Mganga Bingwa wa Jadi wa Kimasai, Atimba London-UK, Kupitia Mizimu, Abaini Mauaji ya Kinyama Yaliyofanywa Kwa Mwanamke wa Kimaisai Kumpora Shanga!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,466
113,543
Wanabodi,

Utangulizi.
Kwanza sii kweli Jarida la Economist kila siku, linazungumzia mambo mabaya tuu kuhusu Tanzania, hii no moja ya ripoti ya jarida hilo, toleo la February 13, 2020,likizungumzia jambo zuri kuhusu Tanzania, jinsi Mganga Bingwa wa Jadi wa Kimasai, toka Masaini nchini , alivyotimba jijini London nchini Uingereza, kwenda kutambua hazina ya kiasirili za Kimasai, zilizoporwa Masaini na Wakoloni, na kuhifadhiwa katika makumbusho mbalimbali duniani za wakoloni wazungu.

Kisa Chenyewe Kilianza Hivi.
Miaka ya nyuma, kuna Mmasai mmoja kwa jina la Samwel Nangira, kutoka Tanzania, alikuwa nchini Uingereza kuhudhuria mkutano, kwenye Kikuu cha Oxford, katika mapumziko, akaamua kutembea tembea, ndipo akatembelea makumbusho ya Pitt Rivers, akashangaa kuona shanga za Kimasai za ukoo wao, ndipo akawauliza wahusika wa makumbusho hiyo, wamepata wapi shanga hizo?!. Akaambiwa zilikuwa collected na watu mbalimbali na kuletwa hapo, akauliza tena zimekuwa collected vipi?, akaambiwa zimeokotwa tuu msituni!, akashangaa, na kuuliza haiwezekani ukajikutia tuu shanga za kivile zimejikalia tuu msituni, mtu ukaziokota, kuna namna mbili tuu ya kuzipata shanga za aina hiyo, ama kwa mmiliki au mwenye nazo, kujitolea kama zawadi ku donate, ama kumefanyika robery na kuzipora.

Kwa vile maelezo ya shanga hizo hayakuonyesha zimepatikanaje, ndipo Samweli Nangira akawa na mashaka. Huyu Samuel Nangira mwana harakati wa haki za Wamasai, ni Mkurugenzia wa NGO ya Network of Civil Society Organizations za Ngorongoro, zinazojulikana kwa jina la Ngonet, aliwahi kusumbua sana na mwaka 2016 alitiwa ndani na polisi kule Loliondo, kina Onesmo Ole Ngurumwa, wakamtetea. Pia ndio huyu jamaa walipinga sana Wamasai kutimiliwa Loliondo na kupewa OBC.

Ndipo akarejea umasaini na kuanza kufanya mpango wa kumchukua mganga maarufu wa Kimasai, Laiboni Mzee Lemaron Ole Parit, mwenye uwezo mkubwa wa kutumia nguvu na mizimu, akiandamana na ujumbe mzito wa wazee 5 wa kimasai na wanawake wawili, wakatimba nao hadi London nchini Uingereza, katika ziara iliyowachukua wiki mbili.

Wakiwa nchini Uingereza, walikwenda moja kwa moja katika Chuo Kikuu cha Oxford, ndani ya makumbusho ya chuo hicho, ndipo akamuonyesha mganga huyo, hizo shanga za kimasai zikionyeshwa katika makumbusho hiyo, kwa kupitia njia za kiuganga wa jadi, mganga Lemaron ole Parit akaita mizimu kuangalia shanga hizo, na kupitia mizimu hiyo ndipo akabaini shanga hizo, zimeibiwa toka kwa mwananmke wa Kimasai kutoka Tanzania, aliyeuliwa kikatili enzi za ukoloni, na zimepatikana kwa kumpora mwanamke hiyo aliyekuwa amebeba kitoto kichanga mgongoni. Mizimu hiyo imeeleza ukatili mkubwa uliofanyika kwa mwanamke huyo hadi shanga hizo kupatikana!.

