Mwanamke yoyote wa kiislamu hata asipokua Eda hairuhusiwi kukumbatiwa au kugusana na mtu yoyote ambaye anaweza kumuoa. Watu ambao hawawezi kumuoa ni
-Watoto wake
-wakwe zake
-kaka zake
N.k
Surat Anisai aya ya 23 mwenyeziMungu anasema
Mmeharamishiwa (kuwaoa) mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na mama zenu wakubwa au wadogo (mashangazi wa upande wa mama), na binti wa ndugu wa kiume (wapwa), na binti wa ndugu wa kike (wapwa), na mama zenu waliokunyonyesheni, na dada zenu wa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu waliozaliwa na wake zenu mliowaingilia—lakini ikiwa hamjawaingilia basi hakuna dhambi kwenu (kuwaoa watoto wao)—na wake wa wanenu waliotoka katika migongo yenu, na kuwaunganisha dada wawili (kuwaoa kwa pamoja), creates kile kilichokwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."