mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba. Utajiuliza...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi.

    Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi, ambaye alikuwa akiteseka kwa miaka mingi baada ya figo yake kufeli.
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ili aweze kukutii kama kiongozi katika ndoa unatakiwa kumzidi vitu vingi, kinyume na hapo au kumruhusu akuzidi ni risky

    Wanawake ni viumbe ambao ili aweze angalau kuwamudu hata kwa mbali katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vingi Mzidi elimu, mzidi umri, mzidi kipato, mzidi hekima, ,mzidi urefu, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Vya kumruhusu akuzidi ni akuzidi usafi, ukimya, ucheshi...
  5. JamiiForums Tanzania Amnunia mkewe kwa miaka 20 baada ya mwanamke kuhamishia mapenzi yote kwa watoto

    Wakuu, Kuna huyu mwanaume huko nchini mwaka 1997 alimnunia mkewe kwa takriban miaka 20 baada ya mwanamke wake kupata mtoto wa kwanza na kisha kumsahau kabisa mumewe baada ya kuhamishia mapenzi yote kwa watoto. Katika mnuno huo, huyo mwanaume ambayo ambaye jina lake ni Otou Kattayama alikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

    Kwenye maisha ya sasa, kuna wanaume wanajishusha kutokana na hali zao za kifedha – wakiamini kwamba uzuri fulani wa wanawake hauwahusu, yaani zile pisi kali tuwaachie watu flani wenye kipato. Wengine wanasema: “Uzuri ni wa wale wenye uwezo wa kuutunza.” Swali: Kuna uzuri ambao mwanaume maskini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali

    Imeshakuwa kawaida sana kuona status za wanawake wa kilokole wakimweka mhungaji wao na kumuandika "DADDY" yani BABA YANGU. Wachungaji wa kilokole ni hawa wanaosifika kwa miujiza ya Gesi, Keki za Upako, kufufa maiti, n.k. ukishaona mwanamke wako kakamatwa masikio na aina hii ya wachungaji...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  9. JamiiForums Tanzania Jionee ice cream mpya iliotengenezwa kufanania flavour ya maziwa yatokanyo na nyonyo za mwanamke

    Naona wazi wazi mzabzab akinunua hii ice cream kila muda na anajua kwa nini🤣🤣
  10. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

    HUYU NDIYE JOKATE MWEGELO – KIONGOZI, MWANASIASA NA MWANAMKE SHUPAVU Jokate Urban Mwegelo ni mmoja wa wanawake mashuhuri wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaye amejipambanua kwa namna ya kipekee katika nyanja mbalimbali kama ubunifu wa mavazi, uandishi wa habari, uongozi, siasa na harakati za...
  11. JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa suala la changamoto ya uzazi kwa mwanamke

    Suala la uzazi hasa kwa karne hii imekuwa ni changamoto sana. Idadi kubwa ya wanawake inakumbwa na changamoto.za uzazi kwa wakati na pengine kupelekea utasa. Lipo jambo moja ambapo umri wa mwanamke unapoonekana kwenda sana na hakuwahi kuzaa, kuna uwezekano mkubwa apate changamoto uzazi pale...
  12. JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume tu: Ungefanyaje kwenye hali kama hii?

    Unaishi mkoani Mara. Mwanamke mmoja ambaye mliwahi kuwa na uhusiano wa muda anakutafuta na anadai kuwa una mtoto naye. Amekuwa akikukamua pesa kila mwezi kwa madai ya matunzo ya mtoto. Huku ukiamini wewe ni baba halali, umekuwa ukitoa msaada kimya kimya. Lakini, kwa kutaka kuthibitisha ukweli...
  13. JamiiForums Tanzania Waifu Material pokea hii mantiki kama majibu ya swali lako la "kama mwanamke haumpendi kwa nini unaingia kwenye maisha yake?"

    Mwanamke huyu huyu anayeweza kukubali kuolewa kuwa mke wa pili kwenda kujaribu kushare mapenzi na mwanamke mwenzake au kuwa mchepuko ili hali anajua awala yake ana mke, ndio huyu huyu anaulizia integrity ya mapenzi yangu kwake???? Haileti sensi Mwanamke huyu huyu ukiwa na rasili mali za kutosha...
  14. JamiiForums Tanzania Fanya haya mwanamke wako asikusaliti

    Habari za masiku wapendwa. Nimegundua haya machache pengine yanaweza kutufaa sisi wanaume tulio oa kuishi vema bila kusalitiwa na wapenzi wetu. uzoefu wangu mdogo kwa wanawake watatu unaweza kuwafaa na wengine. 1. Usimuongeleshe vibaya wala kumgombeza mpenzi wako, mwanamke ni rahisi kusaliti...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuishi naye na kulea watoto

    Hello, mimi ni mwanaume mwenye watoto wa tatu, ni dereva Bajaji, nahitaji mwanamke wa kuishi nae na kulea watoto umri kuanzia miaka 27 hadi 35, sichagui rangi, dini wala kabila. Awe tayari kuishi Arusha
  16. JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke ni Uwembamba wake

    Sifa ya mwanamke mzuri ni wembamba wake. Mwanamke akiwa mwembamba automatic tu anakuwa mzuri. Ki Korean figure fulani hivi
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

    Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini? Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga...
  18. JamiiForums Tanzania Eti mwanamke anaweza kumkubalia mumewe akimuomba kuzalisha kwa mwanamke mwingine mwenye sifa nzuri sana

    Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Soko la mwanamke lipo kwenye umri wake

    Ehh dada wewe!!!! Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana. Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend... Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa wawe wakweli kwako ... Wakati kipindi kile walikuja wakweli kwako uliona hujamaliza ujana ukachagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…