mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

    Usiku wa kuamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake. Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtume wenu Mwamposa hupenda kufanya Makongamano yake Tanganyika Packers hasa tarehe hizi?

    Hasa hasa kila tarehe za mwisho wa Mwezi kuanzia 25 hadi tarehe za 7 na 9 za Mwezi mpya. Natamani mno kuuona akiandaa Makongamo yake tarehe za kuanzia 11 hadi 22 za kila Mwezi. Nimemtaja hapo Mtume wenu kwakuwa Mimi siyo Mtume wangu na nikiwasoma Watume wakweli katika Biblia na Historia...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Muumini Mgonjwa wa Mtume Mwamposa afia katika Kibanda cha Mkaa Kawe Ukwamani

    Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali mlazimisheni Mtume Mwamposa ajenge Hosteli na Wodi kwani Waumini wake Wanakufa mno Mitaani

    Hivi GENTAMYCINE naandika huu Uzi napambana na Wakazi wa Mtaa kuutoa Mwili wa Mmoja wa Waumini wa Mtume Mwamposa aliyekuwa Mgonjwa, katotoka Ndugu zake huko Mkoani na kaja Kujiuguza ( kwa Kuishi ) katika Kibanda cha Mkaa Mtaa wa Ukwamani Kawe mita chache tu kutoka ulipo Msikiti maarufu wa kwa...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mwamposa apelekewa sadaka na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hapo vip! Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, jana ameshiriki ibada kwa Mtume Mwamposa. Nimemsikia akisema Rais amempa sadaka ampelekea Mwamposa, akamkabidhi bahasha mtumishi wa Mungu, akaongea ongea hapo vitu ambavyo havieleweki. Mwamposa nakushauri hiyo pesa itakase nahisi itakuwa ni mgawo...
  7. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

    Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa. Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji. Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi. Nadhani ile...
  8. Fungarakwaki

    JamiiForums Tanzania MWAMPOSA: Kama huna Passport wewe ni mtu usiyejielewa

    Bwana asifiwe, Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
  9. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

    Habari muda huu Wana JF, Kuna kisa nilileta hapa kuwa mtoto wa Jirani yangu amezoea kuniita baba. Jana majira ya saa 5 asubuhi, ilibidi niwaage Jirani zangu baadhi ambao tumeishi vizuri muda wote niliokuwepo hapa, sehemu niliokuwa naishi Ina nyumba 3 Ila ziko kwenye fensi moja Jirani yangu...
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Kawe ni mbaya, Serikali ichukue hatua dhidi ya Mwamposa na waumini wake

    Nawasalimu wote kwa jina la Upendo. Amani, baraka na neema za Mwenyezi Mungu ziwe pamoja nanyi. Kwa wakristu, hongereni kwa kuingia nusu ya pili ya mfungo wenu. Pia, nawatakia ndugu zangu waislam mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, mwenyezi Mungu awakirimie Neema na azipokee sala na...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati ukisheherekea Miaka yako Miwili hiki ndicho anachokisema Mwamposa Kanisani Kwake sasa...

    "Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo. Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwamposa huyu mtoa shuhuda wako anayejifanya ni Mkongo amekosea Script ya uongo na maelekezo yako ya Kitapeli?

    Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani. Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwamposa, haya makundi ya Kuwaombea yakiisha utayaombea Makundi gani mengine ili upige pesa zao kiulaini?

    Tayari Umeshayaombea Makundi yafuatayo: 1. Wanawake na Uzao Wao 2. Wanaume Wapuuzi Wasiodindisha Mikuyenge / Mikurudungu yao 3. Wafanyakazi na Wafanyabiashara 4. Watoto 5. Wanafunzi 6. Wenye kuhitaji Mimba za Ndoa na Uzinifu 7. Wanandoa na wenye kuhitaji Waume na Mabwana Leo nasikia uko na...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ukikutana na Wanaotoka Tamasha la Mwakasege na Mwamposa Kawe unaiona tofauti hii Kubwa?

    WANAOTOKA TAMASHA LA MWAKASEGE 1. Werevu Kimazungumzo 2. Wana Afya ya Kimwonekano 3. Hawana Uchovu Kimwili 4. Hawaonekani kama Wamechanganyikiwa 5. Wengi wao ni Intellectuals 6. Wameshiba Neno na siyo Mapepo na Miujiza 7. Siyo Omba Omba ( hasa wa Chakula au Nauli ) Ibada ikimalizika. WANAOTOKA...
  15. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

    Wakuu, Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga. Lakini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mtume Wenu Mwamposa afanya 'Promotion' ya Hotel yake ya Mkoani Mbeya katikati ya Ibada Tanganyika Packers Kawe leo

    "Nitakuwa ni Mjinga kama nikipumzika Kazi hii ya Kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuwa Masikini hivyo kama unaenda Mkoani Mbeya karibu katika Hotel yangu kwani haina Gharama" amesema Mtume wenu Mwamposa. *Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi...
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa huyu Muumini wako wa leo hukumpanga vizuri hadi Akakuaibisha kwa Uongo hadi Wewe ukashtuka?

    Muumini wako Mmoja wa Kike aliyepanda Kutoa Ushuhuda wake kati ya Saa 5 na Robo hadi Saa 5 na dakika 20 leo Kachemsha na Kututhibitishia kuwa ni kweli hawa Watu wa Shuhuda huwa Unawapanga na Kuwaandaa. Mwamposa huyo Dada mbele yako akiwa anashuhudia alikuambia kuwa alikuwa na Ndugu yake Mgonjwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Fuateni Mafundisho ya Neno la Mungu na siyo Maombezi ya Miujiza ya Uwongo na Kweli

    Naona taratibu sasa Mwamposa anataka Kupunguza Waumini wake ili akajikite sasa Kusimamia Miradi yake mingi na Biashara zake nyingi zenye Utajiri mkubwa kuliko Umasikini Uliokomaa wa Waumini wake wanaomuona Mungu Mtu hapa Dar es Salaam na Tanzania. Kwasababu kama ni Maombezi hayo ya Uwongo na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Mimi siyo Freemasons na sijui kwanini naandamwa na kusingiziwa vingi

    "Juzi nilikuwa Bungeni na tulikuwa Watumishi wengi tu ila nashangaa Picha zangu tu ndizo zinasambazwa kwa Mabaya. Nikibadilisha Viatu hapa Madhabahuni, nikijifuta Jasho na Kitambaa na Nikivaa Cheni naambiwa Mimi ni Freemasons kwanini?" Amehoji Mtume Wenu Mwamposa. Chanzo: Tv Channel yake muda...
Back
Top Bottom