Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020.
Mwaka huu wamefika 4,109 pekee.
Nini kimejili?
Sababu zinaweza kuwa;
1. Kukosekana mvuto kwa CCM,
2. Rushwa kutamalaki,
3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia,
4. Na kadhalika.
Heshima sana wanajamvi.
Tumeshuhudia vituko vya watia nia majimboni wakijaribu kucheza na akili za wananchi kwa kutumia siasa na hadaa za kijinga na utoto mwingi.
Innocent Bachungwa kaliacha V8 300 Land Cruiser nyumbani kachukua Corolla chakavu kwenda kuchukua form ya UBUNGE.
Pengine anataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.