mwanamke

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

    Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale. Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume ndio chanzo cha kuharibika jamii, mwanamke ni matokeo tu hivyo asilaumiwe

    Wanaume wenzangu. Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje. Kuna wakati anaweza kukuomba idhini ya jambo ili kukupima tu je utamkubalia au kumkatalia. Kumkatalia mwanamke kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Nasikia watu wa Mtwara mwanamke anaweza kumfukuza mwanaume nyumbani

    Bibi yangu alisomaga huko masasi miaka hiyo. Sasa alinisimulia kuwa wakiwa vijijini siku moja wakakuta mdingi amebeba vitu kama anahama. Walipomuuliza akawajibu kuwa mama yenu kanifukuza. Ni kweli hizi ishu zipo? Maana najua kuna ishu za matrinia na patrinia lakini nilikuwa naona kama hadithi tu.
  4. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke atanitoa roho

    Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo...
  5. JamiiForums Tanzania Nampenda lakini ana tabia za uswahili uliopitiliza. Nifanye nini kumbadilisha?

    Hey! Wakuu wajukwaa hili naamini bado hamjakata tamaa kwenye lolote na bado mapambano mpaka dakika ya 90. Basi wakuu katika pitapita nikakutana na mtoto mmoja kaloweya Dodoma, sema kwao Handeni, malezi yake kapewa na mama wote wazigua, mtoto anaitwa Hamida, anyway nisitoe utambulisho wote...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sijisikii vizuri lakini nimepima sina UKIMWI

    Naombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanaume mwenye elimu yake anayeweza kuoa mwanamke ambaye hajasoma?

    Mambo mengi mda mchache... Naombeni kuuliza hivi mwanaume ambaye mwenye elimu ya u Dkt. Engineering, Prof. akaoa mwanamke ambaye hana elimu yoyote yaani hajaenda shule hata kaenda alifeli darasa la nne na kurudi zake nyumbani huyu mwanaume yupo? Na je watoto watakuja kurithi akili za baba yao...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mwanamke kupiga picha na rafiki wa mume na kuzitunza katika simu yake?

    Naomba msaada wa mawazo wakuu, Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo. Ni picha zaidi ya kumi, ila ajabu hana hata picha yangu kwenye simu yake. Hapa niko chumbani nazikagua na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yangu sitokuja kumsahau yule Mwanamke

    Nipo naongea kwa uchungu sana Wana JF naona Mahusiano kwangu hayana Maana tena, Nimeumia Wanawake sio watu kabisa anaweza kukufanya ukaijutia siku yako nzima? Na ukakosa raha kabisa, Nasema kuanzia leo sitakuwa sehemu na Mwanamke, story ipo hivi Nilikutana jana na Mwanamke kwenye sherehe...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu zipi ili nioe mwanamke wa kiarabu?

    Habarini za pilikapilika wakubwa, Jana usiku nikiwa nimetulia zangu chumbani nilijikuta naingiwa na wazo la kutafuta mwanamke wa kuoa. Wazo hili lilinijia ghafura sana mara baada ya kuona sasa umri umekwenda kwa hivyo mimi kama kijana sasa ni vyema nikajipatia mke sasa kisha nianzishe familia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania 💃Mwanamke dawa nashuhudia 🏝

    1. Ni siku ya tatu leo. Nipo hoi kitandani Natweta sijitambui. HAKIKA mwanamke ameniponya.🦚 2. Tumbo limenitesa, Tumbo limekatakata Nimekwenda NENDA nenda rudi, mbio bila mshindani.🏃🏾‍♂️ 3. Muziki mkali ulipigwa, Huo bila ya nota, Nikifumba macho Kwa maumivu tele, Lakini mwanamke dawa. Mchana...
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani akifumania anaumia zaidi?

    Hebu tuwe wakweli jamani mana nasikia watu wanakunywa hadi sumu maana nasikia wanaume wanaumia sana hadi wanakonda ila dada zetu wala hawaumi sana na haswa akiwa mzuri Kwani sijawahi sikia mwanamke kumuuwa mumewe kwa wivu wa mapenzi ila mwanaume ndio wanauwa tena kinyama
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

    ''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA'' Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na...
  14. JamiiForums Tanzania Pale mwanamke anaponogewa na penzi

    Love is a beautiful thing indeed, when it hits a right spot it makes a person glow and glitter with happiness, maneno huwa matamu namna hii. Lets make our patners happy wandugu. []
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna swali ambalo sipendi kama unafanya kazi gani, pale tu unapoanza kumfatilia Mwanamke

    Happy new December 2020 month, Niende kwenye mada moja kwa moja, unakuta mwanaume umekuatana na mwanamke mahali popote hata kama ni Jamii Forums, pale tu unapoanza kuwasiliana nae na kuonesha nia tayari tegemea swali taja hapo juu. Kuwa unafanaya kazi gani naikitokea ukataja wewe ni mzibua...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  17. JamiiForums Tanzania Linda Doyle Mwanamke alieua Mume wake kisha kujichoma kisu ukeni kudai alikua anabakwa hivyo aliua katika kujitetea

    Dunia haiishi vituko. Huko Alabama, Marekani mwanamke anaelitwa Linda Doyle alimuua mume wake mwaka jana 2019 na kisha kujichoma kisu ukeni na kusema mumewe alikua anambaka hivyo alimuua katika hali ya kujitetea. Waendesha mashtaka wamesema baada ya Linda kumuua mume wake alichukua kisu na...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyezaa nae ananipa majukumu yasiyonihusu

    Habari za wakati huu wapendwa na wanajamvi wenzangu wa MMU. Poleni kwa kazi na kwa wale walioenda kusali hongereni kwa ibada. Nianze mkasa wangu juu ya huyu Baby mama wangu, Hapa juzi kati (wiki iliyopita) mwanadada aliyedai kuwa anaujauzito wangu na kunikabidhi kulea, alijifungua salama na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ukiwa na mwanamke kwenye siasa akiwa na cheo kikubwa huwezi kumshauri

    Sijawa na jibu sahihi kwa swali langu, je hawa wanawake hakuna hata mmoja mwenye mume ambaye alimshauri na kumkataza kwenda kuwa viti maalum kuwa atakuwa ameona madhara yake, sasa mkewe kafukuzwa uanachama na ubunge hatogombea tena, mwanaume anamuambia nn mkewe au anamshaurije kwa sasa
  20. JamiiForums Tanzania Barabara ya Ujerumani kupewa jina la mwanaharakati wa Tanzania, Lucy Lameck. Alikuwa Waziri wa 1 mwanamke wa Tanzania

    Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana mmoja wa nyakati za ukoloni katika eneo la Afrika mashariki aliyeshutumiwa kwa kuagiza mauaji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…