Nashauri Uitishwe Mdahalo kati ya Lissu na Kinana. Mimi nitajiandikisha kuwa mwanachama kwa ambaye atashinda

Hoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.

CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
Shida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea urais
 
Kule CCM hakuna anayeweza kuendesha mdahalo wa kisiasa na usio wa kisiasa ambao Lissu ndiye mshiriki wa mdahalo huo

Maswali yanayohusu muungano, hata akiwepo Kinana naye atakubaliana tu na Lissu kwamba, Watanganyika tulidanganyika na tunapigwa, hili sina shaka nalo, kinana atakubaliana na hoja zote za lisu kuhusu ubovu wa muungano, hata akiwa Rais Mwinyi wa Zanzibar, atakubaliana na hoja za Lisu kwamba, Tanganyika imepigwa na kitu kizito kwa mambo ya muungano
 
Shida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea urais
Inaonesha uelewa wako ni mdogo sana, huelewi chochote.

Mlio wengi mmejaa unafika na uwongo, ndiyo maana mkikutana na mtu mkweli, mnasema anatukana.

Lisu ni miongoni mwa watanzania wachache walionyoka. Kama umeiba atakuambia kuwa wewe ni mwizi kwa sababu umeiba, hatapindisha na kutumia zile lugha za wanafiki, eti mahesabu yamekaa vibaya au eti pesa ilichukuliwa nje ya utaratibu.

Back to the topic, Kinana yupo vizuri lakini kwenye mdahalo na Lisu ataangukia pua kwa sababu atakuwa anatetea kilicho ovyo, na Lisu atakuwa anatetea ukweli.
 
Hoja kwenye mdahalo ziwe
1. Muungano
2. Katiba Mpya
3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake.

CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
Lissu ni moto wa kukaa nao mbali, hakuna atakaye muweza katika hizo nyanja za muungano, katiba au sheria sheria, labda hoza za kiuchumi per se.
 
Shida ya Lissu hoja zake zitajaa ugomvi bora ungeniambia Dr Silaa au Mbowe au Zitto. Siyo Lissu debe tupu. na wasimpe kugombea urais
Kwa taarifa yako Lisu ana ushawishi wa hali ya juu kuliko hao wote. Ule mchakamchaka alimpeleka dhalimu magu uchaguzi wa 2020 Hadi ikabidi apore uchaguzi.
 
Kwa taarifa yako Lisu ana ushawishi wa hali ya juu kuliko hao wote. Ule mchakamchaka alimpeleka dhalimu magu uchaguzi wa 2020 Hadi ikabidi apore uchaguzi.
Huyo Lissu wenu ni mweupe sana,tutampa Kafulila anamtosha
 
Kwahiyo huko ccm asili hamna mwenye ubavu, hadi mtegemee ccm academia waliofuata mlo toka upinzani?
Wewe umesema mwanaccm,nimekutajia,tena unakuja na hoja ingine,haya hata mimi naweza kujibu hoja zake kwani yeye ni nani?
 
Back
Top Bottom