mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa jitahidi uwe unamaliza ibada zako saa 12 kamili, unawatesa waumini wako na usafiri mgumu wa kurejea makwao

    Ninavyoandika hivi kuna Waumini wako (Mabinti na Wamama) wanarandaranda tu Kawe Stendi, Maringo na Ukwamani wakikosa Usafiri hivyo Fisi tuliopo Leo tumepata Nyama za Bure za Kula kwani tutawahifadhi Makwetu na Maghettoni na Kesho watakupa Ushuhuda wa Kubeba Mimba kwani Wengine tuna Mbegu Kali...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

    Apostle kuna miujiza huku, nini kimetokea mkaka alikua hatembei miaka 30 baada ya maombi ameanza kutembea, halleluyaaaaaaaaa, nani mtenda miujiza yeeeeeesu. Nilikua nikisikia hivyo nabadilisha channel nilijua ni uongo tu. Juzijuzi hapa kuna issue ilitokea ikanifanya nianze kumfatilia mwamposa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Biashara nje ya uwanja wa Mwamposa ina baraka ya serikali?

    Wakuu mpo njema? Swali langu ni kuhusu wafanyabiashara ambao wameweka kambi kwenye kituo cha daladala pale Kawe karibu na anapofanyia mikutano Mwamposa. Sasa hivi sehemu ile imejaa wafanya biashara wadogo (machinga) na mama ntilie wa kutosha. Mazingira ya hapo kweli hayaridhishi, ukiangalia...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mwamposa, Picha uliyopiga miaka Mitano iliyopita na William Ruto ndiyo unaposti leo hii baada ya Kuona ametangazwa mshindi?

    Yaani Picha uliyopiga miaka Mitano iliyopita na Rais Mteule wa Kenya William Ruto ndiyo leo hii baada ya Kuona ametangazwa mshindi ndiyo unaiposti Mitandaoni huku Ukidanganya kuwa ulienda Kumuombea la kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya na kwamba ulimuahidi kuwa angeshinda? Sasa kama ulikuwa una...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtumishi Boniface Mwamposa asema "Shetani alikuwa Mwandishi wa habari"

    Mtumishi Boniface Mwamposa amesema shetani alikuwa Mwandishi wa habari, wanaoandika habari mbaya wapo upande wa shetani, ameyasema hayo Agosti 15, wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT). Mwamposa amezungumza hayo na kuwaomba waandishi wa habari kuwa waandike habari...
  6. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

    Hili nimeshuhudia kwa macho ya nyama mubashara kabisa, ni waislam wengi sana huenda kwa Mwamposa kufata miujiza, wengi wao ni wale biashara haziendi, wengine wakidhani wamerogwa, wengine vichaa, wengine wanatafuta wanaume wa kuwaoa na hili kundi la kuolewa ndio wengi zaidi ya wagonjwa. Waarabu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kudata kwao ndiyo utawakuta wamejazana tele katika Makanisa ya Mwamposa na Mwacha

    VIKOBA, Utitiri wa madeni vimeelezwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa afya ya akili nchini, huku wanawake wakitajwa kuwa wahanga wakubwa. Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022...
  8. Denton_GrootBoom

    JamiiForums Tanzania Wanaamini Mwamposa anaweza kuniombea nikapata kusikia tena

    Deleted
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu.. Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki.. "Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu" Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mwamposa, Lusekelo na Mitume wengine: Tenda ya kuyaondoa mapepo yanayorusha mawe Arusha!

    Mapepo kijiji fulani huko Arusha yamechachamaa. Yameanza kurusha mawe kama vijana wa kipalestina dhidi ya Waisraeli. Kwa vile mapepo hayo hayaonekani, wananchi wameamua kuvaa ndoo kichwani ili kujihami na hayo maw. Hapa ndo tuwaone kina Mwamposa, Lusekelo na Manabii wengine. Tenda hiyo...
  11. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

    Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

    Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela. Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye...
  13. mkumbwa junior

    JamiiForums Tanzania Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

    Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307] Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani...
  14. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Wakuu habari! Nilikuwa sehemu fulani jirani yetu kuna watu wengi wamekusanyika wanamuangalia Mchungaji Mwamposa kwenye TV. Mara nasikia kuna mdada anatoa ushuhuda kuwa ameponywa V.V.U Kabisa. Hili suala la Mwamposa kuponya V.V.U kwangu naona ni uongo wa mchana kweupe. Au ni kweli?? Kwamba...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

    Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha. Kweli yesu ni jibu. USSR
  16. M

    JamiiForums Tanzania Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

    Kama ni kweli KEROZENE nitaumia na Kusikitika mno kwani kama kuna mahala ambapo huwa napata Wanawake wepesi na kula nao Uroda kiurahisi na situmii Gharama yoyote ile ni wa hapo Kwake Mtume Mwamposa Tanganyika Packers Kawe. Tafadhali Serikali kama Minong'ono hii ni ya Kweli naomba msitishe...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa, tafadhali fuata Ushauri uliopewa na Madaktari huku Kupenda Kwako Sadaka kunaweza Kukulaza mazima

    Tokea Jumatano ya Wiki iliyopita kulianza Kuenea Taarifa Kanisani Kwako kuwa hali yako ya Kiafya si nzuri. Kama kawaida yangu Mightier nikaona ngoja Kwanza niendelee Kuniridhisha na hizi Taarifa. Siku ya Jumamosi nilibahatika kumpata Mmoja wa Kondoo wako tena ni Mhudumu nikamtega na akafunguka...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mwamposa

    Nipo kwa sebule naangalia TV, siamini ninachokiona mchumba wangu anaombewa na mwamposa apate mchumba, sielewi jamani au Mimi simfai, yaani nimechoka hadi akili, sijui nikamuulize kwanini kaenda kuombewa wakati mimi ameshanipata, sielewi FROM FACEBOOK 😁
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

    " Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

    Je,... 1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba? 2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo? 3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi...
Back
Top Bottom