Hii ni simulation ya kilichotokea, ambayo ni maelezo yanayoelezwa na mzimu wa aliyeshuhudia tukio hilo
"Mwanamke huyo kwanza aliuwawa kikatili, kisha kuchinjwa shingo kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili, kisha hizo shanga ndipo zikavuliwa kutoka shingoni!, baada ya kumuua mama, kwa kihurumia kile kichanga kisiteseke, nacho wakakimalizia!."
NB. Simulation is mine!.

Japo wazungu hawaamini mizimu lakini jinsi mganga huyo alivyokuwa akiongea na mizimu, wazungu wenyewe walikubali. Kati ya vito vya asili vya Kimasai 188 vilivyoko katika makumbusho hiyo, mganga huyo amevitambua vitu 5, vilivyoporwa kutoka Tanzania, na baada ya utambuzi huo wa mizimu, Waingereza wakaguswa na kuamua kukubali kuvirejesha nchini Tanzania.
Story yenyewe ni hii

Restitution
Oxford University restores Maasai artefacts

Men with spears come to the dreaming spires
BritainFeb 13th 2020 edition
Wamasai-London.jpg

Hawa ni Mganga wa Jadi wa Kimasai, Laibon Mzee Lemaron Ole Parit, (Kati kati mwenye usinga) kushoto kwake ni Samwel Nangiria, Yannick Ndoinyo, na Juliana Naini Mashati, kulia kwa mganga ni Evelyn Paraboy Kanei, Amos Karino Leuka na Meipuki Ole Pumbun wakiwa In the oak-panelled Bookbinders Ale House, a group of Maasai tribespeople gathers the day before returning to Tanzania to sip cappuccinos and bitter and to chew over the results of a two-week visit to Oxford. Despite the vile February weather, they are satisfied with their trip, for they are closer to getting back sacred objects that are held by Oxford’s Pitt Rivers Museum.

84979868_2902871419733728_7491729497570410496_o.jpg

Hapo kwa nyuma yao ndio makumbusho hiyo ya Oxford University ikiwa na vitu kibao ambaovyo vimeporwa Africa na kungineko
download.jpeg

Mganga maarufu wa Kimasai, Laiboni Mzee Lemaron Ole Parit, mwenye uwezo mkubwa wa kutumia nguvu na mizimu akipiga ramli chunguzi kubaini asili ya vitu. Hii sio ramli chonganishi!.
.

Former colonial powers have tended to take a defensive attitude to requests from formerly subject peoples for the return of objects that may have been stolen. In Britain, France and elsewhere, laws prevent museums from letting stuff go.They are

But in 2017, Emmanuel Macron, the French president, said that he wanted to see the return of pilfered artefacts to Africa within five years. Since then, the movement for restitution has gathered steam. Universities are not constrained by the legislation that binds national collections, and several have started to return objects.

The Pitt Rivers, which holds the university’s archaeological and anthropological collections, is in the vanguard. It has returned 28 objects, all of them human remains. But Dan Hicks, curator of archaeology at the museum, believes that the movement needs to accelerate, for “museums are sites of colonial violence”.

Rather than deal with national governments, which can make for tricky politics, the Pitt Rivers is engaging directly with indigenous peoples. The Maasai visit came about after Samwel Nangira, a Maasai from Tanzania, visited the Pitt Rivers when he was at a conference. He questioned the labelling of some of the objects in the museum: “what does ‘collected’ mean? Like when you find something in a forest, so not donated, and not robbed?”

One of the problems with restitution claims is establishing provenance. The Maasai have come at the invitation of Laura van Broekhoven, director of the Pitt Rivers, and InsightShare, an ngo, to establish where and when the objects were taken. To that end, they have brought Lemaron ole Parit, a laibon—a spiritual leader with mystical powers. His family has been providing spiritual leadership for generations.

