Mwamposa huyu mtoa shuhuda wako anayejifanya ni Mkongo amekosea Script ya uongo na maelekezo yako ya Kitapeli?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,709
109,142
Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani.

Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu nikuambie Mkongo hata akae Tanzania miaka 50 bado tu ile Lafudhi yake ya Kibandeko Nangai ( Kikongo ) itaendelea tu kubakia Ulimini mwake.

Mfano hai ninao Mwamposa mtafute Mwanamuziki Nyoshi El Sadaat au Papi Kocha au Dada Pauline Zongo au Mzee Zahoro kaa nao japo wameishi, wameoa na wamezaa hapa Tanzania kwa miaka mingi ila ile Lafudhi yao ya Kikongo ipo vile vile tu.

Hivi unapata Ujasiri gani Kuwahadaa Watu ( hasa Waumini wako ) hapo Kanisani Kwako?

Haya tena Mwamposa kuna Kijana Mmoja ameshuhudia hapo kasema kuwa alikuwa amefungwa Jela na katoka baada ya Kutumia Maji na Mafuta unayoyaombea na Kuwauzia kwa Tsh 1000 kwa Chupa wakati Wewe Kiwandani unayanunua kwa Tsh 400 tu.

Mwamposa najua utanichukia na unanichukia kweli kweli GENTAMYCINE Mimi ila kwa Kujiridhisha zaidi kutokana na Mtandao wangu mkubwa nilionao wa Watendaji Waandamizi mbalimbali nchini ni kwamba si kweli kuwa huyo Kijana alitoka Jela kwa msaada wa Maji na Mafuta yako ya Uwongo na Kweli bali kumbe Wiki Mbili kabla Yeye kwenda Mahakamani na hata kuanza kukujua na kutumia Vitu vyako unavyowauzia alishajulishwa na Watu wa Gerezani alikokuwa kuwa anaenda Kuachiwa

Kwanini unapenda Uwongo Uwongo Wewe Baba tena ukijifanya unalitumia na unalitaja sana Jina la Yesu Kristo na Mwenyezi Mungu? Unapata faida gani?

Halafu wenye Akili Kubwa kukuzidi na tunaojua mambo tukikuambia kuwa hawa Watoa Ushuhuda wako hapo Kanisani huwa Unawapanga na Kuwafundisha cha Kusema ili Wawavutie Mamburula wengine unakataa, unakasirika na mpaka Wengine unatufungia Kula na Kunywa ili Mabaya yatupate ila ndiyo Kwanza tu mazuri na mema ya Mwenyezi Mungu ( Mungu wa Kweli ) yanatutokea tu.

Haya niambie GENTAMYCINE umejisikiaje huyo Dada aliyejitambulisha kuwa ni Mkongo kuanza Kutuigizia kuongea kwa Lafudhi Feki ya Kikongo na baadae akakukumbuka kuwa Yeye ni Mtanzania tena Mswahili tu wa Tandale na Temeke na kuanza Kuongea kwa Kiswahili chake Sanifu kabisa alichokibobea?

Hebu mwogope Mungu basi Okay?
 
Huyu tapeli Mwamposa anaona watu mambwiga sana.
 
Ukiwa mjanjajanja unavuta tu mambumbumbu unapata sadaka unaish fresh, GENTAMYCINE mwaka huu mwamposa atakulogea mbali
Hujakosea kuna Demu Mmoja ( upande wa Media yake ) huwa nikikosa Mademu wa Kukaza huangukia Kwake na huwa najifanya kumsimulia Threads za hapa JamiiForums zinazomsema Mwamposa ( Boss wake ) bila ya kujua anayemkaza ndiyo GENTAMYCINE Mwenyewe na huniambia Jamaa ( Mwamposa ) anamchukia ( ananichukia ) mno na huwa Nacheka sana Kimoyomoyo.
 
