mwaka huu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa mjibu wa wataalam hata mwaka 2023–2024, kulikuwa na El Nino kwanini mwaka huu tumeipa promo sana?

    Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imekuwa brand kubwa mwaka huu

    Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi Kahawa Festival msimu wa 7 mwaka huu wa 2026 katika picha

    Pata picha mbali mbali za uzinduzi wa Tamasha la saba la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa nchini uliofanyika hivi karibuni makao makuu ya Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB)mjini Moshi Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Godfrey Mnzava
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kutokupata annual increment

    Watumishi wa Idara ya kilimo tulioajiriwa August 2024 Halmashauri mwaka huu hatujapata annual increament ikiwa ni haki yetu ya msingi, tunaomba utumishi watupe majibu
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Mwigulu Nchemba: Maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa mwaka huu wa fedha

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978. Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo...
  8. Blick255

    JamiiForums Tanzania Season kali za kuangalia Mwaka huu.

    Wakuu ee kuna mda wa kazi na kuna mda wa kuenjoy. Now nawaleta season kali zilizotoka mwaka huu na zinazoendelea kutoka 1.Fightland 2.Vagabond 3.The ark(hii inaendelea itafute ni kali sana watu wa space ship) 4.A bona fide killer (sniper) 5.Reacher(hii inaendelea kama hijaona seson za nyuma...
  9. U

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kutolipwa fedha za Wakulima na Watumishi walioshiriki Nanenane Halmashauri ya Mbulu

    Resolved
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 katika uchaguzi wa mwaka 2026

    Kumekuwepo Chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, linadai kuwa Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 na kwamba katika uchaguzi huo zaidi ya watu milioni 14 walipiga kura.
  11. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa masomo 2025-2026 nilipata Udahili Open University lakini Sikusoma-Je Naweza Kuomba Chuo Kingine Mwaka Huu?

    Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu. Naomba msaada juu ya hili jambo, Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Hali ya Hewa Waonya kwamba EL-Nino Itakayotokea Mwaka Huu Itakuwa Mbaya kuliko Zote Zilizowahi Tokea hapa Duniani

    Pamoja na kwamba mamlaka zetu zilitoa taarifa ya kiashiria Cha El Nino mapema mwezi julai lakini taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari Duniani zinaonesha hatari kubwa zaidi. Kikawaida EL Nino huja na sura mbili ,mvua kubwa na ukame wa kupindukia, bikiambatana na joto Kali sana au baridi...
  13. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Odyssey movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu

    Movie kali Odyssey ambayo producer Christopher Nolan ndiyo movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu largely and anticipated. Stering wa movie hiyo Matt Damon anaigiza kama Odyssey kama false wa ugiriki kutoka ithaka kwenye simulizi za zamani za kigiriki. Baada ya vita vya Trojan Odysseus anarudi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Siku 30 za CW zinatoa nguvu kwa maandamano ya 8/8 katika uso wa jumuiya ya kimataifa. Je mwaka huu utakuwa mwaka wa maandamano na migomo?

    Katika hali ya kipekee October 29 ni kama jana, hii siku haijafutika katika vichwa vya Watanzania wote na ukisoma Barua ya Common wealth, kuanzia siku 30, 60, 90 yote yanatoa nguvu Kwa maandamano ya 8/8 hadi October 29 kuwa na sura ya shinikizo la kimataifa na kuungwa kwake. Hizi siku 30...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hawa madogo wanao endesha Sinoray kwa sifa mpaka mwaka huu unaisha tutakua tumefukia wengi sana

    Na huna cha kuwaambia wanajiona wameyapata maisha , hizo sinoray zilizoundwa kwa matembezi ya kawaida wao wanaziona kama XL za mashindano na michezo. Iwe foleni, mlimani, kivukoni, wao ni mwendo mdundo wakijisifu kwa kupangua gia Tukisema tufanya maisha yetu tuachane nao bado sio sawa, kuna...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Museveni na Kikwete kutomaliza mwaka huu ni mkubwa sana

    Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna jambo lililoniuma mwaka huu kama kutochaguliwa Uhamiaji ukizingatia nina Barchelor of Arts in Law Enforcement na JKT Certificate ninayo

  18. K

    JamiiForums Tanzania Wakati Ruto kapata zaidi ya $3B mwaka huu kutoka USA ! Samia anajiongezea PHD kapata $0

    Wakati Ruto kapata zaidi ya alipewa $1.6 B ya afya na sasa amepewa $1.7B kwasababu ya Ebola. Ebu tujiulize ni ajira ngapi zitapatikana ni zaidi ya $3B inaingia Kenya. Samia anajiongezea PHD huko Urusi kapata $0 anakuja na mashaga sijui yanasaidia nini Tanzania. Hii ndiyo tofauti ya nchi yenye...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Wapya Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma (2025-2026) tunadai pesa ya kujikimu

    Walimu tulioajiriwa mwaka Jana ngazi ya Sekondari tulipewa Hela ya kujikimu nusu (Laki Nne) mwaka huu na hatujui nyingine tunamaliziwa lini. Lakini pia kwa Wale walio ajiriwa mwaka huu (January 2026 ) hawajapewa Bado na haijulikani wanapewa lini.
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baraza la Watalamu wa Radiografia (MPIRC) kuchelewesha leseni zetu

    "Kwa baraza la watalamu waalamu wa radiografia (MPIRC) tunaomba ufafanuzi juu ya ucheleweshaji wa utoaji wa leseni za awamu ya pili kwa mwaka huu wa 2026. Tulio wengi tumekamilisha taratibu zote za maombi na malipo kupitia mfumo wa HPRS (Tanzania Health Practitioner Registration System), lakini...
Back
Top Bottom