Season kali za kuangalia Mwaka huu.

Season kali za kuangalia Mwaka huu.

Blick255

Member
Joined
Jul 18, 2026
Posts
56
Reaction score
67
Wakuu ee kuna mda wa kazi na kuna mda wa kuenjoy. Now nawaleta season kali zilizotoka mwaka huu na zinazoendelea kutoka
1.Fightland
2.Vagabond
3.The ark(hii inaendelea itafute ni kali sana watu wa space ship)
4.A bona fide killer (sniper)
5.Reacher(hii inaendelea kama hijaona seson za nyuma hii iwe ya kwanz)
Hizi movie kama una mawazo utayatupa mbali.
 
Attachments

  • MV5BZWY0ZTVhMzUtMjM3MC00OGZkLWI1OWItZDhjM2FlZWM4MWM0XkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
    MV5BZWY0ZTVhMzUtMjM3MC00OGZkLWI1OWItZDhjM2FlZWM4MWM0XkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
    132 KB · Views: 5
  • p33127419_b_v12_ac.jpg
    p33127419_b_v12_ac.jpg
    532.8 KB · Views: 7
Wakuu ee kuna mda wa kazi na kuna mda wa kuenjoy. Now nawaleta season kali zilizotoka mwaka huu na zinazoendelea kutoka
1.Fightland
2.Vagabond
3.The ark(hii inaendelea itafute ni kali sana watu wa space ship)
4.A bona fide killer (sniper)
5.Reacher(hii inaendelea kama hijaona seson za nyuma hii iwe ya kwanz)
Hizi movie kama una mawazo utayatupa mbali.
Series sio season.
 
Back
Top Bottom