Kwanini hukumuoa/ulimkimbia Mwanamke uliempa mimba?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,300
Reaction score
7,741
Wimbi kubwa la wasichana wengi wanazalia nyumbani, hasa kwa miaka ya hivi karibuni, changamoto inakua ni nini? Na unakuta jamaa aliyempa mimba yupo tu.

Tumekua mstari wa mbele kuwashutumu Wanaume kwa kuwapa mimba na kukimbia, lakini ukiingia deep unakuta wanawake wenyewe ndio chanzo cha kukimbiwa/kutokuolewa na jamaa aliyempa mimba..

Mimi ni miongoni mwa watu ambao sijamuoa yule niliempa mimba licha ya kwamba namuhudumia Kila kitu nampa nakuonyesha Nia ya kumuoa, licha ya kufanya yote yeye hana uo muda.

Yule mwanamke Hana time na Mimi, kwa ninavyojua mwanamke akipewa mimba anakua karibu sana na aliyempa mimba, lakini yule Binti tuliwasiliana naye week Moja baada ya kujifungua, akanitumia picha na video za mtoto, kwa muonekano tunafanana sijapigwa, baada ya hapo akawa hana time na Mimi hata umtafute hajibu sms, alikaa zaidi ya mwezi ndio akanitafuta kwa ajili ya kuniomba hela, japo nilikua na mpango wa kumuoa na kuishi nae lakini kile kiburi na ushindani ndio ulinifanya nisifikirie kumuoa na kuwaza vitu vingine..
Wakati ambao nilikua namuhitaji yule mtoto, kujua maendeleo yake n.k yeye alikua hana time na Mimi, nadhani inashangaza sana kwa mtu mwingine anaweza kufikiri labda yule mtoto ana baba Mwingine..

Japo mtoto yuko na miezi miwili mama yake baada ya kugombana nae kisa kumwambia anipe muda wake, nijue maendeleo ya mtoto n.k then nikamwambia kama vipi nitatafuta mwanamke mwingine akanijibu "whatever it's your decision"

Ni mwezi wa pili sasa unaenda hatujawai kuongea.

Katika mazingira kama hayo huyo Mama akibaki single mother sidhani kama itakua ni kosa ..

Hakuna mwanume ambaye hataki kukaa na mtoto wake, ila tabia za Mama zao ndio sababu ya wao kubaki single mother.
 
Kisa chako sijakielewa vema kwamba ila kama amebeba ujauzito na angalau una 80%kuwa ni wako kama huwezi kuishi nae basi kuwa karibu nae sana sioni sababu yoyote ya kuhalalisha kukimbia ujauzito
 
Wimbi kubwa la wasichana wengi wanazalia nyumbani, hasa kwa miaka ya hivi karibuni, changamoto inakua ni nini? Na unakuta jamaa aliyempa mimba yupo tu.

Tumekua mstari wa mbele kuwashutumu Wanaume kwa kuwapa mimba na kukimbia, lakini ukiingia deep unakuta wanawake wenyewe ndio chanzo cha kukimbiwa/kutokuolewa na jamaa aliyempa mimba..

Mimi ni miongoni mwa watu ambao sijamuoa yule niliempa mimba licha ya kwamba namuhudumia Kila kitu nampa nakuonyesha Nia ya kumuoa, licha ya kufanya yote yeye hana uo muda.

Yule mwanamke Hana time na Mimi, kwa ninavyojua mwanamke akipewa mimba anakua karibu sana na aliyempa mimba, lakini yule Binti tuliwasiliana naye week Moja baada ya kujifungua, akanitumia picha na video za mtoto, kwa muonekano tunafanana sijapigwa, baada ya hapo akawa hana time na Mimi hata umtafute hajibu sms, alikaa zaidi ya mwezi ndio akanitafuta kwa ajili ya kuniomba hela, japo nilikua na mpango wa kumuoa na kuishi nae lakini kile kiburi na ushindani ndio ulinifanya nisifikirie kumuoa na kuwaza vitu vingine..
Wakati ambao nilikua namuhitaji yule mtoto, kujua maendeleo yake n.k yeye alikua hana time na Mimi, nadhani inashangaza sana kwa mtu mwingine anaweza kufikiri labda yule mtoto ana baba Mwingine..

