Daah neno kubarikiwa kwa mwanaume kama halibless hivi 🤔😅😅😅😅 umebarikiwa mkuu
HahahaUkikosa wa kuoa pambana uolewe wewe sasa...
Mtu sealed anajua mpaka kufunguana jaman, hahahJambo la msingi ni hilo
Yani mimi niko Sealed kama Box la sigara, halafu wewe nikukute Uko Open High way ya Mfugale..
Njoo tufunguane kama Champaigne😂😂
View attachment 3323413
Jaman hizo seasson zinazopelekea hadi kujimwagia jamanEeh sasa sikuiz season zinaonesha kila kitu