Kama wewe ni mwanachama active wa JF angalau kwa miaka miwili na kuna mada ikawa inazungumzwa ambayo haitegemei taaluma fulani na ukashindwa kuchangia chochote angalau 50% basi wewe ni sawa na bure na hauna haja tena ya kuendelea kutumia JF maana umeshindwa kabisa kuchota maarifa ya humu.
Humu...
Akizungumza katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa leo Agosti 18, 2025 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu amelalamikia...
Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai.
Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende kwenye mada yangu iliyonifanya niandike uzi huu.
Suala hili huenda wengine wanalijua na wengine...
Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana
Copy and paste
CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa usajili wa Esther MatikoDuh! Kumbe Matiko yuko Bungeni kwa kinga ya Tulia Ackson na Mahakama kama...
Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Hili jamaa bwana linashangaza sana , unadai unataka kuongoza mbona unamuogopa Eng Hersi pale Yanga wakati ni mwanachama wa Yanga tena mkongwe kuliko Hersi?
Au kWa sababu TFF hakuna makelele na vitisho kule Yanga, we huoni Yanga inavyobagazwa na umekaa kimya tu, watu wananufaika na mradi wa...
Wengi ni wakereketwa wa CHADEMA, chama makini, lakini pia wengi wanamkubali Freeman Mbowe kama mwanasiasa mahiri.
Kama Mbowe atakwenda CHAUMMA wengi wetu itatubidi tuwe wanachama wa CHAUDEMA ili tufaidi vyote.
Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya.
Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya Rais na viongozi wengine wa serikali na CCM.
Nilivutiwa sana na kauli mbili ambazo zilionyesha...
"Hili tukio la mdude na kitima ndio la mwisho, hatuendi kuzungumza tena, 'take it from me' hatuwezi kukaa hapa kwa hofu tunaogopa watu, hili taifa ni letu, kwanini hatulindwi? Hao watekaji ni kina nani ambao wanateka kila mtu? subirini vitendo 'it will never happen again'.
Sisi tunachosema leo...
Ilikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe hata kabla haijawa mwanachama wa EAC! Na ilipopata uachama, kadhia iliyokuwepo ya ukosefu wa amani iliendelea kuwepo, huku Rwanda ikituhumiwa kuhusika pakubwa kuyumbisha amani kwa ndugu yake, Congo DRC!
Ninajaribu kuwaza!
1. Congo ilitarajia kupata nini...
Sala kwa WanaJF – Kwa Mafanikio, Nguvu na Ukombozi
Ee Mungu mwenye nguvu, mwenye huruma na anayejibu maombi, tunakuletea wana wa JamiiForums wote – kila mmoja wao aliye na kiu ya mafanikio, maarifa, amani, na mabadiliko katika maisha yao.
Baba, tunakuomba uwafungulie njia mpya – open doors of...
Tumefichwa kwa muda mrefu leo ukweli umejulikana.
https://progressive-alliance.info/guiding-principles/
Who We Are:
The progressive, democratic, social-democratic, socialist and labour movement is based on a common commitment to human rights and the joint pursuit of freedom, justice, social...
CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki
Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la
Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama
Nimepata pia...
Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi...
Uovu hata ulindwe namna gani, hauwezi kudumu.
Utawala wa makaburu ulikuwa na kila kitu, kuanzia silaha, tekinolojia, vituo vya tafiti za kisayansi mpaka utajiri wa pesa. Makaburu walifanya tafiti mpaka kuja na dawa ambazo watu weusi waliofika kwenye hospitali za Serikali walipewa ili wasiweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.