Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati
Imetolewa: Mei, 2020
Mawasiliano: 0713538427
MOJA
MIADI!
Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo ni rai kwa mwili umsubiriao mwenza kwa hamu kuwa wasaa utawadia, huku matarajio ya mambo kuwa...