Japo mtoto yuko na miezi miwili mama yake baada ya kugombana nae kisa kumwambia anipe muda wake, nijue maendeleo ya mtoto n.k then nikamwambia kama vipi nitatafuta mwanamke mwingine akanijibu "whatever it's your decision"

Ni mwezi wa pili sasa unaenda hatujawai kuongea.

Katika mazingira kama hayo huyo Mama akibaki single mother sidhani kama itakua ni kosa ..

Hakuna mwanume ambaye hataki kukaa na mtoto wake, ila tabia za Mama zao ndio sababu ya wao kubaki single mother.
Kwa haya uliyoandika, wewe ni kavulana na siyo mwanaume. kwahiyo ulivyomwambia unataka kutafuta mwanamke mwingine, ulitaka akujibuje?

Mwanamke wako amezaa na anapitia kipindi cha uzazi chenye changamoto nyingi hasa kama ni uzazi wake wa kwanza. Wewe unachohitaji ni ajibu meseji na awe na time na wewe.

Yani unamuacha mama wa mtoto wako kwa sababu mwezi wa kwanza tangu ajifungue hana time na wewe.
Daah, hao wanawake wenu kazi wanayo.
 
Kwa haya uliyoandika, wewe ni kavulana na siyo mwanaume.
Mwanamke wako amaezaa na napitia kipindi cha uzazi na ambacho unahitaji ni ajibu meseji na awe na time na wewe.
Yani unamuacha mama wa mtoto wako kwa sababu mwezi wa kwanza tangu ajifungue hana time na wewe.

Daah, wanawake wenu kazi wanayo.
Umesema vyema kabisa.
 
Mkuu mtoa mada, naomba ifahamike kuwa mimba zote za nje ya ndoa wa kulaumiwa ni mlombwaji. Hawakubakwa mkuu, waliitoa, ilachapwa, ikichomoka wanairudishia, wanaongeza na utelezi wa mate. Visababishi ni tamaa, imani kuwa atanioa, ujinga.

Kuna binti mmoja hapa maeneo ni mrembo si haba. Nimemjua mwaka juzi akiwa na around 25-26 years hivi. Wakati namjua, ma single mother na ma super woman walikua wanamsema ovyo, “Age inaenda hajazaa, hana mtoto” na ujinga kama huo. Binti ukimcheki yupo tu na mishe zake. Mwezi uliopita kaniletea kadi yake ya harusi, nikajiambia “haya ni matokeo ya kuiishi njia uitakayo” angewasikiliza wale mate super women na kuitega kwa pedeshee angezalishwa na kuachwa single mama. Sasa atazaa ndani ya ndoa yake.

Wanawake punguzeni pupa. Tunaishi 2025 sio 1995. Mambo yamebadirika, jinana hawaoi kwa sababu kafika 28 years, wanaoa wakiwa tayari kubeba majukumu, kila binti akijiheshimu na kujitunza ataolewa tu.
 
Wimbi kubwa la wasichana wengi wanazalia nyumbani, hasa kwa miaka ya hivi karibuni, changamoto inakua ni nini? Na unakuta jamaa aliyempa mimba yupo tu.

Tumekua mstari wa mbele kuwashutumu Wanaume kwa kuwapa mimba na kukimbia, lakini ukiingia deep unakuta wanawake wenyewe ndio chanzo cha kukimbiwa/kutokuolewa na jamaa aliyempa mimba..

Mimi ni miongoni mwa watu ambao sijamuoa yule niliempa mimba licha ya kwamba namuhudumia Kila kitu nampa nakuonyesha Nia ya kumuoa, licha ya kufanya yote yeye hana uo muda.

Yule mwanamke Hana time na Mimi, kwa ninavyojua mwanamke akipewa mimba anakua karibu sana na aliyempa mimba, lakini yule Binti tuliwasiliana naye week Moja baada ya kujifungua, akanitumia picha na video za mtoto, kwa muonekano tunafanana sijapigwa, baada ya hapo akawa hana time na Mimi hata umtafute hajibu sms, alikaa zaidi ya mwezi ndio akanitafuta kwa ajili ya kuniomba hela, japo nilikua na mpango wa kumuoa na kuishi nae lakini kile kiburi na ushindani ndio ulinifanya nisifikirie kumuoa na kuwaza vitu vingine..
Wakati ambao nilikua namuhitaji yule mtoto, kujua maendeleo yake n.k yeye alikua hana time na Mimi, nadhani inashangaza sana kwa mtu mwingine anaweza kufikiri labda yule mtoto ana baba Mwingine..

Japo mtoto yuko na miezi miwili mama yake baada ya kugombana nae kisa kumwambia anipe muda wake, nijue maendeleo ya mtoto n.k then nikamwambia kama vipi nitatafuta mwanamke mwingine akanijibu "whatever it's your decision"

Ni mwezi wa pili sasa unaenda hatujawai kuongea.

Katika mazingira kama hayo huyo Mama akibaki single mother sidhani kama itakua ni kosa ..

Hakuna mwanume ambaye hataki kukaa na mtoto wake, ila tabia za Mama zao ndio sababu ya wao kubaki single mother.
Huyo hakupendi kaka.just move on mwanamke akikupenda kweli hawezi kupitisha siku bila kuwasiliana na wewe Tena baba wa mtoto wake

Kingine Kuna wale wanawake viburi wanaopenda mashindano na mwanaume hawataki kujishusha. Type za aina hii ni eat and run unapita kushoto, wa hivi ukimuoa atakusumbua tuu

Mwisho tafuta mwanamke atakaye kuheshimu na kukusikiliza ambaye atakuwa ni mama Bora wa watoto wako
 
Yule mwanamke Hana time na Mimi, kwa ninavyojua mwanamke akipewa mimba anakua karibu sana na aliyempa mimba, lakini yule Binti tuliwasiliana naye week Moja baada ya kujifungua, akanitumia picha na video za mtoto, kwa muonekano tunafanana sijapigwa, baada ya hapo akawa hana time na Mimi hata umtafute hajibu sms, alikaa zaidi ya mwezi ndio akanitafuta kwa ajili ya kuniomba hela, japo nilikua na mpango wa kumuoa na kuishi nae lakini kile kiburi na ushindani ndio ulinifanya nisifikirie ku
Ulimkosea nini? Mwanzo wa mahusiano yenu ulimpaje mimba kama hakua na time na wewe? Prakatatumba abaabaabaa
 
Huyo hakupendi kaka.just move on mwanamke akikupenda kweli hawezi kupitisha siku bila kuwasiliana na wewe Tena baba wa mtoto wake

Kingine Kuna wale wanawake viburi wanaopenda mashindano na mwanaume hawataki kujishusha. Type za aina hii ni eat and run unapita kushoto, wa hivi ukimuoa atakusumbua tuu

Mwisho tafuta mwanamke atakaye kuheshimu na kukusikiliza ambaye atakuwa ni mama Bora wa watoto wako
Hiyo paragraph ya mwisho ndio kipengele sasa. Kupatikana ni shida.
 
KWA SABABU MNA AKILI ZA UPUMBAVU TU NA UHUNI

HAKUNA SABABAU YA MSINGI YA MWANAUME KAMILI MWENYE AKILIO ISIO YA KISHOGA KISHOGA AKIMBIE KIUMBE CHAKE.

SHAME🤡🤡
Umeelewa mada boss??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom