mwanamke

  1. haszu

    JamiiForums Tanzania Kimaumbile mwanaume ndo alitakiwa kuvaa sketi/ gauni na Mwanamke suruali

    Nadhan waliobuni haya mavazi kwa jinsia wali focus zaidi kwenye urahisi wa kujisaidia/ kukojoa lakini kimaumbile na mpangilio wa mambo ulivyokaa, wanaume walipaswa kuvaa kama sketi/ msuli na wanawake suruali. Mi nawakubali sana wamasai( shuka), watu wa mashariki ya kati(kanzu) na mashariki ya...
  2. kaputula

    JamiiForums Tanzania Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

    Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbea kwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako. Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ashikiliwa kwa tuhuma za kuua mpenzi wake na wembe

    Mwanamke aitwaye Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi...
  4. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanamke huanza akiwa na miaka 18, Maisha ya mwanaume huanza akiwa na miaka 28

    Take Note.
  5. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke mrembo unayemuona, ana mwanaume ambaye amechoka kuwa naye kwenye mahusiano

    Take Note.
  6. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kulipiwa kila kitu na mwanamke ni aibu

    Jana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja, nikasema okay , kufika alikua ni mwnaume. Basi tumekaa pale akaorder heinken 7 na sisi we were having...
  7. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama ameshafika miaka 30 na kuendelea waachie wazee

    Kama Mwanamke ana miaka kuanzia 30 , wewe Kama Kijana huyo Mwanamke achana nae atakusumbua . Wengi hasa Tanzania wanakuwa wametumika Sana kama hajazaa ujue ameshatoa mimba n, P2 n.k Nb nazungumzia wanaotafuta ndoa
  8. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Nimfanyie Nini huyu Mwanamke?

    Hello, Nimekuja kwenu ndugu zangu naomba mnipe mawazo yenu, naomba mnishauri kama ndugu au rafiki yenu. Sitaficha chochote. Nilimaliza chuo miaka kama 5 iliyopita nkapata kazi private after two years kazi ikaisha. Nilifungua bihashara ikadumu mwaka mmoja then ikafilisika, baada ya hapo...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yaani mwanamke akitaka attention ya vijana atapata tu

    Hapa hata wale waliotaka kuwahi kuondoka kwenye kikao wataendelea kusubiri tu. 🤣
  10. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kila mwanaume, kila mwanamke ana pair zake akikutana nazo ni rahisi sana kula au kuliwa

    Hata kama umeoa au umeolewa kuna mtu ukikutana naye huwa kuna nguvu inawakutanisha kinguvu kutokana na muingiliano wa tabia na haiba mlizonazo mnajikuta mnazama penzini tena penzi zito kweli kweli bila kujali madhara yake nje ya upeo wa fahamu zenu. Mimi wakati nimeshaoa niliwahi kukutana na...
  11. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kikristo walipieni wasichana mahari na siyo kuwalipia wanawake mahari kama mnavyofanya sasa

    Ndugu zangu. Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
  12. Rule L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kitu gani hua kinakukata stim ukikiona kwa mwanamke mkiwa mnaanza mtanange??

    Habari za wakati huu wanajamvi. Kila mtu ana matamanio yake linapokuja suala la totoz, ila hizo totoz wakati mwingine hua zinavutia kwa nje tu. Akikuvulia nguo mwili unaishiwa pawa kabisa, na kubaki na maswali kichwani tu. Ila kutokana na utomvu wa nidham wa shahawa inabidi upige tu hata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hutakaa umuheshimu mwanamke mpaka siku utakayoshuhudia akijifungua

    Kwa hakika utaendelea kumchukulia poa mwanamke mpaka siku utakayomshudia akipitia maumivu ya kuleta mtoto duniani Ewe mwanaume ukipata fursa ya kumshudia mwanamke akijifungua mtazamo wako hautabaki kama ulivyokuwa hapo kabla Kama maneno matakatifu kutoka kwenye biblia yanavyosema kwamba...
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Kauli ya wadada "Hutokuja kupata mwanamke kama mimi we mwanaume wewe

    Wadada hizo kauli zenu utafikiri dunia nzima kuna mwanamke mmoja 🤣🤣🤣🤣 au ndo hua mnatulaani tusipate mwingine Eti wadada mnamaanishaga nini?
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Aisee Usiombe Ukutane na Mwanamke Kibonge Anajua Kusimamia na Kuikalia kwa juu na Mauno yake ya feni

    Nimekoma mimi nimekoma nimekoma vibonge sitawadharau tena, wanashoo kali sana hawa viumbe Ni hayo tu
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Kule Iran Mwanamke amfumania mwanaume wa kidini akimchukua video hospitalini kisa hajasitiri nywele

    Hawa watu kwenye hii dini ya muarabu sijui nywele za wanawake huwapa mzuka au nyege au nini, yaani jamaa bila aibu na likanzu sijui lijoho lake anazurura hospitalini akichukua video ya kila mwanamke ambaye hajasitiri nywele. https://www.youtube.com/shorts/1PpnRkoqkqU
  17. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania We mwanamke mwenye kipini puani! Ulichonifanya Mungu anajua

    Yaani hawa wanawake wenye vipini jamani...alichonifanyia kijana wa watu sijui hata nianzaje kuwaelezea... Ila niseme tu vijana wenzangu wapenda maendeleo epuka wanawake wenye vipini puani... Waepuke kama kama ukoma...kilichonikuta ni masikitiko
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kulingana na mstari huu wa Biblia mwanamke hapaswi kuajiriwa huku ameolewa

    Leo sitaki kugusia matendo ya uzinzi yanayofanywa na wake wa watu wakiwa kwenye safari za kikazi au wakiwa kazini. Ninataka nigusie zaidi suala la uwajibikaji ambao mwanamke anapaswa kuwa nao kwa mume wake. Msije mkasema siijui Biblia — nimesoma vyuo vya Biblia takribani vitatu, vikiwemo...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiye na marafiki wengi anaweza kuwa na sifa mbalimbali, ambazo si lazima ziwe hasi au chanya

    Mwanamke asiye na marafiki wengi anaweza kuwa na sifa mbalimbali, ambazo si lazima ziwe hasi au chanya—zinategemea muktadha wa maisha yake, tabia yake, na mazingira yanayomzunguka. Hapa kuna baadhi ya sifa zinazoweza kumtambulisha mwanamke wa aina hii: --- ### 🌿 Sifa Chanya 1. Mwenye...
Back
Top Bottom