💯 Mnayelingana nae au kukuzidi hatua za kimaendeleo
💯Familia yake inalingana au kuizidi familia yenu mandeleo
💯Ambaye haujamzidi umri kuanzia miaka mitano
💯Anaeshi geto mwenyewe na hana kazi maalum au geto lake na vitu ndani yake haviendani na kazi yake
💯Feminist, anapenda kuongelea sana ni...
Wakuu
Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa?
Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara...
Utakutana na scenario mbili
1. Familia yao Wana tabia flani mbaya hasa wakweo mfano tabia za kinyonyaji na kuendelea umasikini.
2.Matatizo ya uzazi. Na vizazi hatakama utabahatika kuyest mitambo.
Mengine wadogo zangu WATAKUPA ushuhuda..
Huu ni ujumbe kwa mwanamke ambae kapimwa ni mzima lakini hashiki mimba,pengine mwanaume wake ana dosari basi aje mimi ntamsaidia,kwa masharti yafuatayo:
1.sihitaji malipo
2.baada ya kushika mimba hatutakuwa na uhusiano wa kingono
3.tutapimwa magonjwa ya yote ya zinaa
4.ukubali kuwa age yangu ni...
Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa..
Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa..
Jambo la kwanza...
Wakuu hii video inatembea sana mtandaoni kuwa Mwanaume aliyemwokoa mwanamke kutoka kwenye ajali ya gari sasa anakabiliwa na mashtaka ya unyanyasaji wa kingono. Je, mtu anawezaje kumshitaki mtu aliyeokoa maisha yake na kuita unyanyasaji wa kingono wakati wa kumuokoa? hii ni ya kweli?
Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke wako
Lukweli ni kwamba after marriage mwanamke tiyali ameshakushinda na ukitaka kujua hilo angalia...
Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki
Kwa Ufupi ni kwamba Aligundua kiasi hicho kilichopokelewa bila sababu ya dhahiri kwenye...
Wanaume ni tofauti sana yani kama kuna maamuzi yako,jambo lako tambua hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukubeba wala kukupa mwongozo.
Ila kwa mwanamke yani anapewa muongozo na maamuzi anakupa wewe mwanaume.
Tokea ile kauli ya mabeyo na sasa umepata picha kuwa nguvu za wanawake wanabebwa na...
Ninaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu.
Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake na mara zote akiwa ana asira ninayeteseka ni mimi.
Maana anaweza kuokota chochote na kunirushia au...
Hili swali la je ni salama?, ni Afya na je ni sawa kuutumia ulimi kama nyenzo ya kumlainisha BI-AISHA ili kumwandaa Mwanamke kumpokea Abdallah kipara wazi?.
Jibu langu kwako ni 👇
Ndiyo, nani sahihi na Ki-Afya ni salama kutumia ulimi kama nyenzo ya maandalizi ya awali (foreplay) kuinua hisia za...
habari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari.
Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi...
Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ?
Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto
Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
Mwaka 1967, Kathrine Switzer aliandika historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kushiriki rasmi mbio za Boston Marathon. Wakati huo, iliaminika kuwa wanawake walikuwa “dhaifu” na hawawezi kukimbia mbio ndefu, na hakuna mwanamke aliyewahi kuruhusiwa kushiriki kwa namba rasmi ya mashindano.
Switzer...
Kuna hii imani ya kishirikina kuwa hata kama huna hela UOE kwa sababu mwanamke huja na baraka ya kipato. Ni upuuzi mtupu. Hakuna kitu kama hicho. Usiishi kwa kutegemea miujiza. Jiambie ukweli kuwa unapooa gharama za maisha zitaongezeka kwasababu ya jukumu jipya la kuhudumia mke na baadae watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.