The most famous of his forebears is Mbatian, his great-great-grandfather, who is remembered for foretelling the British arrival. Nick Lunch, InsightShare’s organiser, is impressed that Mr ole Parit has been talking with his father, Mokompo ole Simel, who holds ultimate spiritual power in the tribe but stayed at home, “not just on WhatsApp, but also through his dreams.”

Sitting on the floor of Mrs van Broekhoven’s office, Mr ole Parit breathes into an enkidong vessel packed with stones and snuff tobacco. He then shakes out the stones, whose patterns reveal the artefacts’ history to him. “I’ve identified the circumstances under which objects were taken,” he explains. “The times when they were taken, and how many hands they went through.”

Out of the 188 artefacts Mr ole Parit viewed, he has identifiedonly five he thinks are culturally sensitive enough to warrant a return.

Artefacts matter to the Maasai, in part because they represent the continuation of a dead person’s life. Mr ole Parit says an isurutia—a necklace—was taken from a woman who was killed while she was carrying her baby. “If somebody dies, we treat the artefacts as equally as important as a dead body,” says Amos Leuka, a member of the delegation. If an object has been taken violently from somebody, their spirit cannot rest. The Maasai’s ancestors are therefore said to be joining the negotiations.

This article appeared in the Britain section of the print edition under the headline "Spears and spires"So is Oxford’s vice-chancellor, Louise Richardson: once the Pitt Rivers has approved a claim, it is sent to her. Her attitude to this unusual method of establishing provenance has not yet been divined. But Mrs van Broekhoven says that the way knowledge systems are judged needs to be liberated.

“Real decoloniality is to see each other’s knowledge systems as equal.” British colonial catalogues, she points out, are not models of accuracy. “All we have are labels with question-marks. It would be quite disingenuous to say, ‘Your knowledge system is inferior to ours’.” ■

My Take.
  1. Pamoja na kulilaumu jarida la The Economist kwa kuisakama Tanzania, lakini tukubali tukatae, Tanzania hatuna media zenye waandishi wa viwango hivi vya The Economist!.
  2. Hakuna media yoyote Tanzania imemuangazia huyu activist wa Kimasai Samwel Nangira, ambaye licha ya kuwa ni mtetezi wa haki za Wamasai, katika utetezi huo sasa unaleta national pride kwa Tanzania kurejeshewa maliasili zake, na siku zinarudishwa ndipo tutaona zinavyopokelewa kwa shangwe na kuhifadhidhiwa makumbusho ya Taifa huku tukielezwa ni kazi nzuri za utekelezaji sera ...
  3. Watanzania tunadharau waganga wa jadi na mambo ya mazimu, kiukweli baadhi ya waganga hawa ni wakweli, na powers zao ni pawers za mizimu ya ukweli, kabla ya hii story, ya The Economist, sijawahigi kumsikia mganga maarufu wa Kimasai, Laiboni Mzee Lemaron Ole Parit, mwenye uwezo mkubwa wa kutumia nguvu na mizimu.
  4. Kiukweli wakoloni wametufanya vibaya, walipokuja walisema mila zetu ni za kishenzi, miungu yetu ni ya kishenzi, lakini sasa ndio hawa hawa wanawachukua waganga wetu,kuwasafirisha hadi London, kwenda kutumia njia za asili kutambua asili za vitu walivyopora Afrika!. Sisi wewenyewe wenye watu hao, hatuwathamini,
  5. Hii story japo ni very significant kwa mambo yetu ya kale, utakuta imeanzia the Economist na kuishia the Economist, sisi media zetu ziko busy, kusifu na kutukuza mafanikio na nani ameunga mkono juhudi!, waandishi wachache wanaojitokeza individually kuandika vitu vikubwa kama hivi ndio hao, kama juhudi za kuwapoteza kama Ben Saanane na Azory Gwanda, zimegonga mwamba, then ni uhujumu na utakatishaji fedha!.
Paskali
Update ya mchango very objective

