mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

    Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho. Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana...
  2. Championship

    JamiiForums Tanzania Nabii na Mtume Mwamposa karibu hapa Zanzibar uujaze uwanja wa amani

    Nitakuwepo hapa Zanzibar kwa majukumu unguja na pemba kwa wiki kadhaa. Nimegundua wengi wa wakazi wa hapa walienda uwanja wa Mkapa Dar es salaam kwa ajili ya ibada ya vuka na chako. Ni dhahiri watu wengi hapa wanaihitaji sana huduma yako hivyo fanya hima uweze kuja na kuujaza uwanja wa amani...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umekopa pesa za watu umeshindwa kulipa eti unaenda kwa Mwamposa uombewe! Lipa pesa za watu

    Ndugu zangu hawa watumishi wa Mungu wana mizigo mizito mtu kakopa pesa za watu kazilia bata kashindwa kulipa kaona isiwe tabu, kwa kuwa ameona wengine wakishuhudia kuwa walikuwa na mizigo mikubwa ya madeni eti baada ya kuombewa madeni yote ya yaneisha. Ndugu zangu dawa ya deni ni kulipa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa unachokifanya sasa ni Uchokozi wa Makusudi kwa Kanisa Katoliki Kawe na huu Mkesha wako leo

    Unajua fika kuwa leo hata Kanisa Katoliki Kawe nao wana Mkesha wao halafu Wewe kwa Makusudi umepanga Viti vyako na Spika zako Kubwa zenye Kelele jirani kabisa na Kanisa Katoliki Kawe. Mwamposa huyo Kiongozi wa Serikalini anayekupa hiki Kiburi chote na hizi Jeuri zote atakuponza na labda hujajua...
  5. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ajenga hotel ya kisasa jijini Mbeya

    Mtume Boniface Mwamposa wa kanisa la Arise and Shine lililopo kawe Jijini Dar es Salaam amejenga hotel ya kisasa jijini Mbeya ambayo imezinduliwa leo hii na Spika wa Bunge la Jamhuri ya mmMuungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson. Mtume Mwamposa amejenga hotel hiyo ili kurudisha fadhila kwa jamii...
  6. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mandhari ya hotel ya Bwana Mwamposa

  7. C

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Vuka na Chako la Mtume Mwamposa lamfukuzisha kazi kwa uzembe Meneja wa Uwanja wa Mkapa

    Salum mtumbuka, Ametambulishwa rasmi kuwa Meneja mpya wa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam akichukua nafasi ya Daniel Madenyeka ambaye alikuwa anakaimu nafasi hiyo. Utambulisho huo umefanyika siku moja baada ya kutokea kwa tukio la kushindwa kuondolewa kwa jukwaa la injili kwenye...
  8. Kifimbo Cheza

    JamiiForums Tanzania Mwenye historia ya huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa atuwekee hapa

    Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku wenzake wakina Lusekelo, Malisa, Kakobe, Mwingira wengine wa type hiyo hapo Tanzania.
  9. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

    JF, Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia. Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta...
  11. Mributz

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Mwamposa Arusha, naombeni ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini, Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza. Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza na hii fursa? Karibuni wenye uzoefu na hii kitu. Ahsanteni.
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

    Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki. Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote. Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

    Juzi Bi. mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa. Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada. Wakati tukiangalia kulikuwa ni kipindi cha sadaka, kilichonishanga ni hii sadaka ya kujimaliza yaani toa chote...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtume wao Mwamposa hivi Wewe huu Msemo wa 'Akufukuzae Hakuambii Toka' huujui au Jeuri tu?

    Yaani Kwa namna Mamkala ( Watu ) NHC wanavyoendelea na Maandalizi ya Ujenzi wa Nyumba hapo ni dhahiri shahiri kuwa pataleta Usumbufu mkubwa wa Kiujenzi hapo Kanisani Kwako na hata kwa Waumini wako. Mtume wao Mwamposa hivi pamoja na Wewe Kubobea hasa katika Saikolojia umeshindwa tu Kung'amua (...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwamposa hebu nawe iga huu Ustaarabu wa Mwalimu Mwakasege

    Mwalimu Mwakasege anaanza Ibada on time Saa 10 Kamili na Saa 12 Kamili kamaliza ( anamaliza ) Wewe ( Mwamposa ) unaanza muda usioeleweka na Kumaliza muda mbaya ( usioeleweka ) kiasi kwamba 95% ya Waumini wako hupata Adha Kubwa ya Usafiri na wengine kukosa Nauli na Kuturahisishia Masela ( Wahuni...
  16. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Songea: Umati mkubwa sana (haujawahi tokea) katika mkutano wa MWAMPOSA , huyu ni nabii haswa

    Siku 3 za nabii mwamposa songea mjini, leo uwanja wa shule ya msingi matarawe umejaa kupita kiasi katika ujio wa baba mwamposa, tunaanza kumuelewa huyu mtumishi wa mungu.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hi Taarifa kuwa Mtume Mwamposa 'Kaondolewa' Kawe na sasa anahamia Mbezi Beach Kona Baa ni za kweli?

    "Mtume Mwamposa amepewa hadi Jamamosi ( 8 Oktoba, 2022 ) awe ameshaondoka Tanganyika Packers Kawe na sasa atahamia rasmi Mbezi Beach Kona Baa njia ya zamani ya kwenda Goba ambako amenunua Eneo Kubwa sana kwa Juu kwa thamani ya Shilingi Bilioni 3.5 za Kitanzania" amesema Mkazi Jirani na Eneo...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa: Nina hadhi kubwa kuliko waliyonayo 'Marais' wote Duniani

    Akihubiri leo katika Jengo lililobomoka na Hatarishi kwa Usalama wa Waumini anaowadanganya Kutwa huku akiwazidishia Umasikini anayejiita Mtume Mwamposa kwa Jeuri zote kabisa amesema kuwa Yeye kama Mtumishi wa Mungu ana Hadhi Kubwa kuliko hata Marais wote waliopo duniani. "Mimi nimeteuliwa na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Siku Bima ya Afya kwa wote ikianza ndiyo utagundua wananchi wengi walikuwa wanatibiwa kwa Mwamposa na kwa waganga!

    Sina hakika kama wananchi wengi huwa hawaugui, ila ninachofahamu ni kwamba wananchi maskini walio wengi hutibiwa kwa akina Mwamposa, kwa waganga wa kienyeji au hunywa tu mwarobaini. Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaloliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Back
Top Bottom