mwanamke

  1. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke ni Uwembamba wake

    Sifa ya mwanamke mzuri ni wembamba wake. Mwanamke akiwa mwembamba automatic tu anakuwa mzuri. Ki Korean figure fulani hivi
  2. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

    Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini? Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Eti mwanamke anaweza kumkubalia mumewe akimuomba kuzalisha kwa mwanamke mwingine mwenye sifa nzuri sana

    Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
  4. Bueno

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
  5. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Soko la mwanamke lipo kwenye umri wake

    Ehh dada wewe!!!! Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana. Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend... Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa wawe wakweli kwako ... Wakati kipindi kile walikuja wakweli kwako uliona hujamaliza ujana ukachagua...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Jifunze hapa jinsi ya kushinda tamaa hiyo

    Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Yesu Kristo alitoa onyo hilo zito kuhusu dhambi ya uzinzi usioonekana kwa macho ya kawaida lakini unaotekelezwa ndani ya moyo wa mtu. Katika Mathayo 5:28 anasema hivi: "Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Kuna mwanamke wa kuoa na mwanamke wa starehe, Usijichanganye utalia

    Katika vitu hutakiwi kukosea ni kuoa, ingawa pia Kuna bahati ndani yake ,ukibahatisha wife matilio utaifurahia ndoa kinyume chake ni majuto. Sasa Kuna sifa za wazi kabisa hata sisi wazee tunaziona na tunakushauri wewe kijana lakini umekomaa tu hutaki kusikia,. sikiliza .usioe wanyesifa...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume ni ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke au mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume

    Tuanze na mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume kiasi hata shetani asingeweza kuufanya Mwanaume ni ugaidi au ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke mpaka ukaona huyu mchawi Mimi sija pigwa sana matukio ila niliwai kulipia lodge na demu hakutokea nikasepa home up saa 12
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Myahudi au mwanamke au mbwa akipita karibu na muislamu wakati wa maombi, hayo maombi yatakatizwa

    Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma Mohamad aliagiza mbwa weusi wauawe. Book 2, Number 0704: Narrated Abdullah ibn Abbas: Ikrimah...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri kuu mbili tuu za Kumkojoza Mwanamke

    Ijumaa Kareem! Kumkojoza mwanamke ni jambo rahisi Sana kuliko wanaume wengi wanavyohangaika kila siku kutaka kuwaridhisha wanawake. Kuna Siri kuu mbili tuu kumkojoza mwanamke; 1. Uhuru wa mawasiliano. Mwanamke huwezi kumkojoza kama hujampa Uhuru wa mawasiliano. a) Mwanamke wako lazima umfanye...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tuongee kifamilia/kitamaduni:-Kwa mwanamke je ni sahihi kufua nguo za baba mkwe wake?

    Kulingana na mila na desturi zetu zinatofautiana kabila hadi kabila na jamii nyingine kwenda jamii nyingine. Ni kawaida kukuta jamii au tamaduni ya watu hawa haziingiliani na tamaduni za jamii/kabila fln. Mfano kuna baadhi ya makabila huoa binamu zao wengine huzaa na dada zao nk. Kule...
  12. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni mpango wa mawanaume, ni fursa kwa mwanamke

    Leo hapa kijiweni NYASAKA CENTER. mzee wetu leo kaja na neno la kutuambia vijana kuhusu NDOA. Ndoa ni mpango mzuri kwa mwanaume na ni fursa kwa MWANAMKE akiwa na maana ya kwamba Mwanaume ili aoe ni lazima awe amependa na ameamua ila MWANAMKE ili aolewe 99% wanaangalia nini atapata kwenye ndoa...
  13. Bexb

    JamiiForums Tanzania Anahitajika muhudumu wa ofisi mwanamke

    Habari ya jioni wakuu. Natoa tangazo hili kwa niaba ya kampuni inayomilikiwa na wageni wa kutoka China, inayojihusisha na huduma za utengenezaji magari iliyo na ofisi zake Mikocheni, industrial road jirani na TPDC. Anahitajika muhudumu wa ofisi kwa ajili ya kufanya majukumu yafuatayo: 1...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wasiokubali Uteuzi wa Rais Samia, 2025,Je ni Wanapinga Mchakato au Wanateswa na Mfumo Dume Wana Shaka na Uwezo Mwanamke? Angekuwa Mwanaume Wangepinga?

    Wanabodi Huu ni uzi wa swali, hawa watu haswa humu mitandaoni, ambao hawakubaliani na uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kuwapitisha Rais Samia na rais Mwinyi kuwa wagombea wa urais wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 kwa Tanzania Bara na Visiwani, je wanachopinga ni mchakato ulioikiuka katiba ya CCM au...
  15. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Heshima ya mwanamke wa sasa ipo wapi?

    Miaka ya 1990 kurejea nyuma, wanaume tulikuzwa na familia zetu kuwaona wanawake kama viumbe wa kuwalinda na kuwajali sana. Hii haikuwa Tanzania tu bali ulimwenguni. Ukitazama filamu,wanaume walikuwa wakisalimia wanawake wanawavulia kofia na kuinamisha kichwa kidogo na kuwaita majina ya heshima...
  16. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

    1.mwembamba 2.mnene 3.macho makubwa 4.macho madogo 6.nyashi kubwa 7. V-shaped face 8. Oval face shape 9. Miguu wa bia 10. Curved shape 11. Mfupi 12. Mrefu 1. Mcharuko 2. Mbea 3. Mpole 4. Mwenye makelele 5. Gubu 6. Mchamungu 7. Wa mituuuungi 1. Tom boy 2. Mweupe 3. Cheusi 4. Maji ya kunde...
  17. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

    Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk Bila hela hutoboi.. Mwisho wa uchambuzi.
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuweka Mkao huu, Jua umekwisha🤣🤣

    Utajuaje Mwanamke kakuweka Kiganjani? Kwenye mapenzi Viganja si vya Mikono bali ni hivi👇🤣🤣 Ukishawekwa Mkao huu jua umekwisha😂😂
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ni nadra sana kukuta mwanamke wa Kimbulu amesukia rasta nywele zake

    Wanawake wa kimbulu kiukweli wamejaaliwa ule uzuri wa asili. Ni mara chache sana kukuta amechanganya nywele zake na hizi rasta za kawaida za katani. Na katika experience yangu niliowaona wasichana wa kimbulu hupendelea kunyoa ule mtindo unoitwa panki nadhani.. Mungu wabariki warembo wa...
  20. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
Back
Top Bottom