Mwanamke anaweza kupata mimba kwa kutumia pedi?

Mwanamke anaweza kupata mimba kwa kutumia pedi?

KIBESENI

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
360
Reaction score
351
Binti yangu amemaliza Form 4 mwaka jana. Sasa hivi amepata mimba halafu tukimuuliza hiyo mimba ni ya nani, anasema alipokuwa period alipewa pedi na rafiki yake baada yakutumia akajikuta ana mimba.

Najua ananidanganya ndio maana, nauliza.

PEDI INAWEZA KUTUNGISHA MIMBA? MIMI SIJUI.
 
Ni kweli inawezekana hakuna kinachoshindikana chini ya jua, we vumilia mpaka miezi Tisa au kumi ikidhidi sana kumi na mbili utakuwa umejishindia dhawadi ya mjukuu.
 
Haiwezekani Mkuu. pH, volume, temperature ya shahawa na mazingira ya uke, pamoja na factors nyingine za ku-support utungwaji wa mimba hazikubali kwenye hii stori ya mtoto wako. Umedanganywa.
 
Mama yake naye kakubakiana na hilo? Kwa hiyo mtoto ataitwa kwa jina la nani sasa hapo
unajua hii mitoto ya iliyozaliwa wakati wa kasi mpya na nyakati za uwazi na ukweli inakichwa ngumu. nimewahi piga sana, kama nikuongea ndo usiseme. lakini wapi.
mamake naye hata akimuuliza majibu ni hayo yakijinga cjawahi kuzini, pedi ndo ilinipa mimba.
 
Kibeseni, pedi haziwezi sababisha ujauzito.
Anataka kudanganya rafiki yake aliweka manii kwenye pedi?
Lol, utetezi huo kiboko.
Binti kabla ya kutoa utetezi wake alijua dhahiri mshua atanasa tu, ndio maana mshua yuko hapa anatafuta majibu. Binti aliona mbali. Na hii inanipa picha kuwa hii si Mara ya kwanza binti anampa mshua utetezi wa kusadikika kwa maovu yake aliyoyatenda. Ukiwa mzazi kuna muda unatakiwa uwe kama kagoogle vile, kila kitu unajua, mtoto hawezi kukuchezea kwa namna hii.
 
Haiwezekani Mkuu. pH, volume, temperature ya shahawa na mazingira ya uke, pamoja na factors nyingine za ku-support utungwaji wa mimba hazikubali kwenye hii stori ya mtoto wako. Umedanganywa.
KWELI NIMEDANGANYWA.
 
Nakuheshimu sana Mtoa mada ila kichwa chako kizito hakieleweki chochote uyo dogo anakuona wewe sie anakuona ww fala Hivi pedi aliotumia mwenzako na ww unapewa io io unaenda kutumia eti pedi inauchfu na ww unaenda kutumia tena unaona kabisa kama pedi mpya wanawake wote wendekuwa na Mimba sawa mzee uyoo ana bwana kapewa alichotaka jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuheshimu sana Mtoa mada ila kichwa chako kizito hakieleweki chochote uyo dogo anakuona ww sie anakuona ww fala Hivi pedi aliotumia mwenzako na ww unapewa io io unaenda kutumia eti pedi inauchfu na ww unaenda kutumia tena unaona kabisa kama pedi mpya wanawake wote wendekuwa na Mimba saw mzee uyoo ana bwana keshamtomba kapewa alichotaka jiongeze

Sent using Jamii Forums mobile app
nimefukuza nyumbani. akamtafute huyo aliyempa hiyo pedi.
 
Back
Top Bottom