Ni ishara gani au mambo gani utamfanyia mwanamke agundue unampenda bila ya wewe kumtongoza?

Algedo

Senior Member
Jul 24, 2020
101
250
Wana JamiiForums habari zenu, poleni kwa mihangaiko.

Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa wale mnao wajua wasichana kiundani zaidi ( mliobobea zaidi kwenye masuala ya mahusiani)

Naombeni trick za namna gan naweza date na demu mkali/mrembo pasipo kupoteza muda kumtongoza ila kwa mambo flani tu agundue kwamba huyu mtu anampenda?
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
17,534
2,000
Anzisha mazoea nae jua anavyovipenda,mtendee vitu vya tofauti kidogo.. mtoe out just in a normal.. onyesha ukaribu kiasi.. story nae ziwe in deep kujua hata baadhi ya ndugu zake kiasi tu.. give her your time.. some small gift ambazo zinaweza kuwa na kamaana fulani hivi n.k

Kama na hapo hata elewa ushauri wangu wamwisho ndugu vaa hirizi inayopumua tu hakuna namna..😂
 

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,485
2,000
Aisee.....

Kwanza lazima uhakikishe unaingia kwenye anga zake,yaani tafuta maeneo ambayo yeye kayazoea alafu zoeana nae huko.kama anapenda basketball ingia huko ujifunze lengo kutengeneza mahusiano ya kaeaida ya kupiga stori za kawaida.

Hili jdio jambo la mwanzo,kumbuka sio kazi ya siku moja au mbili,kumbuka umechagua njia ndefu hivyo usiitake umalize mambo siku moja tu,

njia ndefu=masiku mengi.

Ukishafanikisha hili hili sasa hakikisha katika maeneo ambayo mnakutana kwa mazoea ya yeye maeneo hayo hakikisha unapiga stori unakuwa huru,usiwe siriaz saaana kwa kyjifanya uko ile mtu wa mikakati kiivo,hakikisha unamchekesha sana..

Na kumchekesha kama una elewa usimkashifu mwingine ili umchekeshe yeye,mchekeshe yeye kwa kutumia idea zako mwenyewe yaani afurahii afurahiii,ukifanikisha hili akawa anafurahi na kucheka mpaka mdomo anazuia kwa mkono kama ilivyo kawaida ya pili kali nyingii basi hapo wewe unacheka kidogo kidogo sio na wewe unaachama limdomo unacheka zaidi yake atakuona unajitekenya.

Baada ya hapo mzee vuta pumzi dumu na hiyo halii pekee kwanza mpaka zipite siku kadhaa huku ukiangalia ana respond vipi katika mazungumzo yenu.

Baada ya hapo bwana kama ni mtu wa matawi sana we tafuta shida ya kawaida tu ambayo pengine iko ndani ya uwezo wake,kumbuka asigundue kama unaigiza,yaani onesha una shida kweli hasa,akikusaidia mshikuru potezea..

Endelea na maisha mengine kausha endelea na mahusiano ya kawaida...

Baada ya hapo napendekeza siku moja tafuta nguo ya aina anayopenda ya mtumba hivi au hata kiatu anachopenda,mnunulie alafu unaweza kumuambia hii nguo nimeiona nikasema itakufaa sana nikapata shida kuiwacha nikaona nikuchukuliee.

Hakikisha hapa unaongea kimzaha yani kikawaidaa ileee asione kama hiyo nguo umetumia kama chambo cha kumnasa yeye,kwani ukiongea kiromantic na kwa namna ya kutongoza atakuona mshamba kwani yeye anajijua na anaamini kuwa hachukuliki kwa nguo au viatu,hivyo hakikisha unatumia njia ambayo atajua kuwa huo ni mzaha..

Akipokea hiyo zawadi kwa njia hiyo ni hatua nzuri sana....

Simalizi yote bwana


NB ; NDOA NDIO LENGO LA MAHUSIANO
 

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
6,723
2,000
Maneno machache tu mkuu..
1..You are so cute mrembo.
2..you are so pretty..
3..mtoto umependeza sana ,,hata ukivaa gunia bado upo so cute..
Mwambiye maneno haya mara kwa Mara...
Halafu omba contact...
Ukipewa contact..... Asubuhi mtext morning mrembo?
Na mpesa/Tigo pesa isome 50 elfu ya soup..tuma kwenye simu yake..
Ask for an appointment...
Ukimkosa huyo kiumbe ,,wewe ni zaidi ya pimbi wa kwenye gazeti la sani..
 

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,571
2,000
1c33f64054dc019172d43308bee0cb6e.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom