiza Absolute Vodka alafu unatoa chocolate ya 5000 na kumpa muhudumu. Muhudumu ambae kila mtu anamla kirahisi kama vile kula pipi ya kijiti ya watoto wa chekechea ambayo inaliwa na kila mtoto.
  20. JamiiForums Tanzania Navyozidi kuwa mtu mzima nagundua kuwa mapepo huwa yapo katika jamii duni, ukishafanikiwa utayaita afya ya akili

    UKishafanikiwa utayaita afya ya akili. Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili inapimwa kwa kiwango cha kuokota makopo na kukimbia sokoni matako wazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…