mwaka 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Malengo yako ya mwaka 2024 uliojiweka umefanikiwa mangapi kuyatimiza hadi sasa?

    Unapoanza mwaka mpya kila mmoja anakuwa na malengo yake ya mwaka husika anayohitaji kuyafikia ili kupiga hatua katika maisha yake. Ukitazama sasa tumesalia mwezi mmoja kutoka sasa kukamilisha au kufunga mwaka 2024 bila shaka utakuwa unapicha nzuri ya kile ulichojiwekea malengo yako. Tuambie je...
  2. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

    March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11 S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸 Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔 Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo...
  3. Heparin

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video: Suzan Lyimo akitanganza CHADEMA kujitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mtaa wa Mwaka 2024

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeibua mkanganyiko mkubwa kwa wanachama na wananchi baada ya kubadili msimamo wake kuhusu kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.Awali, chama kilieleza nia ya kushiriki uchaguzi lakini Freeman Mbowe alinukuliwa akisema hawatashiriki. Baadaye, chama...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 Afrika zenye deni dogo zaidi la Serikali katikati ya Mwaka 2024

    Top 10 African countries with the smallest government debt mid-2024 Maintaining a low government debt is critical for African countries seeking to stimulate economic growth, raise living standards, and attract international investment. Countries with low debt loads gain from currency stability...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini gari namba ‘A’, ‘B’ na ‘C’ zinafufuliwa na kurudishwa barabarani kwa kasi sana mwaka 2024?

    Je, kuna uhaba wa magari Japan? especially zike za mizigo na na za abiria?
  6. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Harusi bora ya mwaka 2024

    Tunawapongeza kwa hatua hii njema. Hakika ninyi ni mfano mzuri kwa wengine.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nashukuru sana Uongozi wa JamiiForum kwa kunitambua kama Moja ya wanachama wenye mchango kwa mwaka 2024

    NASHUKURU SANA UONGOZI WA JAMIIFORUMS KWA KUNITAMBUA KAMA MOJA YA WANACHAMA WENYE MCHANGO KWA MWAKA 2024. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii kwangu niite heshima ya pekee. Kutambulika na kutambuliwa ni jambo kubwa ambalo wanadamu wengi hulipenda na kulitafuta. Mimi kama Taikon nimefurahi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba, 2024...
  9. FINANCIAL MARKET

    JamiiForums Tanzania Vitu hatarishi vya kuepukana na kuachana navyo kabisa kabla hata mwaka 2024 haujaisha

    [.MUHIMU.]...Vitu HATARISHI Vyakuepukana Navyo na Kuachana Navyo Kabisa Kabla Hata MWAKA 2024 Haujaisha.... 1.Kutumia Muda mwingi Sana Kwenye Social Media . Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa maudhui au mlaji? . Zaidi ya 90% ni walaji. . Unapoteza muda wako kuangalia maisha ya wengine. ...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka 2024

    Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha mbinu ya matumizi, ambapo jumla yake hutolewa kwa kujumlisha matumizi ya bidhaa mpya za walaji, uwekezaji mpya, gharama za serikali, na thamani halisi...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nini kilipelekea 1 Us dollar kubadilishwa kwa shilingi za kitanzania 7 mwaka 1960 mpaka shilingi 2600 mwaka 2024 ?

    Karibuni wataalamu wa Siasa na Uchumi . 1966 - 1 US dollar ilikuwa shilingi 7 za kitanzania . 2024 -1 us dollar ni shilingi 2600 za kitanzania. Hapa inaelezwa thamani ya shilingi ya Zanzibar kwa kipindi hicho
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Aliyeimba huu wimbo wa "Huu mwaka" mi naona kakosea huu mwaka 2024?

    Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa. Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Sita 2024 yatoka. Ufaulu wapanda kwa asilimia 0.26

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024, leo Jumamosi Julai 13, 2024 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar. Kuangalia matokeo bonyeza hapa: Matokeo Kidato cha Sita 2024 Jumla ya watahiniwa 113,504 walifanya mtihani wa kidato cha sita, mwaka huu...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 tajiri sana duniani kwa mwaka 2024.

    Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa. Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PPAA mbioni kukamilisha Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2024

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ipo katika hatua za mwisho za kupokea maoni ya Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2024 ili kuiwezesha Sheria ya Ununuzi Umma ya Mwaka 2023 kutekelezeka kwa ufanisi, ambapo pamoja na mambo mengine, Kanuni hizi zitatoa wigo mpana wa kuwasilisha...
  16. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maono ya Kiubunifu kwa Sekta ya Afya ya Tanzania: Mwaka 2024 hadi 2049

    Utangulizi Sekta ya afya ni msingi wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Ili kuifikia Tanzania tunayoitamani, ni muhimu kuunda mikakati madhubuti na bunifu itakayotekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Andiko hili linaangazia njia za kuboresha sekta ya afya kwa kutumia...
  17. MR VICTOR KAPESA

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inatakiwa kuzingatia mambo haya ili kuleta mabadiliko mwaka 2024

    THE STORY OF CHANGE IN TANZANIA 2024---AFYA, ELIMU, AJIRA NA BEI ZA VITU. KWANZA Mwaka 2024 watanzania wanatamani kuona mabadiliko mbalimbali chanya ususani katika sekta za Afya,Chakula, elimu na usafirishaji(miundombinu) na sekta nyingine muhimu ambazo mara nyingi hizi sekta zinategemeana...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Mwaka 2024 na Katiba inachosema kipi ni sahihi?

    Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je, ni kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nimeiona Meli Mpya ya Karne ya Mwaka 2024 -Mwanza, Jaribu kulinganisha na MV Victoria ya Miaka ya 1974 na utoe maoni yako

    Inawezekana mimi sio engeneer au mtaalamu wa Meli, ila juzijuzi nimebahatika kuiona Meli yetu mpya ziwa victoria ikifanyiwa marekebisho ya mwisho kutembea ziwani. Kwa muonekano wake tu wa nje, inawezekana ndani ikawa ni kali balaa (excuse of doubt).Bila kumung'unya maneno muonekano wake wa nje...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

    Tarehe ya drop Iko hapo chini Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi. Mwaka huu 2024 ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu mbili mbazo ni Yanga Tena na watani zao Simba.
Back
Top Bottom