Je kuoa mwanamke aliye kuzidi elimu ni Ujinga or?

Kaka usijidanganye. Unless unataka kufa kwa depression
Wakati ukiwa wa kheri, hakuna shida. Shida inakuja wakati wa shari maana atatumia kiwango chako cha elimu kama fimbo. Wanawake hutafuta nyenzo za kukutandika hususan katika ugomvi. Kiwango cha elimu kinajongea hasa wakati unapopungukiwa nguvu za kiume
 
Listen bro, ukiona mwanamke ana judge mapenzi yenu au ndoa based on elimu aliyonayo, huyo haja mature kichwani,mshamba na hana malezi mazuri.

Hapa ndipo mashangaz wanang’ara licha ya kuwa na elimu na mafanikio ya pesa, wamegundua it doesnt keep a man (although wengi wanagundua ikiwa ni too late)
 
siamini sana katinga ndoa, lakini pia sidhani kama mahusiano yana limitations za umri. Nadhani tatizo ni kupata wa kuendana nae. kama mnaona vitoto ni pasua kichwa, elewa pia kuna washenzi wanaozeeka, bado una chances zile zile za kupata alotuzidi ambae anapasua kichwa pia.
chagua mitajo iliyo sahihi kisha ruka nayo.
 
Wakati ukiwa wa kheri, hakuna shida. Shida inakuja wakati wa shari maana atatumia kiwango chako cha elimu kama fimbo. Wanawake hutafuta nyenzo za kukutandika hususan katika ugomvi. Kiwango cha elimu kinajongea hasa wakati unapopungukiwa nguvu za kiume
Listen bro, ukiona mwanamke ana judge mapenzi yenu au ndoa based on elimu aliyonayo, huyo haja mature kichwani,mshamba na hana malezi mazuri.

Hapa ndipo mashangaz wanang’ara licha ya kuwa na elimu na mafanikio ya pesa, wamegundua it doesnt keep a man (although wengi wanagundua ikiwa ni too late)
Noma sana
 
kama mwanaume huwezi kuisimamia nyumba yako hata uoe wa darasa la saba atakuendesha tu.
 
Back
Top Bottom