Hujakosea kuna Demu Mmoja ( upande wa Media yake ) huwa nikikosa Mademu wa Kukaza huangukia Kwake na huwa najifanya kumsimulia Threads za hapa JamiiForums zinazomsema Mwamposa ( Boss wake ) bila ya kujua anayemkaza ndiyo GENTAMYCINE Mwenyewe na huniambia Jamaa ( Mwamposa ) anamchukia ( anamichukia ) mno na huwa Nacheka sana Kimoyomoyo.
Daaah 😂
 
GENTAMYCINE nimeapa kula nae Sahani Moja mpaka aache Kuwahadaa ( Kuwadanganya ) Watu wa Mungu huku wakiwa Masikini na Yeye Akitajirika kupitia Umburula / Ujinga wao wa Kujitakia.
Kwa hili nakuunga mkono kwa 100%, huyu tapeli wa kuogopwa. Hivi mamlaka kwa nini zinamuacha tu? Au ndo mfumo unataidika na ujinga wa watu.
 
Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani.

Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu nikuambie Mkongo hata akae Tanzania miaka 50 bado tu ile Lafudhi yake ya Kibandeko Nangai ( Kikongo ) itaendelea tu kubakia Ulimini mwake.

Mfano hai ninao Mwamposa mtafute Mwanamuziki Nyoshi El Sadaat au Papi Kocha au Dada Pauline Zongo au Mzee Zahoro kaa nao japo wameishi, wameoa na wamezaa hapa Tanzania kwa miaka mingi ila ile Lafudhi yao ya Kikongo ipo vile vile tu.

Hivi unapata Ujasiri gani Kuwahadaa Watu ( hasa Waumini wako ) hapo Kanisani Kwako?

Haya tena Mwamposa kuna Kijana Mmoja ameshuhudia hapo kasema kuwa alikuwa amefungwa Jela na katoka baada ya Kutumia Maji na Mafuta unayoyaombea na Kuwauzia kwa Tsh 1000 kwa Chupa wakati Wewe Kiwandani unayanunua kwa Tsh 400 tu.

Mwamposa najua utanichukia na unanichukia kweli kweli GENTAMYCINE Mimi ila kwa Kujiridhisha zaidi kutokana na Mtandao wangu mkubwa nilionao wa Watendaji Waandamizi mbalimbali nchini ni kwamba si kweli kuwa huyo Kijana alitoka Jela kwa msaada wa Maji na Mafuta yako ya Uwongo na Kweli bali kumbe Wiki Mbili kabla Yeye kwenda Mahakamani na hata kuanza kukujua na kutumia Vitu vyako unavyowauzia alishajulishwa na Watu wa Gerezani alikokuwa kuwa anaenda Kuachiwa

Kwanini unapenda Uwongo Uwongo Wewe Baba tena ukijifanya unalitumia na unalitaja sana Jina la Yesu Kristo na Mwenyezi Mungu? Unapata faida gani?

Halafu wenye Akili Kubwa kukuzidi na tunaojua mambo tukikuambia kuwa hawa Watoa Ushuhuda wako hapo Kanisani huwa Unawapanga na Kuwafundisha cha Kusema ili Wawavutie Mamburula wengine unakataa, unakasirika na mpaka Wengine unatufungia Kula na Kunywa ili Mabaya yatupate ila ndiyo Kwanza tu mazuri na mema ya Mwenyezi Mungu ( Mungu wa Kweli ) yanatutokea tu.

Haya niambie GENTAMYCINE umejisikiaje huyo Dada aliyejitambulisha kuwa ni Mkongo kuanza Kutuigizia kuongea kwa Lafudhi Feki ya Kikongo na baadae akakukumbuka kuwa Yeye ni Mtanzania tena Mswahili tu wa Tandale na Temeke na kuanza Kuongea kwa Kiswahili chake Sanifu kabisa alichokibobea?

Hebu mwogope Mungu basi Okay?
Wewe uko very bias aisee, hadi kero. Kwanini una chuki sana? Ukiharibu kitumbua cha mwenzako wafaidika na nini?
 
Back
Top Bottom