Somalia imekuwa mwanachama Rasmi wa Jumuaiya ya Afrika Mashariki

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
1709554201402.png

DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo

Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya Kuidhinishwa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ikiwa ni utekelezaji wa Mkaubaliano yaliyoafikiwa Novemba 2023 na Wakuu wa nchi nyingine za EAC

Somalia inakuwa mwanachama wa nane wa EAC baada ya Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kenya, Sudan Kusini, Tanzania, Rwanda na Uganda.

==============

Somalia has become a full member of the East African Community (EAC) after completing all the steps required to gain complete membership of the regional bloc.

The EAC secretariat on Monday shared on X, formerly Twitter, that Somalia had gained full membership "after depositing her Instrument of Ratification with the Secretary General" of the bloc.

The instrument of ratification is a formal document issued by a country, in which it agrees to be bound by a treaty.

Last November, the heads of state of the other EAC member states agreed to admit Somalia into the bloc.

Somalia becomes the eighth member of the EAC after Burundi, the Democratic Republic of Congo, Kenya, South Sudan, Tanzania, Rwanda and Uganda.

The move is intended to boost economic growth in the country, which is still recovering from three decades of war.
 
Tusiigeuze Jumuiya yetu kuwa kificho cha vita za wenyewe kwa wenyewe. Tunaona namna ambavyo nchi wanachama DRC na Rwanda zinavyotaka kuingiza mataifa wanachama vitani.

Sharti kuu liwe ni amani na maridhiano ya kila taifa mwanachama. Tusiharakie kuungana wakati hatuna umoja, mshikamano na utawala bora kwenye nchi zetu
 
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sasa wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa Afrika Mashariki idadi yao inakuwa inchi 8. Jumuiya inazidi kukua.

Kama tungekuwa na hela mona ya Afrika Mashariki ingekuwa poa sana.

Je maoni yako ni nini juu ya kukuwa kwa Jumuiya yetu?
超级截屏_20240304_183102.png
 
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sasa wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa Afrika Mashariki idadi yao inakuwa inchi 8. Jumuiya inazidi kukua.
Kama tungekuwa na hela moja ya Afrika Mashariki ingekuwa poa sana.

Je nini maoni yako juu ya kukuwa kwa Jumuiya yetu ?!
 

Attachments

  • 超级截屏_20240304_183102.png
    超级截屏_20240304_183102.png
    1,009.1 KB · Views: 4
  • 超级截屏_20240304_183045.png
    超级截屏_20240304_183045.png
    837.3 KB · Views: 2
Hii jumuiya haina maana yoyote ni siasa tu na kupotezeana muda. Imekuwa ni jumuiya ya watawala huku wananchi wakibaki watazamaji.

Kiukweli jumuiya ya ukweli ni ile ya Ulaya ambayo wananchi wa mataifa wanachama wako huru kutembelea nchi yoyote bila viza na kufanya kazi katika nchi yoyote mwanachama bila vikwazo vyovyote.

Lakini hii jumuiya ya kiswahili mara mataifa wanachama eti wanataka kupigana vita hata raia wa nchi moja kufanya kazi katika nchi nyingine ni shida, mara wawekeane vikwazo vya biashara. Jumuiya gani hii feki kabisa.
 
moyo kichaka ndugu waje vijana wetu wachanganye mbegu japo nasi wazee tutakua mstari wa mbele kama shamba darasa
Na kwa IQ za wabongo; 100 years hatutatofautiana na red Indians kule US au Aborigines kule Australia. Endelea kushabikia kuchanganya damu to fulfill your sexual desires without looking forward many years to come.
 
Back
Top Bottom