Nimeangalia mahojiano ya huyu jamaa Mossab Hassan Yousef sijaelewa kabisa.
Anasema bila ya kuuawa Kwa Ayatollah vita hapo Mashariki ya Kati haitaisha.
Baba yake huyu jamaa alikuwa ni mmojawapo wa wanzilishi wa kundi la Hamas.
Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize mdomo
Pia Israel inaendelea kutengeneza ushahidi wa kuonyesha anavyochokozwa na mataifa mengine na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM.
Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime wana changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa, hatimaye huduma imerejea.
Aidha, Mdau alidai kuwa Ofisi za Wakala wa Maji na usafi...
Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf.
Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu.
Je, kuna mtu maalum wa kuwasiliana naye kabla ya kufika ofisi za Jf?
Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi.
Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za siku 14 kwani Serikali hairuhusu hivyo akaniandikia siku7.
Wakati anaandika akadai kuwa itabidi...
Habari ndugu zangu wa JamiiForums,
Natumaini wote mko salama na wenye afya njema. Leo natimiza mwaka mmoja tangu nilipojiunga na hii jamii adhimu ya wasomi na wachambuzi wa mambo mbalimbali. Ni mwaka ambao nimejifunza mengi, nimeongeza maarifa na pia kufurahia mijadala ya hapa.
Katika safari...
Hizi akili za kudhani ni lazima awe na ajira Yanga hazifai kabisa.
Kila shabiki na Mwanachama akitaka kupata manufaa Yanga ni fikra za kinjaa njaa sana
Mashirika haya NSSF na PSSF wanadai michango kutoka kwa waajiri kwa nguvu ya sheria.
Tena michango hii ni kama kodi, usipolipa kwa wakati kampuni, tena wakurugenzi wa kampuni.
Hili limekaa upande mmoja maana wanachama wanapata shida mara nyingi kulipwa mafao yao.
Mara kikokotoo, mara subiri...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Kwanza nitoe pongezi kwa Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kuanzia kwa Mwenyekiti , watendaji wa chama pamoja na wanachama wote. Uimara wenu ndio unasababisha hadi leo hii CCM kinabaki kuwa chama tawala tangu tupate uhuru. Tumeishashuhudia vyama vingi kwa Afrika ambavyo...
Hoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.
CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima
Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa...
Itifaki imezingatiwa,
Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes,
Baada ya kukuta na camera ya simu inamuhitaji code, alishindwa kujifotoa na kunipa jina zuri kama hili...
Nimeona chama changu Cha mapinduzi na Seketarieti ya chama, kamati kuu na mawaziri wote wakiongozwa na waziri mkuu ,wanapita huku na huku kukusanya pesa za fomu ya urais 2025.
Ni kama Wana uoga Fulani kwa sababu muda wenyewe Bado sana!
Wameanza hata kumpigia kampeni mgombea mmoja kwamba...
Nimefurahi sana kuona huyu Mwanasheria na member wa chama chetu pendwa cha UWABATA akisimamia Ilani bila ya kuyumbishwa na Binti huyu.
Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).
DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo
Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.