Asalam Alaykum.
Nahitaji mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa
Sifa zangu
Miaka 28
Mrefu
Mwembamba
Muajiriwa.
Sina mtoto.
Sifa za mwanamke naemuhitaji
Muislam
Anaevaa stara.
Asiwe na mtoto.
Miaka 26 kurudi chini.
Asante tangazo hili ni kwa yule tu alie tayari kuingia kwenye ndoa ikiwa...
Mwanamke mmoja wa Nigeria anayeenda kwa jina la Jennifer, amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume Emmanuel 30,000 ambayo alitumiwa kisha hakwenda eneoo la tukio kuonana na mwanamume huyo.
Jen haamini macho yake 🤣...
Kuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
Nadhan waliobuni haya mavazi kwa jinsia wali focus zaidi kwenye urahisi wa kujisaidia/ kukojoa lakini kimaumbile na mpangilio wa mambo ulivyokaa, wanaume walipaswa kuvaa kama sketi/ msuli na wanawake suruali.
Mi nawakubali sana wamasai( shuka), watu wa mashariki ya kati(kanzu) na mashariki ya...
Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbea kwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.
Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu...
Mwanamke aitwaye Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na wivu wa kimapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi...
Jana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja, nikasema okay , kufika alikua ni mwnaume.
Basi tumekaa pale akaorder heinken 7 na sisi we were having...
Kama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua .
Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k
Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa
Hello,
Nimekuja kwenu ndugu zangu naomba mnipe mawazo yenu, naomba mnishauri kama ndugu au rafiki yenu. Sitaficha chochote.
Nilimaliza chuo miaka kama 5 iliyopita nkapata kazi private after two years kazi ikaisha.
Nilifungua bihashara ikadumu mwaka mmoja then ikafilisika, baada ya hapo...
Hata kama umeoa au umeolewa kuna mtu ukikutana naye huwa kuna nguvu inawakutanisha kinguvu kutokana na muingiliano wa tabia na haiba mlizonazo mnajikuta mnazama penzini tena penzi zito kweli kweli bila kujali madhara yake nje ya upeo wa fahamu zenu.
Mimi wakati nimeshaoa niliwahi kukutana na...
Ndugu zangu.
Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
Habari za wakati huu wanajamvi.
Kila mtu ana matamanio yake linapokuja suala la totoz, ila hizo totoz wakati mwingine hua zinavutia kwa nje tu. Akikuvulia nguo mwili unaishiwa pawa kabisa, na kubaki na maswali kichwani tu.
Ila kutokana na utomvu wa nidham wa shahawa inabidi upige tu hata...
Kwa hakika utaendelea kumchukulia poa mwanamke mpaka siku utakayomshudia akipitia maumivu ya kuleta mtoto duniani
Ewe mwanaume ukipata fursa ya kumshudia mwanamke akijifungua mtazamo wako hautabaki kama ulivyokuwa hapo kabla
Kama maneno matakatifu kutoka kwenye biblia yanavyosema kwamba...
Hawa watu kwenye hii dini ya muarabu sijui nywele za wanawake huwapa mzuka au nyege au nini, yaani jamaa bila aibu na likanzu sijui lijoho lake anazurura hospitalini akichukua video ya kila mwanamke ambaye hajasitiri nywele.
https://www.youtube.com/shorts/1PpnRkoqkqU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.