InsightShare organised a visit by Maasai partners to the UK to change the way their unique culture is represented in museums. • Maasai leaders visit UK to work with curatorial staff at Oxford University’s Pitt Rivers Museum. • Maasai leaders are excited to see how they can work with the Museum to take their concerns seriously and change the way the Maasai living culture is represented beyond the framework of the imperial past. •

Long-term, this project aims to change the narrative UK museums use to display Maasai artefacts and tell Maasai stories. • Maasai leaders will also use this trip to fight for the rights of Indigenous Peoples to protect their lands, resources, and unique culture. Samwel Nangiria, Maasai leader and Director of Oltoilo le Maa, said: “Seeing the way Maasai sacred objects were displayed in the Pitt Rivers Museum I felt shocked. We are a living culture, not a dead one, and we want to talk to the Museum about how they can change this. I believe that working together with the Pitt Rivers Museum and with our partners at InsightShare we can honour my community and present our real culture in the museum”.

Source:InsightShare
 
InsightShare organised a visit by Maasai partners to the UK to change the way their unique culture is represented in museums. • Maasai leaders visit UK to work with curatorial staff at Oxford University’s Pitt Rivers Museum. • Maasai leaders are excited to see how they can work with the Museum to take their concerns seriously and change the way the Maasai living culture is represented beyond the framework of the imperial past. •

Long-term, this project aims to change the narrative UK museums use to display Maasai artefacts and tell Maasai stories. • Maasai leaders will also use this trip to fight for the rights of Indigenous Peoples to protect their lands, resources, and unique culture. Samwel Nangiria, Maasai leader and Director of Oltoilo le Maa, said: “Seeing the way Maasai sacred objects were displayed in the Pitt Rivers Museum I felt shocked. We are a living culture, not a dead one, and we want to talk to the Museum about how they can change this. I believe that working together with the Pitt Rivers Museum and with our partners at InsightShare we can honour my community and present our real culture in the museum”.

Source:InsightShare
 
Wanabodi,
Utangulizi.
Kwanza sii kweli Jarida la Economist kila siku, linazungumzia mambo mabaya tuu kuhusu Tanzania, hii no moja ya ripoti ya jarida hilo, toleo la February 13, 2020,likizungumzia jambo zuri kuhusu Tanzania, jinsi Mganga Bingwa wa Jadi wa Kimasai, toka Masaini nchini , alivyotimba jijini London nchini Uingereza, kwenda kutambua hazina ya kiasirili za Kimasai, zilizoporwa Masaini na Wakoloni, na kuhifadhiwa katika makumbusho mbalimbali duniani za wakoloni wazungu.

Kisa Chenyewe Kilianza Hivi.
Miaka ya nyuma, kuna Mmasai mmoja kwa jina la Samwel Nangira, kutoka Tanzania, alikuwa nchini Uingereza kuhudhuria mkutano, kwenye Kikuu cha Oxford, katika mapumziko, akaamua kutembea tembea, ndipo akatembelea makumbusho ya Pitt Rivers, akashangaa kuona shanga za Kimasai za ukoo wao, ndipo akawauliza wahusika wa makumbusho hiyo, wamepata wapi shanga hizo?!. Akaambiwa zilikuwa collected na watu mbalimbali na kuletwa hapo, akauliza tena zimekuwa collected vipi?, akaambiwa zimeokotwa tuu msituni!, akashangaa, na kuuliza haiwezekani ukajikutia tuu shanga za kivile zimejikalia tuu msituni, mtu ukaziokota, kuna namna mbili tuu ya kuzipata shanga za aina hiyo, ama kwa mmiliki au mwenye nazo, kujitolea kama zawadi ku donate, ama kumefanyika robery na kuzipora. Kwa vile maelezo ya shanga hizo hayakuonyesha zimepatikanaje, ndipo Samweli Nangira akawa na mashaka. Huyu Samuel Nangira mwana harakati wa haki za Wamasai, ni Mkurugenzia wa NGO ya Network of Civil Society Organizations za Ngorongoro, zinazojulikana kwa jina la Ngonet, aliwahi kusumbua sana na mwaka 2016 alitiwa ndani na polisi kule Loliondo, kina Onesmo Ole Ngurumwa, wakamtetea. Pia ndio huyu jamaa walipinga sana Wamasai kutimiliwa Loliondo na kupewa OBC.

Ndipo akarejea umasaini na kuanza kufanya mpango wa kumchukua mganga maarufu wa Kimasai, Laiboni Mzee Lemaron Ole Parit, mwenye uwezo mkubwa wa kutumia nguvu na mizimu, akiandamana na ujumbe mzito wa wazee 5 wa kimasai na wanawake wawili, wakatimba nao hadi London nchini Uingereza, katika ziara iliyowachukua wiki mbili.

Wakiwa nchini Uingereza, walikwenda moja kwa moja katika Chuo Kikuu cha Oxford, ndani ya makumbusho ya chuo hicho, ndipo akamuonyesha mganga huyo, hizo shanga za kimasai zikionyeshwa katika makumbusho hiyo, kwa kupitia njia za kiuganga wa jadi, mganga Lemaron ole Parit akaita mizimu kuangalia shanga hizo, na kupitia mizimu hiyo ndipo akabaini shanga hizo, zimeibiwa toka kwa mwananmke wa Kimasai kutoka Tanzania, aliyeuliwa kikatili enzi za ukoloni, na zimepatikana kwa kumpora mwanamke hiyo aliyekuwa amebeba kitoto kichanga mgongoni. Mizimu hiyo imeeleza ukatili mkubwa uliofanyika kwa mwanamke huyo hadi shanga hizo kupatikana!.

Hii ni simulation ya kilichotokea, ambayo ni maelezo yanayoelezwa na mzimu wa aliyeshuhudia tukio hilo
"Mwanamke huyo kwanza aliuwawa kikatili, kisha kuchinjwa shingo kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili, kisha hizo shanga ndipo zikavuliwa kutoka shingoni!, baada ya kumuua mama, kwa kihurumia kile kichanga kisiteseke, nacho wakakimalizia!."
NB. Simulation is mine!.

Japo wazungu hawaamini mizimu lakini jinsi mganga huyo alivyokuwa akiongea na mizimu, wazungu wenyewe walikubali. Kati ya vito vya asili vya Kimasai 188 vilivyoko katika makumbusho hiyo, mganga huyo amevitambua vitu 5, vilivyoporwa kutoka Tanzania, na baada ya utambuzi huo wa mizimu, Waingereza wakaguswa na kuamua kukubali kuvirejesha nchini Tanzania.
Story yenyewe ni hii

Restitution
Oxford University restores Maasai artefacts

Men with spears come to the dreaming spires
BritainFeb 13th 2020 edition
View attachment 1361278
In the oak-panelled Bookbinders Ale House, a group of Maasai tribespeople gathers the day before returning to Tanzania to sip cappuccinos and bitter and to chew over the results of a two-week visit to Oxford. Despite the vile February weather, they are satisfied with their trip, for they are closer to getting back sacred objects that are held by Oxford’s Pitt Rivers Museum.
Hawa ni Mganga, Lemaron Ole Parit katikati mwenye usinga, wengine ni Samwel Nangiria, Amos Karino, Leuka Yannick ,Ndoinyo Juliana, Naini Mashati Evelyn Paraboy Kanei, na James Meipuki Ole ...
View attachment 1361282
Hapo kwa nyuma yao ndio makumbusho hiyo ya Oxford University ikiwa na vitu kibao ambaovyo vimeporwa Africa na kungineko
View attachment 1361283
Mganga maarufu wa Kimasai, Laiboni Mzee Lemaron Ole Parit, mwenye uwezo mkubwa wa kutumia nguvu na mizimu akipiga ramli chunguzi kubaini asili ya vitu. Hii sio ramli chonganishi!.

This article appeared in the Britain section of the print edition under the headline "Spears and spires"So is Oxford’s vice-chancellor, Louise Richardson: once the Pitt Rivers has approved a claim, it is sent to her. Her attitude to this unusual method of establishing provenance has not yet been divined. But Mrs van Broekhoven says that the way knowledge systems are judged needs to be liberated. “Real decoloniality is to see each other’s knowledge systems as equal.” British colonial catalogues, she points out, are not models of accuracy. “All we have are labels with question-marks. It would be quite disingenuous to say, ‘Your knowledge system is inferior to ours’.” ■

My Take.
  1. Pamoja na kulilaumu jarida la The Economist kwa kuisakama Tanzania, lakini tukubali tukatae, Tanzania hatuna media zenye waandishi wa viwango hivi vya The Economist!.
  2. Hakuna media yoyote Tanzania imemuangazia huyu activist wa Kimasai Samwel Nangira, ambaye licha ya kuwa ni mtetezi wa haki za Wamasai, katika utetezi huo sasa unaleta national pride kwa Tanzania kurejeshewa maliasili zake, na siku zinarudishwa ndipo tutaona zinavyopokelewa kwa shangwe na kuhifadhidhiwa makumbusho ya Taifa huku tukielezwa ni kazi nzuri za utekelezaji sera ...
  3. Watanzania tunadharau waganga wa jadi na mambo ya mazimu, kiukweli baadhi ya waganga hawa ni wakweli, na powers zao ni pawers za mizimu ya ukweli, kabla ya hii story, ya The Economist, sijawahigi kumsikia mganga maarufu wa Kimasai, Laiboni Mzee Lemaron Ole Parit, mwenye uwezo mkubwa wa kutumia nguvu na mizimu.
  4. Kiukweli wakoloni wametufanya vibaya, walipokuja walisema mila zetu ni za kishenzi, miungu yetu ni ya kishenzi, lakini sasa ndio hawa hawa wanawachukua waganga wetu,kuwasafirisha hadi London, kwenda kutumia njia za asili kutambua asili za vitu walivyopora Afrika!. Sisi wewenyewe wenye watu hao, hatuwathamini,
  5. Hii story japo ni very significant kwa mambo yetu ya kale, utakuta imeanzia the Economist na kuishia the Economist, sisi media zetu ziko busy, kusifu na kutukuza mafanikio na nani ameunga mkono juhudi!, waandishi wachache wanaojitokeza individually kuandika vitu vikubwa kama hivi ndio hao, kama juhudi za kuwapoteza kama Ben Saanane na Azory Gwanda, zimegonga mwamba, then ni uhujumu na utakatishaji fedha!.
Paskali
Update ya mchango very objective
Paskali yote mema lakini hili neno hujawahigi halipo kwenye kamusi yetu!
 
Afrika ni kwa Sababu hatukuwa na utaratibu nzuri wa kuhifadhi Historia yetu,ila nnaamini tulikuwa na mengi mazuri ya kuigwa.Hii Siri ya waafrika na wazungu ipo Siku itafichuka.
Ukisoma maandiko mengi utagundua africa civilization ilikuwepo mapema sana tofauti na sehemu nyingi za dunia
 
Mayalla.
Sasa itabidi mkubali tu, hao "The Economist" wakiandika jambo lolote kuhusu nchi yetu liwe baya au zuri msishangae, ndio utekelezaji wa majukumu yao, wanaangalia kile kilichopo juu ya meza yao kwa wakati husika, kumbe kule kujibaraguza kwako wakati ule unapinga zile makala za hao jamaa ulikuwa unajipendekeza tu kwa watawala, kwasababu shida yako ilikuwa unataka waandike zuri tu la Tanzania.

N.B. Hua unajinadi mkatoliki ila naona hapa unaamini mizimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom