Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni...
"Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao wanawaelekeza waumini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada, ili wakaombewe wapate mali, ikiwemo...
Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole
Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au...
Kuna mdau yeyote mwenye taarifa na eneo hili pale kawe(263 acres) na nini mustakabali wake?
Inaonekana wanasiasa na viongozi wa dini wamejimilikisha.
Nini hatma ya mashine zilizokuwemo? Zilienda wapi?
Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua.
Suguye anakusanya kucha na nywele za...
Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani nasikia hata sehemu ya Waumini wako walikuwa wanaanza Kukukimbia na kwenda Kwake Buza.
Habari.
Mtume mwamposa naomba amtazame kwa upya yule dada anayetafrsi lugha.
Ana kiingereza cha ovyo sana.
Ameanza nae muda mrefu sana ila haonyeshi kuboresha lugha yake.
Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
Mambo ya kiroho yanahitaji high commitment wewe na higher power yako.
Mwamposa anatoa dhabihu. Ukiwa mtu wa kujituma, smart na unatoa dhabihu katika mamlaka za juu basi utafanikisha mambo mengi.
Dhabiu ni kiwango cha juu cha sadaka na zaka. Hauwezi kuwa unatoa elfu moja msikitini na kanisani...
Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.
Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.
Mind...
Mwamposa akishindwa kuwaponya basi tumwone tapeli kama matapeli wengine.
Gwajima apelekwe makaburi ya Kinondoni akishindwa kufufua wafu aporwe hadi ubunge maana atakuwa tapeli.
Tusiandikie mate wakati wino upo, tuna hospitali na makaburi lukuki wakafanye uponyaji na ufufuo huko waache kucheza...
Pole na majukumu ya kikazi mkuu wetu wa mkoa na hongera kwa kuendelea kuipigania Arusha. Ninaiomba tumia ushawishi wako baada ya mimi kuhushudia mkesha mkubwa ulofana sana kule Dar ninaomba mkesha ule uje na hapa kwetu Arusha kwani mkoa huu unahitaji sana upako wa namna ile.
Kuna roho...
Wanabodi,
Hebu shuhudia
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
1. Nyomi!.
Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!.
Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
Leo Kawe watu wanamwagika, nimeambiwa wamekuja kwenye maombezi ya Mwamposa na kukanyaga mafuta na watu leo watapona na kesi zote kwenye maisha yao zitakwisha.
Kilichonishangaza ni kipengele cha jinsia ya wahudhuriaji, karibu wote ni wanawake. Yaani kwa takwimu uchwara katika kila watu 20 labda...
Mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise & Shine Kawe Jijini Dar es salaam ameiomba Serikali kuufungia mtandao wowote unaohamasisha Ushoga nchini.
Aidha, Mtumishi Mwamposa bila kutaja jina la Mtandao husika akiwa katika madhabahu ya Mungu wakati wa ibada ya Jumapili ameonya...
Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa...
Hii niko serious, mwota ndoto hafi mpaka itimie.
Viongozi wa simba pelekeni wachezaji wenu wakaombewe.
Chukueni serious maneno ya Benchika, hawa wamechukuliwa ufahamu wagumu kuelewa.
Ukiona mtu kama benchika kasema haya alipigwa kitu kizito kama cha diamond kwa sara.
Msidharau nimewapa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Paul Christian Makonda amekutana na kuzungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii Boniface Mwamposa ofisini kwake Jijini Arusha.
Nabii Mwamposa aliyeambatana na viongozi wengine wa Kanisa lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.